Uongo ambao dunia inauamini kuwa ni ukweli

Uongo ambao dunia inauamini kuwa ni ukweli

Maandiko hayataji kuumbwa KWA maji?

Mungu ndiye aliyeviumba vitu vyote (soma biblia)
Kati ya mbingu na nchi kipi kilianza kuumbwa? na kwanini MUNGU alitulia juu ya kilindi cha maji..... kuna nini kilindini? hata YESU alimwambia petro akavue kilindini..
 
Kati ya mbingu na nchi kipi kilianza kuumbwa? na kwanini MUNGU alitulia juu ya kilindi cha maji..... kuna nini kilindini? hata YESU alimwambia petro akavue kilindini..

Wengi wanaamini kama vilindi vya maji ndio SOURCE YA UHAI..(kimakosa VERY WRONGLY)
BIBLIA INASEMA WAZI KUWA CHANZO CHA UHAI ni NENO pasipo yeye hakuna kilichofanyika ambaye NENO na BABA ni WA moja na Roho.

Haya SAWALI SASA
NANI ALIUMBA VILINDI VYA MAJI?..

Kulingana na maandiko ya Biblia, Mungu ndiye aliyeweka msingi na kuumba vilindi vya maji.
Katika vitabu mbalimbali vya Biblia, vilindi vya maji vinatajwa kama sehemu ya kazi ya uumbaji wa Mungu na mamlaka yake:
• Mithali 8:27-28 – Mstari huu unasema Mungu alipozithibitisha mbingu alikuwako, na alipopiga dira juu ya uso wa vilindi, na kuzifanya thabiti chemchemi za vilindi.
• Mwanzo 1:2 – Hapo mwanzo kabla ya uumbaji wa siku sita kukamilika, giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi, na Roho wa Mungu alitulia juu ya uso wa maji.
• Zaburi 104:6 – Inasema Mungu alifunika nchi kwa vilindi kama kwa vazi, na maji yalisimama juu ya milima.
Maandiko haya yote yanasisitiza kuwa hakuna kitu kilichojiumba chenyewe, na hata maeneo marefu na yenye kina kirefu zaidi cha bahari (vilindi) yapo chini ya uumbaji na mamlaka ya Mungu.
 
Mafundisho ya kwamba MAJI ndio source ya UHAI ni mafundisho potofu ya KISAYANSI sio ya kibiblia.
 
Center of life ni NENO (YESU) hakuna ambacho hakitokani na YESU ,hata WABAYA au Roho mbaya/chafu ama shetani mwenyewe kwa siku ya UBAYA

Aliumba vyote KWA AJILI ya utukufu wake Naam HATA WABAYA KWA SIKU YA UBAYA

YES tunahitaji maji---YESU ni MAJI YA UZIMA.
yes tunahitaji LIGHT(photosynthesis)--YESU ni NURU YA ULIMWENGU
yes tunahitaji pumzi ya UHAI--Mungu ndiye aliyepulizia Pumzi ya UHAI KWA mwanadamu.
Yes tunahitaji MITI(mimea) ---YESU ni mti WA uzima
Tunahitaji chakula MKATE---YESU ni mkate WA uzima ,na MAHITAJI YETU anayetuoatia RIZIKI MIKATE YETU ya kila siku ni MUNGU.

MAJI water hayawezi yakawa SUPERIOR kuliko MUNGU.

ni KWELI tunabatiza KWA maji whatsoever Vilindi vya MAJI na importance ya maji katika ku support life..hata ndani ya miili YETU whatsoever SCIENCE BEHIND.

MWISHO WA siku MUNGU ni SUPREME superior kuliko MAJI.

Mungu ndiye CHANZO Cha UHAI..sio MAJI...maji yametokana na MUNGU...na sio kwamba MUNGU ametokana na maji.
 
Wakolosai 1:16-17
kinathibitisha hili kwa kusema:

"Kwa kuwa katika yeye vitu vyote viliumbwa, vilivyo mbinguni na vilivyo juu ya nchi... vitu vyote viliumbwa kwa njia yake na kwa ajili yake. Naye amekuwako kabla ya vitu vyote, na vitu vyote hushikamana katika yeye." Hii inamaanisha hakuna kitu kinachoweza kuwa juu yake, iwe ni maji au mfumo wowote wa kiikolojia.
 
FACT iliyothibitika maji Yana uwezo WA kuchukua nguvu ya NENO ,ya ROHO iiyopo kwenye surrounding maji yanauwezo WA kubeba nguvu ya kiroho hata iliyopo ndani ya watu WALIOPO karibu na eneo maji yalipo, nguvu ya kiroho iliyopo atmosphere ya eneo,au iliyopo ndani ya watu WALIOPO karibu na maji,
Maji yanauwezo WA kuchukua hata nguvu ya picha ,maandishi,objects zilipo karibu na maji au containers au cans zilizobeba hayo maji.
HII IMETHIBITIKA KISAYANSI.

Maji au vimiminika fluids vitu VYA MAJI maji..vinaweza kubeba negative au positive energy.

MAJI YENYEWE KIROHO(PLAIN WATER)
Ukiyatamkia maji maneno UKAYANUIZIA ,au ukayasemesha maji MAOMBI Fulani yake maji yanabeba Ile nguvu ya ROHO ya yale maneno ,iwe umenuizia UBAYA cast /uchawi ama umenuizia baraka ..so yanaweza yakawa maji ya baraka au yakabeba Cast LAANA..halafu unaweza ukaogea au ukamwagia sehemu kwenye ardhi ama ukapaka MAHALI.

Lakini inapaswa uchukue maji Yako unayoyaamini au ya nyumbani kwako usipewe maji na MTU huyafahamu yanaweza yakawa yamebebaba energy tofauti.

MAJ YANABEBA NGUVU YA MAANDISHI NAMBA HERUFI
Mfano ukiandika maandishi kwenye karatasi mfano KOMBEO inatumika kalamu ya wino mwekundu yale maandishi Yana dissolve kwenye maji..Maji yanabeba nguvu ya kiroho ya yale maandishi

Lakini hata usipoyeyusha karatasi ,ukiweka TU karatasi yenye maandishi ya maneno maji yanabeba nguvu ya yale maneno

VINYWAJI VYA VIWANDANI VYA CHUPA NA KOPO
Yale maandishi yaliyopo juu ya chupa za vinywaji na zile namba maji yanabeba nguvu ya kiroho ya Ile maandishi
Mfano alama za kishetani,laaana ya mauti,HILA za shetani za siri zilizo juu ya LEBO,NAMBA,MICHORO,MANENO ya LEBEL ZILIZOPO kwenye vinywaji..maji Yana beba. Ile nguvu.
Mfano NENO PEPSI= ukiligeuza upside down linasoma IS dEd herufi E imegeuzwa kama Eminem anavyogeuza herufi E
Coca Cola nayo hilo NENO ni la miungu kishetani
Energy drink Zina alama namba mfano Ile 666 Ile monster energy imeandikwa kiebrania kama mistari mitatu.
Zile bar codes
Lakini pia shetani Huwa anavilaani vinywaji kabla
Kuna namba symbols,herufi maneno ya siri ya kishetani..sasa ukinywa hivyo vinywaji unabeba Ile LAANA ,lakini mbali na hivyo ni UNHEALTHY DRINKS

same goes to alcoholic beverages

MAJI YA KUNYWA NYUMBANI YALIYO WAZI KWENYE GLASS ama ANAYEPIKA CHAKULA mana naye anatumia maji ,Kama alikuwa ana pika chakula wakati WA kupika mchuzi alikuwa na HASIRA,HUZUNI energy YOYOTE ule mchuzi maji maji ya chakula yanabeba Ile energy yake,ama glass ya maji MEZANI Ina beba nguvu ya kiroho ya atmosphere around glass ya maji (ukinywa maji hayo unabeba hiyo energy)

KWENYE MAOMBI NA UBATIZO)
Maji ya ubatizo yanabeba nguvu ya maneno ama SALA inayotamkwa wakati WA ubatizo SI MAJI MATUPU TU ni MAJI yaliyobena NENO lililotamkwa Roho energy

MAJI YA BARAKA NASHAURI chukua maji Yako mwenyewe nyumbani kwako yaombeee mwenyewe ama yapeleke yakaombewe na mtumishi WA Mungu WA KWELI,lakini NASHAURI uombe mwenyewe,yale maji yanabeba yale MAOMBI Yako Ile nguvu ya NENO ulilolitamka wakati WA kuombea MAJI Yako na YATAKUWA maji ya BARAKA.yatakuwa na nguvu ya kiroho hayatakuwa maji MATUPU TU.

NA CHUMVI NI HIVYO HIVYO..wengine wanachanganya MAJI +CHUMVI wanaviombea ,chumvi inawakilisha AGANO ama MKATABA una cement

Uchawi ) ushirikina nao wabatumia hivyo HIVYO...SHETANI Hana jipya ANA IGA copy kutoka kwa MFUMO WA Mungu
 
Kama inawezekana jilinde kujitia UNAJISI kwa kunywa haya mavinywaji ya viwandani,masoda na majuisi ya viwandani..kwanza Yan madhara kiafya ya MWILI na hata kiroho.

Kina DANIEL,MESHACK,SHEDRACK ,ABEDINEGO waliepuka kujitia UNAJISI kwa kula vyakula vya mfalme (KWA LEO VYAKULA VYA MFALME ndio haya ma fast foods,junks ,soda na juisi za viwandani..UKIWA MTU WA KIROHO utaelewa shetani anavyofanya kazi kwa HILA kupitia haya ma junks matakataka
 
Huwa najiuliza ya matikiti yenye umbo kama mpira na rangi ya kijani yamekwenda wapi? Zile nyanya chungu zenye mistari zipo wapi sasa hivi? Ule mchele uliokuwa unaitwa mchele kitumbo kimuonekano una punje fupi halafu nene wakulima waliacha kulima? Sababu ni zipi?
 
Kwa hiyo yule Joka kutupwa juu ya nchi na malaika zake tukio hili lifanyika kabla ya binadamu kuumbwa na kuishi juu ya nchi. Ila ni bayana kuwa alitupwa dunia na kuwekwa kifungoni kwa muda kuzimu ili asubiri hukumu yake ya milele katika ziwa la moto.

1.Shetani hayupo kifungoni kuzimu.
Kule kuzimu aliyefungwa ni ABADON/APOLION

wapo na wengine fallen angels kule chini ya mto Euphrates malaika 4 na wengine .

ILA SHETANI yupo free anazunguka zunguka humu DUNIANI kama simba aungurumaye akitafuta MTU ameze.

Ndiye mshitaki WETU.

kule kuzimu ana enzi yake ..ofisi zake

Shetani pia ana enzi yake katika mbingu hapa juu angani(mkuu WA anga ,na majeshi yake majemedari WA angani,wenye mamlaka WA kipepo)

Pia shetani alipata mpaka mbinguni Tena kwenda kwa MUNGU kumshitaki AYUBU ,na anaongea na Mungu,na anazunguka huku na HUKO DUNIANI..na alienda bustani ya edeni kumjaribu ADAM na HAWA na hata YESU pia alimjaribu.

Shetani ana zunguka maeneo yote kuzimu,DUNIANI , mbinguni angani.
(Kwa mujibubwa biblia soma MAANDIKO utayaona)

Uwepo WA firmament ni WA kibiblia ,biblia inasema DUNIA ni BAPA Ina kingo za barafu,na Ina nguzo chini ya bahari.
Biblia haisemi DUNIA NI SPHERE.
google TU mwenyewe shape ya DUNIA kibiblia utapata majibu tumia TU hata AI.
na hiyo firmament ndiyo inatenganisha maji YALIYOPO angani na ARDHINI...na Ina madirisha na milango ya mbinguni(soma biblia Yako)
Mkuu kuhusu Ibilisi kuwa ana uhuru wa kuuhadaa ulimwengu wote, ili amebakia na muda mchache mno. Ila kuhusu dunia kuwa na umbile lisilokuwa la tufe, hapo nahitaji rejea ya maandiko kutoka kwako.
 
Mkuu kuhusu Ibilisi kuwa ana uhuru wa kuuhadaa ulimwengu wote, ili amebakia na muda mchache mno. Ila kuhusu dunia kuwa na umbile lisilokuwa la tufe, hapo nahitaji rejea ya maandiko kutoka kwako.

. Anga Kama Kuba Thabiti (Firmament / Dome)
Katika cosmolojia ya kale, anga lilichukuliwa kama bakuli thabiti lililopinduliwa juu ya dunia ili kuzuia maji ya juu yasianguke chini. Neno la Kiebrania lililotumika hapa ni "Raqia" (רָקִיעַ), ambalo linaashiria kitu kilichopondwa au kupondwa kwa nyundo kikawa kigumu (kama bati la shaba):
• Mwanzo 1:6-7 — "Mungu akasema, Na liwe anga (raqia/firmament) katikati ya maji, likatenge maji na maji. Mungu akalifanya anga, akatenga yale maji yaliyokuwa chini ya anga na yale maji
yaliyokuwa juu ya anga; ikawa hivyo."

• Ayubu 37:18 — "Je! Waweza kutandaza anga pamoja naye, lililo imara kama kioo kilichoyeyushwa?"

• Zaburi 148:4 — "Msifuni, enyi mbingu za mbingu, nanyi maji mliyoko juu ya mbingu."

2. Dunia Kujengwa Kwenye Misingi Chini ya Bahari
Mistari hii inaeleza dunia kuwa na misingi na nguzo zilizosimamishwa ndani ya maji makubwa ya chini (the deep/abyss) ili ardhi isitikisike:

• Zaburi 104:5 — "Aliiweka nchi juu ya misingi yake, isitikisike milele."

• Zaburi 24:1-2 — "Nchi na vyote viujazavyo ni vya BWANA... Maana aliiweka juu ya bahari, na kuiweka imara juu ya mito."

• 1 Samweli 2:8 — "...Maana nguzo za dunia ni za BWANA, naye ameweka ulimwengu juu yake."

• Ayubu 38:4-6 — "Ulikuwa wapi nilipoiweka misingi ya nchi?... Au msingi wake ulizikwa juu ya kitu gani? Au ni nani aliyeweka jiwe lake la pembeni?"

3. Dunia Kuwa Tambarare (Bapa / Flat)
Mistari hii inataja vitu vinavyowezekana tu ikiwa dunia ni tambarare (bapa), kama vile kuona dunia nzima ukiwa juu ya mti mrefu au mlima mrefu, au dunia kuwa na mipaka na pembe:

• Danieli 4:10-11 — "Maono ya kichwa changu kitandani mwangu yalikuwa hivi; naliona, na tazama, mti katikati ya dunia, na urefu wake ulikuwa mkubwa sana. Mti huo ukakua, ukawa na nguvu, na urefu wake ukafika mpaka mbinguni, na kuonekana kwake kulifika mpaka mwisho wa dunia yote." (Kwenye tufe huwezi kuona mti mmoja ukiwa pande zote za dunia).

• Mathayo 4:8 — "Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha falme zote za ulimwengu na utukufu wao."

• Ufunuo 7:1 — "Baada ya hayo naliona malaika wanne wamesimama katika pembe nne za nchi, wakizizuia upepo nne za nchi..."

• Ayubu 38:13 — "...ili ishike miisho ya dunia, na wabaya wakung'utwe kando yake?"

Watafsiri wengine WA theolojia wanatafsiri kuwa lugha iliyotumika ni USHAIRI mara ni lugha ya picha haikuwa na MAANA hiyo ..LENGO ni KUAMINISHA watu kuwa DUNIA ni duara.

Lakini NENO linasema kwamba
• Luka 12:2 – "Hakuna kilichositiriwa ambacho hakitafunuliwa, wala kilichofichwa ambacho hakitajulikana."

• Mathayo 10:26 – "Kwa hiyo msiwaogope; kwa maana hakuna neno lililositirika ambalo halitafunuliwa, wala lililofichwa ambalo halitajulikana."
 
Back
Top Bottom