utakuwa msabato weweMie utotoni sehemu za starehe ilikua marufuku makubwa..sijawah kaa bar had umri wa 22yrs
Hom huez ikuta chupa ya bia hata kidg.
Kufanya kazi siku ya jumamos marufuku Wala kusafiri...hata kufua handkerchief nilikua nashindwa moyo unanisuta mno!
Shetani ana nguvu...Sana!
Nilikuwa sipendi kuoga, of course mpaka sasa! utotoni kukubali kuoga mpaka nitishiwe mende. Ukubwani kuoga mpaka nitishiwe kunyimwa mbunye na shemeji yenu, mara nyingi inabidi tuoge wawili na bafuni lazima maji yenye mdalasini, iliki n.k yawepo.
Nyie mnaoogopa Giza ndo watamu sasa nalisababisha Giza maksudi hapo Sasa utaanza kuimba mapambio tu..😂mimi haujaisha nalala na Mwanga (Tochi) hadi leo
Naogopa kuogelea
Naogopa majengo marefu
yani mambo ni mengi
tueleze pia namna ulivoumaliza woga huo mkuu.Uoga niliopandikizwa utotini usizini kabla ya ndoa, due! mtu ubarehe uendelee kuwaangalia tu wamama na makalio yao.
mkuu kwa hiyo uliumalizikaje huo uoga?Mie utotoni sehemu za starehe ilikua marufuku makubwa..sijawah kaa bar had umri wa 22yrs
Hom huez ikuta chupa ya bia hata kidg.
Kufanya kazi siku ya jumamos marufuku Wala kusafiri...hata kufua handkerchief nilikua nashindwa moyo unanisuta mno!
Shetani ana nguvu...Sana!
Bado ninaoNatumai hamjambo wananzengo.
Karibu kila mmoja wetu utotoni alikuwa mwoga, hasa mida ya usiku hata ukitumwa ndani pekee ako huendi mpaka usindikizwe bt kuna tukio moja lilikokua sababu ya ule woga kutoweka hivo karibuni hapa kushare namna uoga ule ulimalizika.
Binafsi siku1 tulienda harusi ya mbali kidogo na washkaji, tukaazimia saa4 usiku ndo utakua muda wa kurudi, muda ulipofika wenzangu wakagoma kurudi, dah! nilitokwa kijasho chembamba maana kesho yake nilipaswa kwenda shule.
Nilijitoa mhanga wa kurudi peke angu huku nikijesemea liwalo liwe, nilitembea kwa woga sana huku nikilia kwa majuto kwa nini nilienda bt hatimaye nilifika home na tangu siku hiyo uoga uliisha.
Je, kwa upande wako woga wako ulimalizikaje?
kwa hiyo wakitokea ndani hapalaliki?Mie utotoni nilikuwa naogopa mawingu,mvunja chungu(huyu nilikuwa nikisumbua kunywa uji wakimleta tu,uji unamalizwa fastaaaaa) na mjusi
Sijui hata ilikuwaje nikaacha kuogopa mawingu lakini mvunja chungu na mijusi naiogopa hadi sasa,nikiona hivyo vitu najisikia kulia
Nilikuwa natishiwa chupa. Yani mtu anajificha sehemu afu anachukua chupa tupu anapuliza dah nilikuwa naogopa sana.
Af kuna mzee alikuwa anafukua vyoo.mfupi mweusii.muda mwingi anatembea kifua wazi dah ilikuwa nikimuona navuka barabara bila kuangalia magari aisee
ndoto nyevu zinakutesa kwani huna manzi?toka niliona maiti ya baba angu mzazi nikiwa la tatu mpka leo huwa siogopi ila kabla ya hapo giza tu lilikuwa linanitia hofu.
Siku hizi hata niangalie maiti mbaya vipi huwa sioti.
Ila ndoto nyevu sasa.....