Uongo wanisaidia kupata msamaha kwa Mama watoto wangu

Uongo wanisaidia kupata msamaha kwa Mama watoto wangu

Kategele

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2017
Posts
1,086
Reaction score
2,533
Yapata siku tatu mke wangu hatukuwa na maelewano, nyumbani hakukaliki.

Ilibidi mpaka apewe bedrest baada ya kukaa sawa akaruhusiwa ila akawa bado hajanisamehe.

Mwanaume nikafikiria nifanyaje ili angalau
kurudisha mahusiano ya familia yangu kwakuwa nafanya kazi za kampuni ambazo ni mikataba.

Nikamdanganya kulingana na kutokuwa sawa kisaikolojia boss wangu kaona kuna changes upande wa kazi yangu.

Hakuna production katika kazi hivyo nimesimamishwa kazi kwa muda usiojulikana.

Kusikia hivyo akashituka na kuanza kunimbembeleza jamani mume wangu tutaishije sasa nikamwambia tutakula jeuri yako.

Mpaka Sasa mke wangu ananimbembeleza niombe msamaha kwa boss nirudishwe kazini.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom