Unywaji wa energy drinks

Halaf ieleweke wazi kuwa hakuna kinywaji amabacho sio sumu,kuanzia soda,juisi,maji pia n sumu,bia n sumu,konyagi n.k....only the dose can determine iwe sumu au iwe chakula......hata oxygen ikiwa nying n sumu na unakufa bcoz of oxygen toxicity.....mkiwa mnawaza madhara ya kila mnachoingiza tumboni walahi hamtakula chochote.....cha msng n kutumia right dose as indicated by producers
Perfect mkuu
 
Mkuu hizo Energy drink zimekuw habar za vijan wa chin ya miaka 20 (15-20) na vijana ambao 20+ ambao hawana elimu/kuelimika vizur
Sasa kilcho nfurahsha ckuhz zinapendwa na wazee pia wanakwambia znaamsha popo
 
Ubaya wa hi enegy drink ina urahibu(addiction) ukianza tumia tuu walau ndan ya mwizi(30) ata mara 5 had 7 basi inakuzoea mwilin na kuanza kuhisi tuu kiu nayo
So unakuw mtumwa na kunywa mara kwa mara
 
Coffee (Kahawa) ina caffein nyingi mara mbili ya kiasi kilicho kwenye energy drink .Na kahawa inanyweka sana hasa nchi za watu weupe miaka na miaka.Labda sukari iliyomo ,ingawa pia zipo zero sugar enegy drinks pamoja na ingredients zingine zinazochanganywa kama amino acid.
 
Ukweli ni kwamba sio energy drink na vinywaji vingine vya madukani.
Ni karibia mfumo wetu wote wa uzalishaji na uandaaji wa vyakula tunavyokula kuanzia mashambani umejaa viambata sumu.
Utumiaji wa madawa na mbolea za kisasa, uhifadhi wa mazao kwa kutumia kemikali yaani ni shida tupu.
Food web/chain yetu yote imejaa viambata sumu yaani hatuko salama 100%
 
Watz wengi haswa vijana tunafakamia vitu tusivyovijua vimetengenezwa na nini na bila kutafakari.
 
Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kunywa kwa wingi energy drinks wakitumia hvyo wakidhani huo mbadala wa chakula.

Sijajua if elimu ya kutosua inatolewa kwa nguvu kazi hii ya taifa mana ukitembelea vibanda vngi utakuta vijana wengi wamebeba mo. Energy.

Mamlaka zinazohusika tafadhalini sana.
Sio kila anaekunywa energy hajala chakula mkuu
Au hana mpango wa kula.
Think twice bro
 
Ila kuhusu kuzuia kusisinzia ni kweli mimi nikiwa na job night napigaga hiyo tu.
 
Binadamu ameumbiwa kiburi na majivuno . mfano sigara imewekwa na onyo kabisa bado mtu anavuta tena pakiti zaidi hata ya moja kwa siku. Ndo iwe energy drink.? Watu wanaona yale maelekezo ni ya wagonjwa,watoto na watu wanyonge wanyonge. Soo sad


Wanyonge gani mkuu, au wale wa ccyemu?
 
sisi tulikua tunakunywa kipindi cha mitiani chuoni zilikua zinasaidia sana mnaweza kujikuta mnapga discussion mpaka asubui
 
Back
Top Bottom