Uoga wa Serikali/CCM

Hii issue ya kutokea vurugu Upanga HQ camp iliyopelekea askari MT109795 Ramadhani mlaku kuuwa kwa risasi askari aliyekua anamdhibiti asiltekeleze alilokusudia aitwae MT 79512 Sgt munyama ndio limewekwa waZi jana baada ya Ramadhani kufikishwa mahakamani
Ramadhani alidhbitiwa kwa kukanyagwa na kifaru cha dereya miguuni

Sasa tunasubiri miezi sita ijayo kuwekwa wazi kilichotokea lugalo juzi@jf where we dare speak openly

Ndio maana tunasema things are wrong somewhere letโ€™s pray for this country
 
Hapo kwenye lugha naweza kubaliana nawe.
Je hauoni nia ya wataka maandamano imefikia pahala pake japo si kwa asilimia zote, nia ya maandamano ni kuvusha ujumbe hata yasipokuwepo (BUSARA ZA VIONGOZI KUSHUGHURIKIA MATATIZO YA KIFAMILIA). Sijui mnaelewaga
 
Hayo ni maandamano ya kwenye mitandao ya kijamii ila ukweli hakuna kitu kama hicho. Time will tell. Nakumbuka siku ile pale kinondoni mkuu wa maandamano alitoweka kama kivuli.
Yupi
 
Maandamano ni kioo ujue mapungufu yako Watu wamezibwa midomo hakuna tena Habari za kiuchunguzi Bila Habari za kiuchunguzi huwezi kujua kila kitu km Kiongozi "A Country is Not a Company"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ