PICHA daktari wa kizungu kutoka ulaya amekuja umasaini kuwashauri wamasai waachane na mfumo wao wa maisha wa kiasili wa kula vyakula vyao vya asili ya kimasai nyama na maziwa kuwa vina madhara kiafyaKILA MTU AWE JASUSI WA KUJUA UKWELI WA MAZINGIRA YAKE ...USIAMINI KILA UKWELI UNAO AMBIWA MWINGINE SIO UKWELI ILA NI UONGO..KWA MASLAHI YA WATU WENGINE..
nimeona matumizi ya haya mambolea yameua ardhi ya baadhi ya maeneo..na kisababisha utegemezi ..TURUDI KWENYE ASILI YETU..NATURE... wengine walikuwa na Ile kampeninya BACK TO EDEN wale wasabato nafikiri...sijui imeishia wapi.
UONGO NI MWINGI KULIKO UKWELI.
Ukweli wa kisheria na kihistoria kuhusu kesi maarufu ya Dr. Sebi (jina lake halisi Alfredo Bowman) ya mwaka 1987–1988 katika Mahakama ya New York una mkanganyiko mkubwa kati ya yale yanayoaminika kwenye mitandao na ukweli uliopo kwenye kumbukumbu za mahakama. [1, 2, 3]
Zifuatazo ni hatua halisi zilizotokea mahakamani na jinsi kesi hiyo ilivyomalizika:
1. Chanzo cha Kesi
Mnamo mwaka 1987, Dr. Sebi aliweka matangazo kwenye magazeti makubwa ya New York (kama Village Voice na Amsterdam News) akidai kuwa taasisi yake ya USHA Herbal Research Institute imepata dawa ya kuponya kabisa UKIMWI, Saratani, Kisukari, na magonjwa mengine. [1, 2]
Kufuatia matangazo hayo, Mwanasheria Mkuu wa New York, Robert Abrams, aliamuru akamatwe. Dr. Sebi alifunguliwa mashitaka ya jinai kwa kosa la kufanya kazi ya udaktari bila leseni (practicing medicine without a license). [1, 2]
2. Kilichotokea Mahakamani (Kesi ya Jinai - 1988)
Wakati wa kusikilizwa kwa kesi hiyo katika Mahakama ya Brooklyn (Brooklyn Supreme Court) mwaka 1988: [1]
- Ushahidi wa Wagonjwa: Jaji alimtaka Dr. Sebi kuleta wagonjwa ambao angeweza kuthibitisha walikuwa wagonjwa na wamepona chini ya uangalizi wake. Inaripotiwa kuwa Dr. Sebi alileta mashahidi (wagonjwa wa zamani) kati ya 70 hadi 77 mahakamani wakiwa na vyeti vyao vya matibabu kuonyesha walipona.
- Uamuzi wa Baraza la Wazee (Jury): Baraza la wazee la watu 12 lilimkuta Dr. Sebi hana hatia (not guilty
umekula chumvi nyingi=nyinyi ni chumvi ya dunia/ulimwengu.
Hii ni kauli kutoka katika Biblia kwenye Mathayo 5:13, ambapo Yesu anawaambia wafuasi wake kwamba wao ni chumvi ya ulimwengu. [1]
Maana Yake
- Kutoa Ladha: Kama vile chumvi inavyotia ladha kwenye chakula, waamini wanapaswa kuleta mema, amani, na maadili mazuri katika jamii inayowazunguka.
- Kuzuia Uharibifu: Wakati wa Yesu, chumvi ilitumika kuhifadhi chakula ili kisori au kuoza. Wafuasi wa Kristo wanatakiwa kuzuia maovu na mmomonyoko wa maadili duniani.
- Kupoteza Ladha: Yesu anaonya kwamba chumvi ikipoteza nguvu yake, haifai tena kwa kitu chochote ila kutupwa nje na kukanyagwa na watu. Hii ina maana kwamba Mkristo anapoacha kuishi kulingana na neno
Sema AyayayayaKwa akili kama hizi akina Mwamposa na akina Tonny Kapola Gas Station watatajirika mpaka wachoke!
2 Wafalme 2:19–22. Watu wa Yeriko walimwambia Elisha kwamba maji ya mji huo yalikuwa mabaya na ardhi ilikuwa haizai.Mkuu hivi kuogea chumvi ni sawa
Ahahahahaaaa........ ndio nini hiki sasa!!!Sema Ayayayaya
Asante mkuu... noted!2 Wafalme 2:19–22. Watu wa Yeriko walimwambia Elisha kwamba maji ya mji huo yalikuwa mabaya na ardhi ilikuwa haizai.
Elisha akaomba walete bakuli jipya lenye chumvi, kisha akaenda kwenye chanzo cha maji na kuitia chumvi. Akasema:
“Bwana asema hivi: Nimeyaponya maji haya; hakutakuwa tena na mauti wala kuharibika kutoka humo.”
2 Wafalme 2:21
Na Biblia inaendelea kusema kwamba maji yale yakaponywa, kama Elisha alivyosema. 2 Wafalme 2:22
Apostle kuna muujiza huku!Ahahahahaaaa........ ndio nini hiki sasa!!!
Mkuu wewe unadhani dunia imekaaje?Kwamba dunia ni duara, hii kitu naona kuna namna tulisokotwa aiseeeee 😜
Mkuu siku hizi si jambo baya kujichunguza juu ya afya yako ya akili. Stresses zikiwa nyingi plus much unsolved problems humpelekea mtu kuja na hisia tofauti na wengine.Shetani alitupwa hapa DUNIANI kutoka mbinguni.
Ufunuo 12:9, maneno haya yanamtaja Shetani au Ibilisi. Aya hiyo inasema:
"Yule joka mkubwa akatupwa chini, yule nyoka wa zamani, aitwaye Ibilisi na Shetani, ayevidanganya vizazi vya mataifa yote (au mwenye kuudanganya ulimwengu wote); akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye."
Hata ukisoma FALAKI ILIMU ya maarifa ,ILIMU ya uchawi nayo inamtambua KWA NAMNA hii hii SHETANI ni mwenye kuudanganya ulimwengu wote.
Nitaandika KWA kifupi sana ili Uzi usiwe mrefu japo Nina mengi ya kuandika.
1.HAKUNA ALIYEKWISHA WAHI KWENDA WALA KUFIKA MWEZINI.
Juu ya anga la DUNIA kuna kifuniko kigumu glass firmament inayofunika na KUZUIA Anga ambayo hairuhusu kupenya kutoka nje ya dunia.
Na DUNIA sio tambarare flat sio duara ,Ina misingi ama nguzo zake chini ya bahati,halafu imezungukwa na kingo za barafu Antarctica.
(Hii TU ni topic yake kuhusu DUNIA sio duara ila ni tambarare..
Wanachokifanya kila mara wanaporusha roketi juu angani kusema wanakwenda MWEZINI LENGO lao ni kutaka kuboma hicho kifuniko cha glass kinachofunika anga la DUNIA ili WA escape nje ya dunia LENGO wanaotaka kutoroka ADHABU ya hukumu ya Mungu wanajua Mungu atashusha Hukumu yake.
Lakini mara zote wanapojaribu wanafeli kubomoa hiyo glass ngumu inayofunika anga roketi inaishia kulipuka wanaishia kusema hotilafinilitokea angani chombo kikalipuka,LENGO la wanaotaka wabomoe wapate mlango WA kutokea kutoroka hapa DUNIANI.
Yani ni kama SISI viumbe vya DUNIANI TUNAISHI kwenye DUNIA tambarare yenye kingo za barafu na juu ya anga kuna maji yanayo onekana anga la bluu,kinachotenganisha maji ya angani ni glass kubwa ngumu ya kiooo yenye madirisha ambayo Mungu hufungua akitaka kususha maji ya angani,na nguzo za DUNIA zipo chini ya bahati ARDHINI maji ya ARDHINI.
Hakuna mwanadamu anayeweza kutoka humu DUNIANI tumefungiwa ndani,haiwezekani kwenda MWEZINI.
Ni mwendelezo WA MNARA WA BABELI waliotaka kutoka nje ya dunia kwenda mbinguni.
Mwezi na JUA ni mianga sio kitu unaweza ukakishika.
Shetani MAANA yake ni mwenye kuudanganya ulimwengu.
2.Dawa ya meno ya kupigia maswali,KUANZIA miswaki ya plastiki,na MADINI ya fluoride YALIYOPO kwenye dawa za meno pamoja na maji ya kunywa yanaenda kurundika a katika pineal gland ya ubongo na KUZUIA ufanyaji kazi WA sehemu hiyo ya ubongo.Hii Ina athiri hisia mood,usingizi,uchovu,usingizi,na kiroho pineal gland ni JICHO LA TATU la kiroho,linakuwa blinded.
3.Dawa za KIASILI za mitishamba mimea na majani mizizi n.k kuwa ni mbaya.
Magonjwa yote yanatibika kwa dawa za KIASILI na mitindo ya maisha ikiwemo vyakula.
MFUMO WA vyakula ikiwemo majani ya chai,sukari,ulaji WA Milo mitatu na MFUMO mzima WA lishe....nguvu ya kufunga FASTING katika mwili kujiponya na kujitengeneza si lazima kula Milo mitatu kwa siku.
Hapa kuna MENGI ya kuandika ila na shauri umsome DR SEBI Traditional herbalist aliyeponya magonjwa yote kwa mtindo WA maisha vyakula ,na dawa za mitishamba
Dr SEBI DR SEBI DR SEBI
4.Kuambiwa kuwa wanadamu tumetoaka a na NYANI badala tumeumbwa na Mungu.
5.Kuambiwa kuwa hakuna Mungu
6.Kuambiwa kuwa BLACK RACE watu weusi hawana mchango katika civilisation na maendeleo ya dunia ,KWA kifupi historia ya MTU mweusi imeondolewa imefichwa imegeuzwa ili MTU mweusi asijue ASILI YAKE CHIMBUKO LAKE...sisemi kwamba black race ni superior ila nasema historia yake ime fichwa.
Kuna uwezekano asilimia kubwa ya tunaodhani ni UKWELI WA mambo katika DUNIA hii tuliyonayo ni UONGO.
kuna mwanamziki aliwahi kuimba THERE IS NO TRUTH IN THIS WORLD hakuna ukweli DUNIANI ,japo alitumia tungo tata maaana nyingine ni kwamba UONGO NI MWINGI DUNIANI
7.AI ARTIFICIAL INTELLIGENCE MAROBOTI sio kitu chenye Nia njema kwa mwanadamu kama kinavyo onekana,MAROBOTI ni tool ya kuotawala DUNIA ili wanadamu wote wapokee chapa ya mnyama
MICRO CHIP ..NEURO LINK..LENGO ni KUMTAWALA mwanadamu,wanasema wamefikia uwezo WA ku mhack mwanadamu kama wanavyo HAKI computer
8.CHANJO mRNA vaccine Zina alter na kubadilisha DNA Yako,chanjo hizo za lazima zinakuja...Zina micro chip itakayo badilisha DNA Yako
9.DAWA ZA UZAZI WA mpango,naona WENGI wanaeza wakashihudia hapa madhara yake(dawa za viwandani KWA ujumla ni biashara kuna agenda
10.GMO/MBEGU ,pembejeo na mbolea za viwandani agriculture....hiyo ni biashara ,kuna agenda nyuma.
KUNA HAJA YA KURUDIA KUISHI KIASILI wale WA HADZABE wanaishi natural hawana chanjo,hawana hospitali,hawana dawa za hospitali.
Nitakuwa naongezea hapa chini UONGO mwingine tunaouamini kuwa ni KWELI kadiri nitakavyopata nafasi.
Mkuu siku hizi si jambo baya kujichunguza juu ya afya yako ya akili. Stresses zikiwa nyingi plus much unsolved problems humpelekea mtu kuja na hisia tofauti na wengine.
Suala la uwepo wa kioo kigumu juu ya nchi badala ya tabaka la hewa ndilo linaniogopesha zaidi kutoka kwako. Sayansi na teknolojia kwa sasa viko juu sana kuhusu dunia yetu, maandiko yenyewe yameligusia hilo kwa nyakati zetu.
Jambo la msingi ni utambue, Biblia haijataja kabisa kuhusu kuumbwa kwa dunia, bali inataja juu ya uwepo wa dunia huku sura yake ikiwa imezungukwa na vilindi vya maji, giza, na ukiwa, huku Roho ya Mungu ikiwa juu yake.
Kwa hiyo maandiko hayataji kuumbwa kwa maji, bali inasema yalikuwapo na Mungu akayatenganisha na nchi kavu ili iwe makazi ya wananadamu, mimea, na wanyama wengine ili vizaliane kwa jinsi yake.
Kwa hiyo yule Joka kutupwa juu ya nchi na malaika zake tukio hili lifanyika kabla ya binadamu kuumbwa na kuishi juu ya nchi. Ila ni bayana kuwa alitupwa dunia na kuwekwa kifungoni kwa muda kuzimu ili asubiri hukumu yake ya milele katika ziwa la moto.
Shetani alikuwa wa kwanza kutupwa juu ya nchi kabla ya uwepo WA mwanadamu. Na hakanushi juu ya dai hilo, kwani hunena wazi kuwa ni mali yake na milki zake, naye humpa atakaye akitaka, alimjaribu Yesu kwa hilo na hata naye hakumpinga juu ya hilo, bali alimkemea katika suala la kutaka kuabudiwa kama Mungu.