Uongozi BAWACHA: Suzan Kiwanga ajitosa rasmi kuwania Uenyekiti wa BAWACHA Taifa

KIGENE

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,516
2,000
Nilitaka kuandika kuwa Kiwanga elimu yake ni ndogo sana kuongoza bawacha taifa nikakumbuka kuwa elimu si kigezo muhimu sana kwenye uongozi chadema.
Na wenye elimu kubwa wamelifanyia nini taifa,wakati watu hawamudu hata kula milo miwili kutwa?.
 

Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
11,162
2,000
Nilitaka kuandika kuwa Kiwanga elimu yake ni ndogo sana kuongoza bawacha taifa nikakumbuka kuwa elimu si kigezo muhimu sana kwenye uongozi chadema.
Mwenyekiti wenu div 0, mgombea umakamu wa Rais certificate in journalism. Kweli elimu siyo muhimu CHADEMA.
 

Gagnija

JF-Expert Member
Apr 28, 2006
9,236
2,000
Mwenyekiti wenu div 0, mgombea umakamu wa rais certificate in journalism. Kweli elimu siyo muhimu chadema.
Ipo haja ya kurekebisha baadhi ya vifungu vya katiba. Vuta taswira kama ingetokea Lissu akashinda Urais 2020 na kabla ya kumaliza muhula wake akatoweka duniani. Huyu mwenye cheti cha journalism angekalia kiti!
 

zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
13,753
2,000
Nilitaka kuandika kuwa Kiwanga elimu yake ni ndogo sana kuongoza bawacha taifa nikakumbuka kuwa elimu si kigezo muhimu sana kwenye uongozi chadema.
Elimu over experience?
Kuna hta masters program mtu akiwa ma GPA ya 2.6 anachukuliwa sababu tu ana experience ya kazi kwa miaka mingi.

Kwenye siasa na uongozi experience ni kila kitu haswa kwa mwenyekiti but kwa Katibu nadhani taaluma ni muhim sana sababu ndio mtendaji mkuu wa kila siku.

Kwa kusema hayo Kiwanga ana fit uenyekiti sababu ya uzoefu mkubwa alionao whether ana elimu ndogo or not. But kumuweka PhD tu yatajirudia yale ya Mashinji zero creativity alafu elimu zero.

Angalia Mbowe pamoja na kumkejeli Elimu yake but kakipaisha chama kuzidi hata wasomi zaidi kina Mbatia,Lipumba,Zitto n.k. Experience over paper work anytime of the year.
 

zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
13,753
2,000
Ipo haja ya kurekebisha baadhi ya vifungu vya katiba. Vuta taswira kama ingetokea Lisu akashinda urais 2020 na kabla ya kumaliza muhula wake akatoweka duniani. Huyu mwenye cheti cha journalism angekalia kiti!
It's kinda worrying unapoweka mbele karatasi kuliko milestone. Kwenye management unapanda kutokana na achievements zako kwa majukumu unayopewa.

Kma Elimu ingekua kigezo kwenye CV tusingeweka work experience tungeishia kwenye madigrii tu na certifcations. Salum kafika kwa merits na potential yake waliiona toka akiwa Voda.... Na amesaidia hata kuijenga CHADEMA kikanda na kuestablish CHADEMA digital. He's innovative kwa kweli kuna muda tuwape watu credit kwa milestone zao sio paperwork bila substance.
 

Ndinani

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
6,290
2,000
Kma Elimu ingekua kigezo kwenye CV tusingeweka work experience tungeishia kwenye madigrii tu na certifcations. Salum kafika kwa merits na potential yake waliiona toka akiwa Voda.... Na amesaidia hata kuijenga CHADEMA kikanda na kuestablish Chadema digital. He's innovative kwa kweli kuna muda tuwape watu credit kwa milestone zao sio paperwork bila substance.
Huyu Salum Mwalimu kuna wakati nilimuona pale IFM alikuwa anasomea nini? Ndio hiyo journalism?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom