Uongo wa pics za cuf arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uongo wa pics za cuf arusha

Discussion in 'Jamii Photos' started by TECHMAN, Oct 2, 2012.

 1. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Costa 8 na noah 2. zilileta watu toka Dar

  Costa inabeba abiria kati ya 37 mpaka 40. X 8 = 320 + watu 16 katika Noah 2 = 336 wapo waliokuja na ndege na magari binafsi kwa hesabu ya haraka kutakuwa na jumla ya watu 350.

  dscf1577.jpg dscf1583.jpg
  kutokana na idadi ya wakuja, kwenye mkutano huo wenyeji wa arusha hawakuwa hata hamsini. Tazama picha waliokaa wote na wenye fulana,kofia na skafu za chama, ni wakuja. waliosimama nyuma ni wenyeji wapitanjia na wengine ni wakazi wa maeneo karibu wakishangaa.  Wapo waliofikiri kuwa picha hii chini ni Arusha. UZUSHI mtupu hii si Arusha. Wala haitawahi kuwa, CCM yenyewe haiwezi kufanya kitu kama hii huko Arusha.

  CUF.jpg cuf-crowd.jpg
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kwanza watu wa arusha hawakaaji chini.
   
 3. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,476
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Yaani kweli Cuf wameishiwa, hizo mbinu za kuchukuwa watu wa mbali na kuwaleta kwenye mkutano ili kuujaza uwanja, zinafanywaga na ccm hasa katika maeneo ambayo hawakubaliki ikiwemo MOSHI.
  Nadhani mbinu hiyo wameshauriana wakiwa chumbani kama wanandoa.
   
 4. kussy

  kussy JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 15, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  kwa hiyo kama haikubalikiki Arusha na kwingineko TZ haikubaliki?
   
 5. S

  Safhat JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haaakiii!!saaawa!
  Haki sawa kwa naanii?
  Kwa wootee..!.
  Asiyependa haki..
  >aajinyoongeee..
  >hafai kwny jamiii..
  >aatajiijuuu..
  >imekula kwaakee..
  >achimbe shimo ajifukiee..
  Ahsanten sana.
   
 6. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Itaitwa MASHAUZI MORDEN TAARABU.
   
 7. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,266
  Likes Received: 1,197
  Trophy Points: 280
  ila cuf kweli hamnazo,ss ndo nn!?yaan mbinu hz ht kijijin nw hazitumiki!...
   
 8. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,789
  Likes Received: 36,800
  Trophy Points: 280
  Hivi cuf bado ipo??

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 9. lutayega

  lutayega JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 1,215
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Cuf wameinga mbinu ya bwana wao ccm, ambaye huwa anakuja watu wake ili umati uonekane mkubwa, wanakuwani km kibaka anayejiibia mwenyewe
   
 10. S

  Safhat JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ivi nyinyi mnaojiona mko weng mbona hamshindi kwny uchaguz mkuu?!!!au ni pambo 2 kuwa mpo weng?
   
 11. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  "time will tell"
   
 12. Mr.Professional

  Mr.Professional JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,602
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  jamaa nilishawasahau kama bado wapo katika gemu ya siasa
   
 13. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  lakini hawa jamaa kwenye uchaguzi wa mbunge arusha walipata 2%
  nashangaa kwaenye mkutano walivyojaa au ndo mambo ya julius mtatiroo na sera zake za kuvunja UdiN
   
 14. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Sawa sawaaa....?? sawasawaaaaa....??
   
Loading...