Uongozi mpya UVCCM: Mwenyekiti ni JUMA SADIFA; Makamu Mwenyekiti ni MBONI MHITA

Uchaguzi au gulio la ununuzi wa uongozi? Kama wanachofanya CCM kuanzia kwenye jumuia zake, CC hadi NEC kinaitwa uchaguzi basi inanibidi nirudi darasani haraka.

Yale ni maonesho ya fedha chafu, majigambo, ubinafsi, ushirikina, unafiki na uasherati. Ni gulio fulani ambalo ni chafu sana
 
Msinitenge,ndugu zangu msinitenge,siku ikifika nipelekeni nipumzike,kwenye makazi mema nipelekeni nipumzike nimechoka mimi.!!!
Huyo ndio marehemu mtarajiwa CCM anavyolalama
 
View attachment 69184

Hakipongezwa na dr shein

MWENYEKITI UVCCM TAIFA NI Mhe. JUMA SADIFA - 2012-2017
MAKAMU MWENYEKITI UVCCM TAIFA NI Mhe.MBONI MHITA

HONGERENI SANA!!! UVCCM HOYEEEE

WAJUMBE NEC

Jerry Silaa
Deo Ndegembi
Anthony Mavunde
Jonas Nkya
[/QUOTE]

OMG.....!!!! kumbe ni sadifa huyu mbunge??? maskini, CCM hawafanyi vetting siku hizi? kijana hajatulia kabisa. Aliwahi kuugua ugonjwa wa akili, na kuna wakati anakuwa na very strange behaviour! Mungu amsaidie!
 
Hongera yao..........................bila shaka udini haujatumika, japo mwenyekiti na makamu ni waislamu, na wajumbe wote ni wakristo, tunachotaka ni viongozi wenye dhamira njema na tanzania kwa manufaa ya watanzania.

Hao ni Waislamu tofauti wana ELIMU ya DUNIA sidhani Wameloea kwenye UDINI; Huyo Dada hata havai USHUNGI
So, she;s OK TO ME... they are not stricktly
 
Hahaha big up sister mboni, sasa muhaji mhita atatusumbua sana huku ughaibuni, wapi bata tunaiteka thailand yote kwa kushereheka ushindi wake...big up mhita family
 
safu ya viongozi sita muislam mmoja na wakristo watano. twende kazi.


Mboni Mhita ni Mwislamu.... Mtoto wa Omar Mhita
Kuna wajumbe 2 zaidi sijapata majina yao kwahio USIRUKE kabla ya KUTEMBEA
 
Hawa wote ni wafuasi sugu wa Lowassa. Ushindi wao umetokana na nguvu na ushawishi wa Lowassa. Hongera Lowassa, rais mtarajiwa wa Tanzania 2015.

Labda hiyo Tanzania iko chumbani kwako . Lakini kama Tanzania ya mwalimu Nyerere sahau. CCM ilikufa na Nyerere watanzania hatuwezi tena uhuni, ufisadi, uzembe, wizi, kukosa dira na kutojiamini kwa hawa waliiiba chama cha mwalimu alichokufa nacho. Kisocho chako hukiwezi. Mapinduzi ni uadilifu na mabadiliko nyie mmeiba msichokiweza toka kwa mwanamabadiliko Nyerere. Hatutaki wezi tena. Lowasa wala CCM wasahau uongozi wa nchi hii vinginevo tu.kama wanajiandaa kwenda the Hague make watanzania hatutakubali hiki kikundi cha wahuni kututawala hata kwa gharama ya damu zetu.
 
Hahaha big up sister mboni, sasa muhaji mhita atatusumbua sana huku ughaibuni, wapi bata tunaiteka thailand yote kwa kushereheka ushindi wake...big up mhita family

Umesoma au unafagia barabara huko Thailand. Pamoja na exposure yote hiyo bado unashangilia chama cha kihuni, wezi, wazembe na maharamu wa mali za umma. Shangilia tu.ukija huku sisi wanakijiji tukio na uelewa kuliko nyie vibaraka tutawashikisha adabu kwa uongozi bora baada ya kuizika CCM kaburini.
 
Waacheni wajipange; haya ni mambo yanayoendelea CCM na CCM inajipanga kuelekea 2015. Swali kubwa nii je mabadiliko yote ya uongozi yanayofanywa ndani ya CCM sasa hivi yatakisaidia vipi chama kuendelea kutawala 2015?

Kumbe hata nawe una hamu ya kuyajuwa ya CCM? kwi kwi kwi teh teh teh, au unatafuta mali ghafi uingie kiwandani?
 
Azimio la Bagamoyo......!!!!
makamu mwenyekiti wa UVCCM .......anatoka Tanga....KASKAZINI ..........

Du huyo Dada Makamu mwenyekiti anatoka kata moja na Mke wa EL huko Kondoa nimeamini draft liliawzidi kina Ritz 1 na baba yake km Happi katupwa hapo pakali
Acheni Mkoa wa pwani, na Mikoa ya Kanda ya Ziwa wagome maana wajumbe wate licha ya kuwa ni kambi ya EL wametokea mkoa wa Dodoma, Moro, Dar na Unguja
Rushwa ya huyu jamaa haifichiki wao UWT waligawa Vyooni hadi vyoo vya wanaume sasa El ni ndani ya gari Cruiser zaidi ya 4 chezea pesa weye
sasa Wazazi Barongo na Bulembo kambi hii ikishinda tena hapo JK akae vizuri maana ndio kinamfia mkononi sasa
 
ridhwani and team ....chaguzi za ccm.......zimeedhihirishw kuwa mlifanya makosa makuubwa kugombana na kings makers wenu....watu waliomsaidia rais kikwete kampeni....,mmepelekea nchi kwenye makundi....laiti kikwete asingegombana na waliomuuingiza madarakani ......nchi hii ingekuwa mbali ....tumepoteza muda wote huu kwa malumbano...
Miaka hiii miiwili iiliyobaki fanyeni maridhiano kwa manufaa ya nchi...
for ccm followers like myself, this is the best comment in this thread.
 
Mkuu kama AFYA isipokubali 2015, tutapiga kura za chuki dhidi ya Membe! Utashangaa maana Membe, Sita, Mwakyembe wote hatuwahitaji.

Tunaweza kumpa Abdallah Kigoda. Najua wengi hammfikirii.

We always have plan B.

Mark my words and watch JF!
Namkubali Kigoda, Shein, Nahodha, Dr. Mwinyi na hata Migiro wote ni spotless ila kuna silent (haijaandikwa popote), zamu kati ya bara na visiwani na kati ya Mkristo na Muislamu!. Baada ya Kapa zamu ilikuwa ni ya Zanzibar na Muislamu!, wajanja kwa kulijua hilo, zamu ilikuwa ni ya Dr. Omar, ili kuipoka zamu ya Zanzibar, there was no way, Dr. Omar had to go!, ili zamu irudi huku kwa kukosa mtu kule!.

2015 zamu ni ya bara na ni Mkristo, wamiliku Wakuu wa Ukristo kwa Tanzania ni Wakatoliki, kwa vile EL ni Mlutheri, imembidi ajihalalishe sana na TEC, ndio maana mmeona akihangaika sana na fund raising za makanisa ya Katoliki na kujisogeza sogeza karibu hata ikubidi kulobby kualikwa na kuzamia kutoa salaam!.

Wakatoliki ndio wamejipa hati miliki ya urais kuwa kama ni Mkristu, sio Mkiristi ili mradi Mkristo, "he has to be Mkisto Mkatoliki"!. Ndio maana papoja na juhudi zote za mgombea wangu EL, na kukuru kakara zote, at the end of the day, atakayesimamishwa CCM ni Bernard Membe "Mkristo Mkatoliki!". Magufuli pia ni Mkatoliki, ila yeye kamwe hawezi kupewa kwa sababu he is too risky "Mrema Type", ni "populist" and can do anything ikiwemo kumpandisha Mkapa, JK na mafisadi kizimbani, and he is a possible dictator!.

Kwa vile CCM watamsimamisha Membe na aminini nawaambia Lipumba hata simama!, then Chadema ikimsimamisha Mkatoliki, kura za Wakatoliki zita split, betwen the two, na final beneficiary itakuwa ni CCM!. Nliwashauri Chadema, lazima wafanye "affirmative action" "to engeng" the Muslim kwa kumtumia ZZK kama mtaji chanya kwa kumteua kuwa canditate wao!, Chirstians watampa!, Muslims Watampa!, Elite group Watampa!, Youth Watampa!, Kura zote za Pemba na half za Zanzibar kwa rais wa JMT, atakomba, na kuyra nyingi zaidi kuliko kura zote ni kura za "wanawake, nazo atazilamba kwa sababu jamaa ...apeal, na kwa wanawake, huyo ni Chatu mbale ya mbwa!, wawe single or ..., watabana wee, mwisho wataachia, na wote watatoa!, hivyo Chadema kushinda very sweet landslide victory!.

Kuna watu wataniita "mdini", niiteni tuu as long as ni ukweli mchungu kuwa "udini upo", hatutauondoa kwa "denial" bali kwa "facing the facts".

P.

 
Back
Top Bottom