Uongo wa dini za kihuni za Mashariki ya Kati(Middle East)

Hebu nitajie hizo ibada za kuabudu Muhamad,Ibrahimu na Yesu kama mizimu...wanaabudu vp?
 
Hakuna nilipokwambia umeshawahi kufanya hivyo au hukuwahi kufanya,ndiyo nimekuuliza kutaka kujua kama umewahi kufanya hivyo?
Na ndio maana nimekuuliza, kivipi unauliza swali ambalo nimekwisha jibu?
 
Sasa km unaamini uchawi upo
Unashindwaje kuamini na nguvu ingine(ya Mungu)kuwepo?
Ungesema kuna mafundisho baadhi ya uongo wanatulisha ama baadhi wanapotosha ningekuelewa,rudia kuandika Uzi huu
 
Sasa km unaamini uchawi upo
Unashindwaje kuamini na nguvu ingine(ya Mungu)kuwepo?
Ungesema kuna mafundisho baadhi ya uongo wanatulisha ama baadhi wanapotosha ningekuelewa,rudia kuandika Uzi huu
Nani kasema Mungu hayupo?
Soma Uzi vzuri
 
Basi facts zake aweke sawa, hii mpya kusikia kuwa kuwa mwafrika anafia nchi.
Ww unadai wao ni Ndugu na Ww ila wao hawakutambui. Wakiwa huku wanajifanya wote wamoja ila Ww nenda kule utatengwa na kunyanyapawa zaidi ya mbwa
 
Ww unadai wao ni Ndugu na Ww ila wao hawakutambui. Wakiwa huku wanajifanya wote wamoja ila Ww nenda kule utatengwa na kunyanyapawa zaidi ya mbwa
Mimi ni ndugu na muislam yoyote, ata awe anatoka makorokoroni. Suala la fulani ananitambui au hanitambui hilo kwangu halina umuhimu. Sisi tunafundishwa, Baya hulipwa kwa jema. Kwaio ondoa dhana kama kuna Muislam anafia Saudia, huo ni ujinga wa kupitiliza. Inaonekana watu hawajui hata chimbuko la Jina Saudia.
 
Hebu tujuze kuhusu Saudia_hata kwa uchache
 
Frustration jina hili pekee linanifanya nitafakali sana uzi wako nahisi umechanganyikiwa
 
Frustration jina hili pekee linanifanya nitafakali sana uzi wako nahisi umechanganyikiwa
Watu ndio wana-frustrate kwa kubeba mizigo ya watu na kuacha ya kwao. Mm nawakumbusha huo mzigo sio wako muutue na mbebe wenu.
 
Mwalimu JK aliwahi kusema "moja ya dhambi kubwa iliyofanywa na ukoloni ni kuwaaminisha waafrika kua hawakua na tamaduni zao na kama wangekua nazo,basi zilikua ni ushenzi tu"
 
Mwalimu JK aliwahi kusema "moja ya dhambi kubwa iliyofanywa na ukoloni ni kuwaaminisha waafrika kua hawakua na tamaduni zao na kama wangekua nazo,basi zilikua ni ushenzi tu"
Kuna watu wanashabikia hilo na wanakaririshwa vyuoni.
Bado tunasafari ndefu katika ukombozi wa kweli kwa mwafrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…