Uongo unanitesa, je nifanyeje niepuke aibu hii?

Uongo ni Asili ya mtu wala hauna dawa...maana Mimi kuna mtu mzima namjua lakin kwa uongo anatisha
 
Nimekuwa muongo sana tangu nikiwa mvulana. Sasa nimekuwa baba mtu mzima ila bado nadanganya hata vitu visivyo na maana najikuta nimedanganya.

Nifanyeje ili niishinde kadhia hii maaana nina aibika na kuumbuka na kudanganya huku najikuta tu tayari nimesha danganya.
Ccm uongo ni jeshima kubwa, kwahiyo endelea kupiha fix tu kamaaccm wenzako.
 
Kuna Mzee hapa kazn kwangu nimuomgo hatar
Lkn wajita na wasukuma ndyo waongo sana,kwani ww watoka kwenye makabila hayo Mkuu!
 
Back
Top Bottom