Nani kakwambia? Kinacho tokea tunashindwa kuishi na Wasomi.Nilitaka kuandika kuwa Kiwanga elimu yake ni ndogo sana kuongoza bawacha taifa nikakumbuka kuwa elimu si kigezo muhimu sana kwenye uongozi chadema.
Bado tunamtambua mdee
Niliwahi kusikia CHADEMA itakufa vipi ipoje sasa?Kwani kuna Bawacha mbili manka?
Unamuomea wivu Halima? Kuwa mwanamke basiWw ni bi kirembwe ndio kashalala
We unaona ipo?Niliwahi kusikia Chadema itakufa vipi ipoje sasa?
Unamuomea wivu halima? Kuwa mwanamke basi
Na wenye elimu kubwa wamelifanyia nini taifa,wakati watu hawamudu hata kula milo miwili kutwa?.Nilitaka kuandika kuwa Kiwanga elimu yake ni ndogo sana kuongoza bawacha taifa nikakumbuka kuwa elimu si kigezo muhimu sana kwenye uongozi chadema.
Mwenyekiti wenu div 0, mgombea umakamu wa Rais certificate in journalism. Kweli elimu siyo muhimu CHADEMA.Nilitaka kuandika kuwa Kiwanga elimu yake ni ndogo sana kuongoza bawacha taifa nikakumbuka kuwa elimu si kigezo muhimu sana kwenye uongozi chadema.
Wasiomudu milo miwili hata Marekani wapo.Na wenye elimu kubwa wamelifanyia nini taifa,wakati watu hawamudu hata kula milo miwili kutwa?.
Ipo haja ya kurekebisha baadhi ya vifungu vya katiba. Vuta taswira kama ingetokea Lissu akashinda Urais 2020 na kabla ya kumaliza muhula wake akatoweka duniani. Huyu mwenye cheti cha journalism angekalia kiti!Mwenyekiti wenu div 0, mgombea umakamu wa rais certificate in journalism. Kweli elimu siyo muhimu chadema.
Elimu over experience?Nilitaka kuandika kuwa Kiwanga elimu yake ni ndogo sana kuongoza bawacha taifa nikakumbuka kuwa elimu si kigezo muhimu sana kwenye uongozi chadema.
It's kinda worrying unapoweka mbele karatasi kuliko milestone. Kwenye management unapanda kutokana na achievements zako kwa majukumu unayopewa.Ipo haja ya kurekebisha baadhi ya vifungu vya katiba. Vuta taswira kama ingetokea Lisu akashinda urais 2020 na kabla ya kumaliza muhula wake akatoweka duniani. Huyu mwenye cheti cha journalism angekalia kiti!
Unamkumbuka Kinanasi?
Huyu Salum Mwalimu kuna wakati nilimuona pale IFM alikuwa anasomea nini? Ndio hiyo journalism?Kma Elimu ingekua kigezo kwenye CV tusingeweka work experience tungeishia kwenye madigrii tu na certifcations. Salum kafika kwa merits na potential yake waliiona toka akiwa Voda.... Na amesaidia hata kuijenga CHADEMA kikanda na kuestablish Chadema digital. He's innovative kwa kweli kuna muda tuwape watu credit kwa milestone zao sio paperwork bila substance.