Uongo wa TANESCO mwisho leo - September 14, 2015

Uongo wa TANESCO mwisho leo - September 14, 2015

Ochumeraa

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2015
Posts
4,507
Reaction score
5,736
Dah umeme ulikatika tangu jana asubuhi hadi muda huu haujarudi.

Wiki yenu moja mliyotangaza si imeshaisha? Turudishieni umeme.
Kwa muda mrefu TANESCO walikuwa wanakata umeme kila mara kwa visingizio wanafanya matengenezo.

Wiki moja ambaye inaisha leo, walituahidi hautakatika.

Sasa, leo tarehe 14/09 ndio mwisho la ahadi yao ya mwisho tuone
TANESCO walisema umeme utawashwa wiki mbili za mwanzo wa mwezi huu wa Septemba, sio wiki moja kama ilivyoelezwa na mtoa mada.
 
Kwa muda mrefu TANESCO walikuwa wanakata umeme kila mara kwa visingizio wanafanya matengenezo.

Wiki moja ambaye inaisha leo, walituahidi hautakatika.

Sasa, leo tarehe 14/09 ndio mwisho la ahadi yao ya mwisho tuone
 
..you sound not serious afterall, na vijineno vyako vyakitoto toto!
 
huu utakuwa ni mwisho kwa sababu ya matengenezo. watakaa siku kadhaa watakata na kusema kima cha maji mtera kimepungua. sababu haziwezi kosekaa. hii ndio bongo
 
huu utakuwa ni mwisho kwa sababu ya matengenezo. watakaa siku kadhaa watakata na kusema kima cha maji mtera kimepungua. sababu haziwezi kosekaa. hii ndio bongo

Hivi ni kima cha maji au kima cha gas...
 
Kigambon wamekata toka jana tarehe 13 saa mbili asubuh mpaka mida hii naandika hii reply ni saa 12 asubuh ya tarehe 14 umeme hatujauona...watu tunaenda mihangaikon nguo ziko kama vile zimetapikwa na mbuzi..hii sector nayo inahitaj mabadiliko
 
Dawa ni kuwakata tu 2015,wametutia hasara sana kwenye biashara zetu
 
Hawa machoqo wanatuchezea akili,*** T@n€$(0 mothafuckazzz,Hii ni zaidi ya manyanyaso jmn!
 
Back
Top Bottom