Naanza kuelewa sasa KWANINI Yesu alisema. yeye YESU NI NJIA , KWELI NA UZIMA.
Yn 14:6 SUV
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Ule utafiti WA SAFINA ya NUHU wameupora na kukimbilia kuanza kufanya kazi harakaharaka ,LENGO KUU TU ni KUFICHA UKWELI WOWOTE ULIOPO katika AAFINA YA NUHU USI IFIKIE DUNIA.
wao ndio Wana amua UKWELI ni UPI na UONGO ni UPI,wao ndio wanatawala vyombo vya habari ,wanatawala mitaala ya ELIMU..
11.JE ELIMU hii tunayoipata ya western inakusaidia kuyatawala mazingira Yako,elimu hii ya darasani inakusaidia ku unleash your potential au ni MFUMO WA kibabiloni WA kukufanya mtumwa...yule KIJANA WA ZIMBWABWE aliyegundua gari inayotumia ENERGY ya mawimbi ya radio,aliishia FORM TWO ...ugunduzi aliogundua una defy Newtons laws of energy inayosema energy can not be created but can be transformed from one form to another.
Hii ELIMU TUNAYOSOMA INA UONGO MWINGI.
watoto WETU wanafundishwa ku label mabawa ya panzi ,panzi ana miguu mingapi,wachinanwana wafundisha watoto wao elimu ya kutawala mazingira ,mapinduzi ya vuwanda demand ya MAHITAJI ya soko la DUNIA ,kusovu changamoto za jamii fursa za kiuchumi zilizopo.