Uongozi mpya UVCCM: Mwenyekiti ni JUMA SADIFA; Makamu Mwenyekiti ni MBONI MHITA

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
MWENYEKITI UVCCM TAIFA NI Mhe. JUMA SADIFA - 2012-2017
MAKAMU MWENYEKITI UVCCM TAIFA NI Mhe.MBONI MHITA

HONGERENI SANA!!! UVCCM HOYEEEE

WAJUMBE NEC

Jerry Silaa
Deo Ndegembi
Anthony Mavunde
Jonas Nkya




[h=3]KHAMIS SADIFA JUMA AULA UENYEKITI WA UVCCM TAIFA.[/h]




Dk. Sheni akimpongeza Khamis Sadifa Juma, baada ya kutangazwa Mshindi wa kuwa Mwenyekiti mpya wa UVCCM Taifa, katika uchaguzi uliofanyika jana mjini Dodoma. (Picha na Bashir Nkoromo).

Mjumbe wa Kamati Kuu, Rais wa Zanzibar, Dk. Shein akiwa na Mwenyekiti mpya wa UVCCM, Khamis Sadifa Juma na Makamu Mkt UVCCM, Mboni Mhita baada ya viongozi hao wapya wa Umoja huo kutangazwa kuwa washindi leo katika uchaguzi mkuu wa UVCCM uliofanyika jana mjini Dodoma.

Aliyekuwa Kaimu Mwenyekiti UVCCM Beno Malisa akimpongeza Khamis Sadifa Juma, baada ya kutangazwa Mshindi wa kuwa Mwenyekiti mpya wa UVCCM Taifa, katika uchaguzi uliofanyika jana mjini Dodoma.

Kamanda wa Chipukizi Kingunge Ngombale-Mwiru akijadili jambo na Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama wakati wa kutangazwa matokeo.

Katibu Mkuu wa UVCCM Martine shigela akimkaribisha meza kuu Khamis Sadifa Juma bada ya kutangazwa mshindi.

Khamis Sadifa Juma.


http://dodoma-yetu.blogspot.com/2012/10/khamis-sadifa-juma-aula-uenyekiti-wa.html#http://dodoma-yetu.blogspot.com/2012/10/khamis-sadifa-juma-aula-uenyekiti-wa.html#http://dodoma-yetu.blogspot.com/2012/10/khamis-sadifa-juma-aula-uenyekiti-wa.html#http://dodoma-yetu.blogspot.com/2012/10/khamis-sadifa-juma-aula-uenyekiti-wa.html#



http://dodoma-yetu.blogspot.com/2012/10/khamis-sadifa-juma-aula-uenyekiti-wa.html#http://dodoma-yetu.blogspot.com/2012/10/khamis-sadifa-juma-aula-uenyekiti-wa.html#http://dodoma-yetu.blogspot.com/2012/10/khamis-sadifa-juma-aula-uenyekiti-wa.html#
 
Mhhh, Mboni????

Mtoto wa Zabein??

Na Sadifa mshua wake nae si mbunge au???

hongereni, na karibuni kitaa

ILA NAHISI UVCCM HAMKO SIRIAZ KABISA KUMPA MBONI
 
Swali je wanaweza kuleta impact gani kwa vijana wa uvccm na vijana wote wa tz?kwani binafsi sikuona la maana alilofanya malisa na wenzie lililonigusa mie kama kijana wa kawaida wa kitanzania.
 
Hongereni vijana!! Kwa faida yangu na wengine nangoja wadadavuaji watuambie mwemyekiti anatoka kambi ipi.
 
attachment.php

huyo ndiyo mboni mhita mzalendo kweli kweli mpigania haki za vijana kama malemo tutegemee makubwa kutoka kwake rip chadomos ccm oyeeeeeeeeeeee
 
Sasa waanze kujipanga wapi wataanzia kutoa rushwa maana ndio zao,Hivi hawa waliochaguliwa walitoa kiasi gani cha rushwa?
 
Sasa waanze kujipanga wapi wataanzia kutoa rushwa maana ndio zao,Hivi hawa waliochaguliwa walitoa kiasi gani cha rushwa?

WAJUMBE NEC

Jery Slaa
Deo Ndegembi
Anthony Mavunde
Jonas Nkya
 
Hawa wote ni wafuasi sugu wa Lowassa. Ushindi wao umetokana na nguvu na ushawishi wa Lowassa. Hongera Lowassa, rais mtarajiwa wa Tanzania 2015.
 
Back
Top Bottom