mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 1,364
- 2,387
Zamani CCM ilikuwa inatumia watu wa vijijini wasio na elimu na uwezo wa kuhoji wala kujaji chochote, walikuwa wakiaminisha watu kuwa bila wao CCM basi Tanzania haitakuwa na Amani, Na ninashangaa kwa kutumia wazee wa zamani , bado wanaendelea kutumia staili na propaganda za zamani ambazo ni kuwatisha, kuongea mambo ambayo sio ya kweli.
Kwanza lazma CCM ijue nchii wazee ambao wengi ni CCM lia lia kuanzia miaka 60 kwenda mbili ni chini ya asilimia 2% ya population nzima, na kwamba wapiga kura wengi ni vijana kati ya miaka 18-35. ambao hapa hakuna wa kumdanganya, na hawa ndo wengi Ki idadi Tanzania nzima, na wengi hawana kadi ya chama chochote , wao wanaangalia upepo wa nchi , na kujaji kwa haki nani atawafaa. Lazma sasa CCM itambue hakuna mtanzania hata mmoja ambaye hajui kuwa CCM wanaibaga kura na kupora uchaguzi, hili kila mtu anajua.
Propaganda za kizamani za CCM
1. Maendeleo tunayopata ni mama/rais amefanya, na wala sisi wananchi hatuna mchango wowote , wala sio kodi zetu zilizotumika, (Yani unajitapa na vitu vilivyofanyika kwa kodi yetu)
2. Upinzani ukiingia madarakani Nchi itakuwa na vita
3. Tume iliyopo ni tume huru na Ya haki, haiibi uchaguzi, - hakuna siku wamesema au kukubali tume sio huru
4. Serikali haifahamu chochote kuhusu mambo ya utekaji.
5. Serikali na watu haijui kuna viongozi wa serikali wamejilimbikizia mali kuliko uwezo wa mishahara yao (hii kitu hakuna mwanachi hajui kuwa mnatumia madaraka kujitajirisha, na huku mtaani sisi ndo tunawauzia viwanja, nyumba, materials ya kutengenezea magari) hapo dodoma magorofa ya viongozi wa serikali ni mengi na wajenga kupitia ufisadi
Wananchi nikumbusheni na propaganda nyingine, kiukweli CCM na serikali hawajua uwezo wa hawa vijana wa sasa hivi watanzania, ni wana uelewa mkubwa mno, jaribuni kuwapa hata nafasi kukaa nao kufanya mijadala , sio watu wa kuwadanganya, they are very smart. Nenda tu hata kwenye kijiwe cha boda boda uone wanavyochambua mambo, serikali ingeweza kutumia propaganda kwa wajinga tu