Uongo ambao dunia inauamini kuwa ni ukweli

Shetani alitupwa hapa DUNIANI kutoka mbinguni.

Ufunuo 12:9, maneno haya yanamtaja Shetani au Ibilisi. Aya hiyo inasema:
"Yule joka mkubwa akatupwa chini, yule nyoka wa zamani, aitwaye Ibilisi na Shetani, ayevidanganya vizazi vya mataifa yote (au mwenye kuudanganya ulimwengu wote); akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye."

Hata ukisoma FALAKI ILIMU ya maarifa ,ILIMU ya uchawi nayo inamtambua KWA NAMNA hii hii SHETANI ni mwenye kuudanganya ulimwengu wote.

Nitaandika KWA kifupi sana ili Uzi usiwe mrefu japo Nina mengi ya kuandika.

1.HAKUNA ALIYEKWISHA WAHI KWENDA WALA KUFIKA MWEZINI.
Juu ya anga la DUNIA kuna kifuniko kigumu glass firmament inayofunika na KUZUIA Anga ambayo hairuhusu kupenya kutoka nje ya dunia.
Na DUNIA sio tambarare flat sio duara ,Ina misingi ama nguzo zake chini ya bahati,halafu imezungukwa na kingo za barafu Antarctica.
(Hii TU ni topic yake kuhusu DUNIA sio duara ila ni tambarare..
Wanachokifanya kila mara wanaporusha roketi juu angani kusema wanakwenda MWEZINI LENGO lao ni kutaka kuboma hicho kifuniko cha glass kinachofunika anga la DUNIA ili WA escape nje ya dunia LENGO wanaotaka kutoroka ADHABU ya hukumu ya Mungu wanajua Mungu atashusha Hukumu yake.
Lakini mara zote wanapojaribu wanafeli kubomoa hiyo glass ngumu inayofunika anga roketi inaishia kulipuka wanaishia kusema hotilafinilitokea angani chombo kikalipuka,LENGO la wanaotaka wabomoe wapate mlango WA kutokea kutoroka hapa DUNIANI.
Yani ni kama SISI viumbe vya DUNIANI TUNAISHI kwenye DUNIA tambarare yenye kingo za barafu na juu ya anga kuna maji yanayo onekana anga la bluu,kinachotenganisha maji ya angani ni glass kubwa ngumu ya kiooo yenye madirisha ambayo Mungu hufungua akitaka kususha maji ya angani,na nguzo za DUNIA zipo chini ya bahati ARDHINI maji ya ARDHINI.
Hakuna mwanadamu anayeweza kutoka humu DUNIANI tumefungiwa ndani,haiwezekani kwenda MWEZINI.
Ni mwendelezo WA MNARA WA BABELI waliotaka kutoka nje ya dunia kwenda mbinguni.

Mwezi na JUA ni mianga sio kitu unaweza ukakishika.
Shetani MAANA yake ni mwenye kuudanganya ulimwengu.

2.Dawa ya meno ya kupigia maswali,KUANZIA miswaki ya plastiki,na MADINI ya fluoride YALIYOPO kwenye dawa za meno pamoja na maji ya kunywa yanaenda kurundika a katika pineal gland ya ubongo na KUZUIA ufanyaji kazi WA sehemu hiyo ya ubongo.Hii Ina athiri hisia mood,usingizi,uchovu,usingizi,na kiroho pineal gland ni JICHO LA TATU la kiroho,linakuwa blinded.

3.Dawa za KIASILI za mitishamba mimea na majani mizizi n.k kuwa ni mbaya.
Magonjwa yote yanatibika kwa dawa za KIASILI na mitindo ya maisha ikiwemo vyakula.
MFUMO WA vyakula ikiwemo majani ya chai,sukari,ulaji WA Milo mitatu na MFUMO mzima WA lishe....nguvu ya kufunga FASTING katika mwili kujiponya na kujitengeneza si lazima kula Milo mitatu kwa siku.
Hapa kuna MENGI ya kuandika ila na shauri umsome DR SEBI Traditional herbalist aliyeponya magonjwa yote kwa mtindo WA maisha vyakula ,na dawa za mitishamba
Dr SEBI DR SEBI DR SEBI

4.Kuambiwa kuwa wanadamu tumetoaka a na NYANI badala tumeumbwa na Mungu.

5.Kuambiwa kuwa hakuna Mungu

6.Kuambiwa kuwa BLACK RACE watu weusi hawana mchango katika civilisation na maendeleo ya dunia ,KWA kifupi historia ya MTU mweusi imeondolewa imefichwa imegeuzwa ili MTU mweusi asijue ASILI YAKE CHIMBUKO LAKE...sisemi kwamba black race ni superior ila nasema historia yake ime fichwa.

Kuna uwezekano asilimia kubwa ya tunaodhani ni UKWELI WA mambo katika DUNIA hii tuliyonayo ni UONGO.

kuna mwanamziki aliwahi kuimba THERE IS NO TRUTH IN THIS WORLD hakuna ukweli DUNIANI ,japo alitumia tungo tata maaana nyingine ni kwamba UONGO NI MWINGI DUNIANI

7.AI ARTIFICIAL INTELLIGENCE MAROBOTI sio kitu chenye Nia njema kwa mwanadamu kama kinavyo onekana,MAROBOTI ni tool ya kuotawala DUNIA ili wanadamu wote wapokee chapa ya mnyama
MICRO CHIP ..NEURO LINK..LENGO ni KUMTAWALA mwanadamu,wanasema wamefikia uwezo WA ku mhack mwanadamu kama wanavyo HAKI computer

8.CHANJO mRNA vaccine Zina alter na kubadilisha DNA Yako,chanjo hizo za lazima zinakuja...Zina micro chip itakayo badilisha DNA Yako

9.DAWA ZA UZAZI WA mpango,naona WENGI wanaeza wakashihudia hapa madhara yake(dawa za viwandani KWA ujumla ni biashara kuna agenda

10.GMO/MBEGU ,pembejeo na mbolea za viwandani agriculture....hiyo ni biashara ,kuna agenda nyuma.

KUNA HAJA YA KURUDIA KUISHI KIASILI wale WA HADZABE wanaishi natural hawana chanjo,hawana hospitali,hawana dawa za hospitali.

Nitakuwa naongezea hapa chini UONGO mwingine tunaouamini kuwa ni KWELI kadiri nitakavyopata nafasi.
bila shaka wewe ni mfuasi wa yule kilaza aliyelelewa na mshangazi
 
Eti ulimpa Ke hela ataridhika, this is big NO....
Mpige pipe, hakikisha unamkuja hadi paja linataka kuvunjika apige nduru
downloadfile-2.webp
....
 
13.matumizi ya copper shaba kwenye afya ,ikiwemo vyombo vya vifaa tiba,vyombo vya kuhifadhi maji..vikombe vya maji ya kunywa vya shaba role ya shaba kwa ujumla katika AFYA na health system

. Kuhifadhi Maji kwenye Vyombo vya Shaba (Kuuawa kwa Vijidudu)
Maji ya kunywa yakikaa kwenye mtungi au chupa ya shaba safi kwa masaa 8 hadi 16, madini hayo huua bakteria hatari kama E. coli na Salmonella wanaosababisha kuhara.
• Tahadhari: Weka maji ya kawaida tu. Usiweke vinywaji vyenye asidi (kama maji ya ndimu au limao) kwani yatarubua shaba nyingi kupitiliza na kukusababishia sumu mwilini.

3. Nguo na Mashuka Yaliyowekwa Shaba (Urembo na Usafi)
Siku hizi kuna teknolojia ya kusuka nyuzi za shaba kwenye nguo.
• Soksi za Shaba: Husaidia kuua fangasi wa miguuni na kuzuia harufu mbaya.
• Mito ya Kulalia (Pillowcases): Tafiti zinaonyesha kulalia mito yenye nyuzi za shaba husaidia kupunguza chunusi na kulainisha ngozi kwa kuchochea uzalishaji wa collagen.

4. Vifaa vya Tiba na Hospitali
• Kuzuia Maambukizi: Hospitali nyingi za kisasa zinatumia shaba kutengeneza vitanda na vishikio vya milango kwa sababu shaba inajiua yenyewe bakteria na virusi wanaogusa juu yake
 
Pale DUNIA yote inapoaminishwa UONGO...UONGO unapotamkea mara KWA mara hugeuka UKWELI kwa jamiii na UKWELI hugeuka UONGO.
 
Shetani alitupwa hapa DUNIANI kutoka mbinguni.

Ufunuo 12:9, maneno haya yanamtaja Shetani au Ibilisi. Aya hiyo inasema:
"Yule joka mkubwa akatupwa chini, yule nyoka wa zamani, aitwaye Ibilisi na Shetani, ayevidanganya vizazi vya mataifa yote (au mwenye kuudanganya ulimwengu wote); akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye."

Hata ukisoma FALAKI ILIMU ya maarifa ,ILIMU ya uchawi nayo inamtambua KWA NAMNA hii hii SHETANI ni mwenye kuudanganya ulimwengu wote.

Nitaandika KWA kifupi sana ili Uzi usiwe mrefu japo Nina mengi ya kuandika.

1.HAKUNA ALIYEKWISHA WAHI KWENDA WALA KUFIKA MWEZINI.
Juu ya anga la DUNIA kuna kifuniko kigumu glass firmament inayofunika na KUZUIA Anga ambayo hairuhusu kupenya kutoka nje ya dunia.
Na DUNIA sio tambarare flat sio duara ,Ina misingi ama nguzo zake chini ya bahati,halafu imezungukwa na kingo za barafu Antarctica.
(Hii TU ni topic yake kuhusu DUNIA sio duara ila ni tambarare..
Wanachokifanya kila mara wanaporusha roketi juu angani kusema wanakwenda MWEZINI LENGO lao ni kutaka kuboma hicho kifuniko cha glass kinachofunika anga la DUNIA ili WA escape nje ya dunia LENGO wanaotaka kutoroka ADHABU ya hukumu ya Mungu wanajua Mungu atashusha Hukumu yake.
Lakini mara zote wanapojaribu wanafeli kubomoa hiyo glass ngumu inayofunika anga roketi inaishia kulipuka wanaishia kusema hotilafinilitokea angani chombo kikalipuka,LENGO la wanaotaka wabomoe wapate mlango WA kutokea kutoroka hapa DUNIANI.
Yani ni kama SISI viumbe vya DUNIANI TUNAISHI kwenye DUNIA tambarare yenye kingo za barafu na juu ya anga kuna maji yanayo onekana anga la bluu,kinachotenganisha maji ya angani ni glass kubwa ngumu ya kiooo yenye madirisha ambayo Mungu hufungua akitaka kususha maji ya angani,na nguzo za DUNIA zipo chini ya bahati ARDHINI maji ya ARDHINI.
Hakuna mwanadamu anayeweza kutoka humu DUNIANI tumefungiwa ndani,haiwezekani kwenda MWEZINI.
Ni mwendelezo WA MNARA WA BABELI waliotaka kutoka nje ya dunia kwenda mbinguni.

Mwezi na JUA ni mianga sio kitu unaweza ukakishika.
Shetani MAANA yake ni mwenye kuudanganya ulimwengu.

2.Dawa ya meno ya kupigia maswali,KUANZIA miswaki ya plastiki,na MADINI ya fluoride YALIYOPO kwenye dawa za meno pamoja na maji ya kunywa yanaenda kurundika a katika pineal gland ya ubongo na KUZUIA ufanyaji kazi WA sehemu hiyo ya ubongo.Hii Ina athiri hisia mood,usingizi,uchovu,usingizi,na kiroho pineal gland ni JICHO LA TATU la kiroho,linakuwa blinded.

3.Dawa za KIASILI za mitishamba mimea na majani mizizi n.k kuwa ni mbaya.
Magonjwa yote yanatibika kwa dawa za KIASILI na mitindo ya maisha ikiwemo vyakula.
MFUMO WA vyakula ikiwemo majani ya chai,sukari,ulaji WA Milo mitatu na MFUMO mzima WA lishe....nguvu ya kufunga FASTING katika mwili kujiponya na kujitengeneza si lazima kula Milo mitatu kwa siku.
Hapa kuna MENGI ya kuandika ila na shauri umsome DR SEBI Traditional herbalist aliyeponya magonjwa yote kwa mtindo WA maisha vyakula ,na dawa za mitishamba
Dr SEBI DR SEBI DR SEBI

4.Kuambiwa kuwa wanadamu tumetoaka a na NYANI badala tumeumbwa na Mungu.

5.Kuambiwa kuwa hakuna Mungu

6.Kuambiwa kuwa BLACK RACE watu weusi hawana mchango katika civilisation na maendeleo ya dunia ,KWA kifupi historia ya MTU mweusi imeondolewa imefichwa imegeuzwa ili MTU mweusi asijue ASILI YAKE CHIMBUKO LAKE...sisemi kwamba black race ni superior ila nasema historia yake ime fichwa.

Kuna uwezekano asilimia kubwa ya tunaodhani ni UKWELI WA mambo katika DUNIA hii tuliyonayo ni UONGO.

kuna mwanamziki aliwahi kuimba THERE IS NO TRUTH IN THIS WORLD hakuna ukweli DUNIANI ,japo alitumia tungo tata maaana nyingine ni kwamba UONGO NI MWINGI DUNIANI

7.AI ARTIFICIAL INTELLIGENCE MAROBOTI sio kitu chenye Nia njema kwa mwanadamu kama kinavyo onekana,MAROBOTI ni tool ya kuotawala DUNIA ili wanadamu wote wapokee chapa ya mnyama
MICRO CHIP ..NEURO LINK..LENGO ni KUMTAWALA mwanadamu,wanasema wamefikia uwezo WA ku mhack mwanadamu kama wanavyo HAKI computer

8.CHANJO mRNA vaccine Zina alter na kubadilisha DNA Yako,chanjo hizo za lazima zinakuja...Zina micro chip itakayo badilisha DNA Yako

9.DAWA ZA UZAZI WA mpango,naona WENGI wanaeza wakashihudia hapa madhara yake(dawa za viwandani KWA ujumla ni biashara kuna agenda

10.GMO/MBEGU ,pembejeo na mbolea za viwandani agriculture....hiyo ni biashara ,kuna agenda nyuma.

KUNA HAJA YA KURUDIA KUISHI KIASILI wale WA HADZABE wanaishi natural hawana chanjo,hawana hospitali,hawana dawa za hospitali.

Nitakuwa naongezea hapa chini UONGO mwingine tunaouamini kuwa ni KWELI kadiri nitakavyopata nafasi.
Mi'huwa naudhika sana kusoma topic ndefu zisizofanyiwa utafiti wa kisayansi, topic zilizojaa nadharia na imani na maoni ya watu!

Tafiti gani zinazoeleza dunia imefungiwa kwenye glasi ngumu ya kioo ili binadamu asiweze kuvuka hapo?

Wanaoenda mwezini na hata mwaka jana walioenda kutafiti na kupiga picha, walikuwa wameenda wapi?

Nadharia ya nguzo zinazoishikilia dunia kuwa zipo baharini, zinakuwa zimejikita kwenye 'base' gani?

Dunia tambarare mwisho wake ni wapi, kama kweli ni tambarare, kwa nini Marekani na Urusi zilizotenganishwa na umbali wa maelfu ya kilometer kwa upande mmoja lakini kwa upande mwingine zimetenganishwa na umbali mfupi sana chini ya km 10, hili limetokeaje ikiwa dunia ni tambarare?

Hata kama hujasoma, common sense zako haziwezi kuendelea kukudanganya katika maisha yako yote ya utu uzima.
 
Pineal gland jina lingine inaitwa pineal body haya majina mawili yanaweza kutumika interchangeably.
 
As of now ushahidi wa kisayansi WA existence ya firmament haupo ,ila kama AMBAVYO recent wamegundua safina ya NUHU na ku confirm kwa 100% kuwa ni NOAH'S ARK by 100% ,kama Mungu aisivyo na NENO lake liishivyo alisema

• Mathayo 10:26: "Kwa hiyo msiwaogope; kwa maana hakuna neno lililositirika ambalo halitafunuliwa, wala lililofichwa ambalo halitajulikana."

• Luka 12:2: "Lakini hakuna neno lililofunikwa ambalo halitafunuliwa, wala lililofichwa ambalo halitajulikana."
HIVYO KUNA MAMBO YAMEFICHWA SIO..ila with time yatafunuliwa.

• Yohana 8:32: "Tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru."

Biblia ambayo ni NENO la MUNGU la KWELI.

Mwanzo 1:6-8 (Genesis 1:6-8) wakati wa uumbaji:
1. Biblia ya Habari Njema Inatumia neno "KUBA" firmament glass dome
Toleo hili linatumia neno "kuba" (dome) ili kuonyesha taswira ya kitu kilichojipinda kama paa la duara juu ya dunia:
Mungu akasema, “Iweko kuba katikati ya maji, ili iyatenganishe maji na maji.” Mungu akaifanya hiyo kuba, ikayatenganisha maji yaliyoko chini ya hiyo kuba na yale yaliyoko juu yake. Ikawa hivyo. Mungu akaiita hiyo kuba “Anga”.

2. Biblia ya Kiswahili ya Toleo la Muungano (SUV) – Inatumia neno "ANGA"
Toleo hili maarufu (Union Version) linatumia neno la kawaida "anga"

Mungu akasema, Na liweko anga katikati ya maji, likatenganishe maji na maji. Mungu akalifanya anga, likayatenga yale maji yaliyoko chini ya anga na yale maji yaliyoko juu ya anga; ikawa hivyo. Mungu akaliita lile anga Mbingu.
Maana ya Kihistoria ya Neno Hili (Raqia)
Ili kuelewa kwa nini Biblia inatumia maneno haya, ni muhimu kuangalia lugha asili ya Kiebrania ya Agano la Kale:
• Neno la Kiebrania lililotumika ni Raqia, ambalo maana yake ya msingi ni "kitu kilichotandazwa au kupandishwa juu kwa kukigonga-gonga" (kama vile fundi dhahabu anavyogonga chuma kuwa bapa na kukitandaza).
• Maelfu ya miaka iliyopita, Waebrania wa kale (kama mataifa mengine ya Mashariki ya Kati ya kale) walitumia lugha hii ya picha kuelezea kile walichokiona kwa macho: waliona anga la bluu lililojipinda juu kama dari thabiti inayoshikilia maji ya mvua yasianguke yote kwa mara moja (Mwanzo 7:11 inazungumzia "madirisha ya mbinguni" kufunguka wakati wa gharika)

Misingi ya DUNIA katika baharini
Kitabu cha Ayubu 38:4-11 (Mungu Anavyohoji Kuhusu Uumbaji)
Hili ndilo fungu maarufu zaidi ambapo Mungu anazungumza na Ayubu kuhusu misingi ya dunia na jinsi alivyoweka mipaka ya bahari:
"Ulikuwa wapi nilipoiweka misingi ya nchi? Haya, sema, kama una ufahamu... Au ni nani aliyefunga bahari kwa milango, ilipovunjika na kutoka tumboni?... Nikaagiza amri yangu juu yake, Nikaiwekea makomeo na milango, Nikasema, Utafika mpaka hapa, lakini hutapita, Na hapa mawimbi yako yaliyojaa yatapunguzwa?"

. Zaburi 104:5-9
Aliiweka misingi ya dunia, isitikisike milele. Uliifunika kwa vilindi vya maji kama kwa vazi; Maji yalikuwa yakisimama juu ya milima. Kwa kemeo lako yakakimbia... Umeacha mpaka yasiupite, yasiirudie tena kuifunika nchi."

. Mithali 8:27-29 (Hekima Ilivyokuwepo Wakati wa Kuweka Misingi)
Hekima ya Mungu inaeleza jinsi ilivyokuwepo wakati Mungu akichora duara juu ya uso wa vilindi na kuweka misingi:
"Alipozithibitisha mbingu nilikuwako; Alipopiga duara juu ya uso wa vilindi; ... Alipoiwekea bahari mipaka yake, kwamba maji yake yasiasi amri yake; Alipoziamuru misingi ya nchi."

2 Samweli 22:16 (au Zaburi 18:15) – Misingi ya Bahari Kuonekana
Ndipo vilindi vya bahari vilipoonekana, Misingi ya ulimwengu ikafanuliwa, Kwa kukemea kwake Bwana, Kwa kuvuma kwa pumzi ya puani mwake."

NENO LA MUNGU LA KWELI BIBLIA.
 
KWA SWALI MWISHO WA DUNIA NI IPI?
Flat Earth Theory), dhana hii inadai kuwa dunia haina mwisho wa "kingo" ambapo mtu anaweza kuanguka kwenda chini.

Badala yake, inadai kuwa mwisho wa dunia unazungukwa na ukuta mkubwa sana wa barafu (The Ice Wall) unaopatikana kule tunakoita Antaktika.

1. Ukuta wa Barafu wa Antaktika (Antarctic Ice Wall)
Inadai yafuatayo:
• Ukuta wa Mipaka: Antaktika ni mzunguko mkubwa wa barafu wenye urefu wa mamia ya futi kwenda juu unaozunguka mabara yote yaliyopo duniani.
• Kazi ya Ukuta: Kazi ya ukuta huu wa barafu, kulingana na wao, ni kama kingo za bwawa la kuogelea (swimming pool)—unazuia maji ya bahari yasimwagike nje ya dunia.
• Nje ya Ukuta: Wengine ndani ya harakati hizo wanadai kuwa ukitoboa ukuta huo wa barafu, utakutana na kizuizi cha lile dari gumu la kioo (firmament) ambalo linashuka chini na kugusa ardhi huko huko pembezoni.

2. Madai ya "Mkataba wa Antaktika" (The Antarctic Treaty)
Wafuasi wa dhana hii wanatumia Mkataba wa Antaktika wa mwaka 1959 kama "ushahidi" wao wa njama. Wanadai kuwa serikali kubwa duniani ziliweka mkataba huu ili kuzuia watu wa kawaida wasisafiri kwa uhuru kwenda Antaktika, kwa lengo la kuficha ukweli kwamba ukuta huo wa barafu ndio mwisho wa dunia.
 
SAYANSI IMEDIGANYA MENGI

Mwanaume wa Zimbwambe ame defy Newtons laws of energy inayosema energy can not be created nor destroyed but can only be transformed from one form to another.

Kwa ku invent gari inayotumia mawimbi ya radio

WALIKUWA WAWILI WAKAWAPA SUMU MMOJA AKAFA waoipoenda kufanya presentation US na wamemnyima hati miliki ya ugunduzi wake.

Madai ya Mvumbuzi na Sheria ya Nishati (Thermodynamics)
Mwanamume huyu alidai kuwa kifaa chake (Microsonic/Micros energy device) kina uwezo wa kunasa mawimbi ya redio yaliyopo hewani na kuyakuza (amplify) kuwa umeme mkubwa sana wa kuendesha gari kwa miaka 20 bila kuchaji.
• Ukinzani wa Fizikia: Hoja yake ni sahihi kabisa. Sheria ya Kwanza ya Thermodynamics (Thermodynamics Law of Energy Conservation)—ambayo mara nyingi huhusishwa na misingi ya fizikia na nishati—inasema kuwa Nishati haiwezi kuumbwa (kuundwa) wala kuharibiwa, bali inabadilika kutoka muundo mmoja kwenda mwingine.

• Kwanini Sayansi Inakataa: Mawimbi ya redio (RF) yaliyopo hewani (kutoka kwenye minara ya simu, redio, au Wi-Fi) yana nishati ndogo mno (milliwatts au microwatts). Ili uweze kupata nishati kubwa ya kuendesha gari zima lenye uzito wa tani moja, ni lazima "uunde nishati mpya kutoka kwenye hewa/sifuri"", jambo ambalo ni gumu kifizikia na linachukuliwa kama mashine ya kufikirika isiyowezekana (Perpetual Motion Machine). Ofisi ya Hati miliki ya Marekani (US Patent Office) ilikataa kumpa hati miliki kwa sababu hiyo hiyo ya kukiuka sheria za asili za fizikia.
 
SAYANSI IMETUDANGANYA MENGI...

Mimi sijatokana na NYANI hata kama sayansi inatuaminisha kuwa sisi hatujaumbwa na Mungu eti tumetokana na NYANI...EVOLUTION...akina DARWIN na mwenzake na theory zao za evolution,siziamini kuwa sisi tumetokana na NYANI.
 
BIBLIA NDIO UKWELI NDIO USER MANUAL YA WANADAMU...Yani kama SISI machine basi user manual ya wanadamu ni biblia

NDIO MAAANA BIBLIA WALIZIPIGA MARUFUKU na hata sasa wanajaribu KUFICHA UKWELI WA biblia na hata ZAMANI walijaribu KUFICHA sana,..lakini walitokea watu WEMA walikopi na kuhifadhi vutabu vya biblia mpaka sasa nakala zipo za biblia ,..hata hiyo SAFINA ya NUHU watajaribu KUFICHA UKWELI..tutajua kile wanachotaka tujue.

Na HUKO MBELENI si muda MREFU..WATAKUJA KUPIGA MARUFUKU KUSOMA BIBLIA ..BIBLIA ZITAKUJA KUWA BANNED,NA DINI YA UKRISTO ITAKUJAGA KUPIGWA MARUFUKU NA waumini wataanza kuwa prosecuted kwa sababu Ina eleze UKWELI WA YOTE YALIYOFICHWA AMBAYO HAWAYATAKI BINADAMU UYAJUE..
 
na wanajaribu hata kutoa bible version zilizokuws edited kupotosha na kubadilisha MAANA ,ili KUFICHA UKWELI..

UKWELI upo kwenye BIBLIA TU.
 
17..UONGO MWINGINE KILIMO CHA KUTEGEMEA MBOLEA ZA VIWANDANI (hiyo ni biashara za watu.

a man who cultivated in African desert without industrial fertilizers in swahili
Mtu huyo anaitwa Yacouba Sawadogo, mkulima mashuhuri kutoka nchi ya Burkina Faso, ambaye duniani kote anajulikana kama "The Man Who Stopped the Desert" (Mtu Aliyezuia Jangwa).
Katika miaka ya 1980, wakati ukame mkali ulipokumbuka ukanda wa Sahel (kusini mwa Jangwa la Sahara), ardhi ilikauka na kuwa ngumu kiasi cha kutosha kumeza mimea yoyote. Wakati watu wengi wakikimbia maeneo hayo, Yacouba aliamua kubaki na kufufua mbinu ya kale ya kilimo ya kiasili inayojulikana kama Zaï.
Jinsi Alivyofanya Kilimo Hicho Bila Mbolea za Viwandani:
Mbinu yake haikuhitaji mashine wala mbolea za viwandani, bali ilitegemea maarifa ya asili:
• Kuchimba Mashimo ya Zaï: Wakati wa kiangazi, alichimba mashimo madogo kwenye ardhi iliyokauka na kuwa ngumu kama zege.
• Matumizi ya Mbolea ya Samadi na Mbolea ya Hai (Compost): Alijaza mashimo hayo kwa mbolea ya samadi (mavi ya wanyama) na majani yaliyooza ili kuhifadhi unyevu na kuongeza virutubisho.
• Ushirikiano na Mchwa: Mbolea hiyo ilivutia mchwa. Mchwa walichimba vichuguu na vijia chini ya ardhi, jambo ambalo lilisaidia kuondoa ugumu wa udongo na kuruhusu maji ya mvua kupenya kirahisi chini ya ardhi badala ya kutiririka na kupotea.
• Mizuio ya Mawe (Stone Bunds): Alijenga mizuio ya mawe pembezoni mwa mashamba yake ili kupunguza kasi ya maji ya mvua na kuyalazimisha kuingia kwenye udongo.
Matokeo ya Kazi Yake
Mwanzoni, majirani zake walimcheka na kumwita "mwendawazimu," na hata baadhi yao walichoma moto mashamba yake kwa wivu. Hata hivyo, Yacouba hakukata tamaa. Baada ya miaka kadhaa, alifanikiwa kukuza msitu wa hekta 40 (zaidi ya ekari 60) kwenye ardhi ambayo hapo awali ilionekana kuwa imekufa. Msitu huo ulikuwa na zaidi ya aina 60 ya miti na mimea mbalimbali, na wanyama walianza kurejea.
Kutokana na mafanikio yake makubwa, mbinu yake ilisambaa katika nchi za Niger na Mali, ikisaidia maelfu ya wakulima kurejesha rutuba kwenye ardhi zao. Mwaka 2018, Yacouba Sawadogo alitunukiwa tuzo ya Right Livelihood Award (inayojulikana kama Tuzo Mbadala ya Nobel) kwa mchango wake wa kutumia maarifa ya asili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Alifariki dunia mnamo Desemba 2023, akiacha urithi mkubwa wa utunzaji wa mazingira barani Afrika.
 
KILA MTU AWE JASUSI WA KUJUA UKWELI WA MAZINGIRA YAKE ...USIAMINI KILA UKWELI UNAO AMBIWA MWINGINE SIO UKWELI ILA NI UONGO..KWA MASLAHI YA WATU WENGINE..

nimeona matumizi ya haya mambolea yameua ardhi ya baadhi ya maeneo..na kisababisha utegemezi ..TURUDI KWENYE ASILI YETU..NATURE... wengine walikuwa na Ile kampeninya BACK TO EDEN wale wasabato nafikiri...sijui imeishia wapi.

UONGO NI MWINGI KULIKO UKWELI.
 
Back
Top Bottom