Uongozi mathubuti wa mbowe unavyoinyima usingizi CCM

Subirini matokeo ya uchaguzi wa 2020 ndipo mtakapogundua kuwa chama kilijengwa na Dr Slaa na sio Mbowe kama mnavyojaribu kuaminisha watu..
 
Mbowe dikteta tuu hana lolote wewe toka 1998 yeye tu ndo mwenyekiti tukimpa uraisi jee c ndo atakuwa kama mseveni
Museven ambae kichaa wenu jiwe anaiga kila kitu kutoka kwake
 
Subirini matokeo ya uchaguzi wa 2020 ndipo mtakapogundua kuwa chama kilijengwa na Dr Slaa na sio Mbowe kama mnavyojaribu kuaminisha watu..
Ninachojua slaa ambae mlimnunua aliondoka kabla ya uchaguzi na chama kiliitisha ccm Mpaka mkaiba kura za rais wetu
 
Mbowe dikteta tuu hana lolote wewe toka 1998 yeye tu ndo mwenyekiti tukimpa uraisi jee c ndo atakuwa kama mseveni
Mbona husemi wenyeviti wengine....Mrema.cheyo..lipumba.....kwanini Mbowe anawauma sana..
 
Sawa umeeleweka maelezo yako swali atetee kwa kumueleza nani ili haya yanayotokea kwa wapinzani yazibitiwe yasitokee tena?. Policcm unaiyona ndio wanafanya kila njia kuudhoofisha upinzani. Malalamiko apewe nani? Serikal ndio mtatuzi WA hayo Malalamiko?
 
Wewe kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri KWAMBA CCM NI MWAMBA HASWA!
Umwamba WA ccm uko wapi?

Kuvitumia vyombo vya dola ndio umwamba unaouzungumzia wewe?
 
Kwanza hujitahidi saana kusoma maoni lakini kila ninavyojaribu kupembua maelezo ya wachangiaji hawa WA ccm hawana hoja hatamoja ya msingi inayoweza kumuaminisha mtoto japo WA darasa lá tano. Duhu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…