Uongozi BAWACHA: Suzan Kiwanga ajitosa rasmi kuwania Uenyekiti wa BAWACHA Taifa

Gagnija

JF-Expert Member
Apr 28, 2006
9,260
2,000
Ndio maana nikasema elimu si kigezo muhimu sana kwenye uongozi CHADEMA.

Pia unaposema Mbowe alikipaisha chama lazima utambue na mchango wa timu ya wasaidizi mahiri waliokuwa wamemzunguka kipindi hicho chama kikipaa.
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
13,778
2,000
Ndio maana nikasema elimu si kigezo muhimu sana kwenye uongozi chadema.

Pia unaposema Mbowe alikipaisha chama lazima utambue na mchango wa timu ya wasaidizi mahiri waliokuwa wamemzunguka kipindi hicho chama kikipaa.
Na hapo ndio nilitaka tufike

Kumbe unafaham Mwenyekiti huwa anazungukwa na jopo la wataalam wanaomsaidia kwenye decision making?

Kma ni hivyo basi sioni hasara kma ukiwa na Mwenyekiti asiye msomi lakini ana embrace ushauri wa kitaalamu. Meaning hta Kiwanga anaweza akipata right team to work with otherwise kma elimu ya mkuu wa chama ina correlate na mafanikio ya chama basi ACT,NCCR,CUF zingeipiku CHADEMA kitambo
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
88,444

Mkuu nakushukuru sana kwa elimu unayoitoa hapa JF , Hawa mbumbumbu kuwaelewesha kama ufanyavyo si rahisi .
 
Gagnija

JF-Expert Member
Apr 28, 2006
9,260
2,000
Kma ni hivyo basi sioni hasara kma ukiwa na Mwenyekiti asiye msomi lakini ana embrace ushauri wa kitaalamu.
Hakika. Chama kilipaa hadi kipindi mwenyekiti alipopuuza ushauri wa wasaidizi kwenye kumpata mgombea Urais 2015. We have since witnessed a freefall.
 
Gagnija

JF-Expert Member
Apr 28, 2006
9,260
2,000
Hawa mbumbumbu kuwaelewesha kama ufanyavyo si rahisi .
Utakuwa na ubia na moderators. Kila uchao unatukana watu humu lakini unatazamwa tu!
Anyway, nakutakia mafanikio kwenye nafasi unayogombea bawacha. Pengine inaweza kukusaidia kubadilika kutokana na interactions.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
88,444
2,000
Utakuwa na ubia na moderators. Kila uchao unatukana watu humu lakini unatazamwa tu!
Anyway, nakutakia mafanikio kwenye nafasi unayogombea bawacha. Pengine inaweza kukusaidia kubadilika kutokana na interactions.
Mtu kukuita mbumbumbu kwanza si tusi bali ni kukuepusha na lawama , maana watu wanaweza kudhani una akili ili wakuchalenji kumbe huna .
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
13,778
2,000
Hakika. Chama kilipaa hadi kipindi mwenyekiti alipopuuza ushauri wa wasaidizi kwenye kumpata mgombea urais 2015. We have since witnessed a freefall.
Freefall? Hvi kuna chama gani cha upinzani kimepaa 2015-20? Kma kingekua free fall kweli uchaguzi wa oktoba haukuwa na flaws? Mbona muitikio kwenye kampeni ulikua mkubwa kuliko mategemeo?

Nadhani maamuzi ya 2015 yalikua sahihi maana ilisaidia chama kupata wawakilishi wengi sana the rest ni matokeo ya siasa kandamizi lakini kma Rais angekua lenient kma Hussein Mwinyi sidhani kma kungekua na so called free fall
 
Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
8,046
2,000
Tokea kamatakamata imeanza ya wanaosambaza habari za uongo mitandaoni salary slip ameadimika. Au ndio yule fundi simu majuram?
 
Mingoi

JF-Expert Member
Jul 21, 2012
11,604
2,000
Nilitaka kuandika kuwa Kiwanga elimu yake ni ndogo sana kuongoza BAWACHA taifa nikakumbuka kuwa elimu si kigezo muhimu sana kwenye uongozi CHADEMA.
Kigezo namba moja ni kuwa mtiifu wa kulamba makalio ya wenye chama chao
 
Gagnija

JF-Expert Member
Apr 28, 2006
9,260
2,000
Nadhani maamuzi ya 2015 yalikua sahihi maana ilisaidia chama kupata wawakilishi wengi sana
Unaamini bila Lowasa 2015 chadema isingepata idadi ya wabunge na madiwani iliopata? Mimi naamini ubora wa chama wa wakati ule ndio uliomvuta na kumshawishi kununua nafasi ya kugombea urais.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom