KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,883
- 40,053
Kwani anayeishi first world anatakiwa awe na mawazo gani....!!?Eti ndio mtu anaeishi first world lakini mawazo na tabia za third world kweli wewe ni nyani ndani ya zoo za wazungu
Maandamano yapo kwenye hisia na mihemko lakini haya kuwepo kwenye uhalisia...na kadri siku zinavyoenda na hisia na mihemko inavyopotea ndivyo maandamano yatakapoonekana hayana maana baada ya watu kurejewa na fahamu zao.....kiukweli sijaona mtu wa kuandamana kwa ajili ya mange kasema! alafu hayo maandamano yatakuwa dar tu?? maana huku mkoani nilipo hata watu hawana habari
amii ii shemeji yetu yule aliyekuoa japo mnafanana jinsia huko kwa trump yule babu kizee hajambo? amii huku nyumbani shaka s.shaka naye kaolewa na saleh mpelembwe huko tanga . amii umeandika uharo. nakujibu.....Ni mara kadhaa sasa nimeona na kusikia watu wakisema kuwa eti serikali inaogopa.
Kwamba inaogopa maandamano yanayopangwa kufanyika tarehe 26 mwezi Aprili.
Watu wasemao hivyo wanasema hivyo kwa sababu wamejiaminisha kuwa kama serikali ingekuwa haiyaogopi hayo maandamano basi baadhi ya viongozi wasingeyazungumzia hata kidogo.
Si ajabu hata hapa atajitokeza mtu atayesema kuwa hata mimi nayaogopa hayo maandamano na ndo maana nimeanzisha tena uzi unaoyahusu.
Sasa jana rais Magufuli naye kazungumzia watu kuandamana. Na si mara yake ya kwanza kufanya hivyo. Keshafanya hivyo mara kadhaa huko nyuma.
Magufuli kutaja neno ‘maandamano’ hiyo jana imekuwa nongwa. Watu wanataka kutuaminisha kwamba hayo maneno ya mitandaoni huko kuhusu hayo maandamano yanamnyima raha na usingizi rais kwa sababu mpaka yeye kayazungumzia hiyo jana.
Mimi sidhani kama serikali inaogopa. Ninachokiona ni serikali yenye watu wanaojua na kutambua kinachozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii. Kujua na kutambua huko si uoga. Si kuogopa.
Kuogopa ni pale ambapo wale waliokuwa wanapiga sana kelele za maandamano kutokujitokeza na kuandamana siku ambayo walikuwa wamepanga kuandamana. Huo ndo uoga na huko ndo kuogopa.
Maana tayari wameshaambiwa ole wao waandamane. Wataenda kusimulia yatayowapata. Sasa siku ya siku ikifika na hakuna anayeingia barabarani, huko ndo kuogopa.
Lakini mtu kusema kuwa kasikia kuna watu wamepanga kuandamana au Ngabu kuja kuanzisha nyuzi hapa kuhusu hayo maandamano, sioni uoga hapo.
Kwa hiyo, mimi nadhani na naamini kuwa wote wasemao kuwa serikali inaogopa wanasema hivyo kujipa faraja tu.
Wanajiaminisha kuwa serikali inaogopa ili wajisikie vizuri tu. Wajione na wao kelele zao dhidi ya serikali zina athari ingawa kiuhalisia sivyo hivyo.
Asipoelewa leo ataelewa akijaribu kuandamana [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Umeelewa ulichokisoma?
Yaani uache wapuuzi wafanye upuuzi wao!!Hivi wakiwaacha waandamane na kuwapa ulinzi kuona wanaelekea wapi na wanamaliza maandamano kwa amani kuna tatizo? I think tunatumia nguvu nyingi kuwazuia kuliko kuwaacha
Sio Makufuli pekee kuonyesha hofu ya maandamano yanayo ratibiwa na "Dada wa Taifa"Umeelewa ulichokisoma?
wenzako wakina kiranga wako busy kwenye forum za wazungu wewe umejikita kwenye taarabu kama mume wako
hapo ndipo shida ipo, mkuu. chuki, vitisho na ukatili ni viashiria vya UOGA...kinachonishangaza ni lugha ya CHUKI, VITISHO, na UKATILI inayotumiwa na viongozi.
..inawezekana viongozi hawaogopi maandamano, lakini lugha wanazotumia zinaacha maswali mengi na kusababisha wananchi watoe kila aina ya tafsiri ikiwemo KUOGOPA maandamano.
Ndio yupo first world lakini ahangaiki na shithole country kama wewe mammaliaHivi Kiranga ni bwana ako?
Wananchi wahamasishane kuandamana kuipinga serikali halafu Rais wa Marekani atoe maneno ya kijinga kama aliyotoa dikteta huyu uchwara...thubutu! Je umenipata?Kwani anayeishi first world anatakiwa awe na mawazo gani....!!?
Eti ni kweli kabila lake ni Mhutu?Wanapenda sana kujipa faraja za kufikirika!