Umenikumbusha mwalimu wangu wa toxicology alikuwa anasema "everything is poison,but poisoning depends on dose"Halaf ieleweke wazi kuwa hakuna kinywaji amabacho sio sumu,kuanzia soda,juisi,maji pia n sumu,bia n sumu,konyagi n.k....only the dose can determine iwe sumu au iwe chakula......hata oxygen ikiwa nying n sumu na unakufa bcoz of oxygen toxicity.....mkiwa mnawaza madhara ya kila mnachoingiza tumboni walahi hamtakula chochote.....cha msng n kutumia right dose as indicated by producers
Likely to be a fallacy.Mkuu kuna siku nlisikia kijiweni wanasema ukinywa iyo kitu unakuwa freshi sana kunako sita kwa sita. Sikupata mtu wa kuuliza tena je ni kweli?
Izo ngoma zitaniuaEnergy drink + K vant, [emoji41] ipo siku watu watakufa wamesimama bar
Kuna siku nilikunywa redbull + Hennessy, inanoga sana. Mara moja Moja sio mbaya bana.Izo ngoma zitaniua
Hahaha hapo mezea tu mate[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanyonge gani mkuu, au wale wa ccyemu?
Imani pasipo scientific reason imekufa.Hata Ukinywa maji ukaamini yatakufanya Uperform vizuri kitandani Hakika utaperform..!![emoji23][emoji23][emoji23]
Umeongea kisomi sana..Halaf ieleweke wazi kuwa hakuna kinywaji amabacho sio sumu,kuanzia soda,juisi,maji pia n sumu,bia n sumu,konyagi n.k....only the dose can determine iwe sumu au iwe chakula......hata oxygen ikiwa nying n sumu na unakufa bcoz of oxygen toxicity.....mkiwa mnawaza madhara ya kila mnachoingiza tumboni walahi hamtakula chochote.....cha msng n kutumia right dose as indicated by producers
Imani pasipo scientific reason imekufa.
Ukizidisha zina madhara eti lakin watu wanabugia tu.Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kunywa kwa wingi energy drinks wakitumia hvyo wakidhani huo mbadala wa chakula.
Sijajua if elimu ya kutosua inatolewa kwa nguvu kazi hii ya taifa mana ukitembelea vibanda vngi utakuta vijana wengi wamebeba mo. Energy.
Mamlaka zinazohusika tafadhalini sana.
haa ha ha.. Hapo ndo huwa wazungu wanajiulizaga Inakuwaje Placeblo inatibuu..!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Imani inaweza kumove milima mzee baba acha kabisaa... Imani ni zaidi ya dawa japo sio kila mahali...
haa ha ha.. Hapo ndo huwa wazungu wanajiulizaga Inakuwaje Placeblo inatibuu..!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Imani inaweza kumove milima mzee baba acha kabisaa... Imani ni zaidi ya dawa japo sio kila mahali...
Unajuwa ili kuprove dawa inatibu au laa huwa watu wnaapewa Placebo na really drug then follow up inafanyika..!! Wew unadhani why??? Imani ipo mzeee... Mechanism ya dawa inaeleweka ila Imani ngumu sanaDawa zinatibu kwa reason.
Ukiuliza dawa naweza kukupa majibu.
Lakin swala la milima kuhama
Hapo ni imani pamoja na Mungu
Watendao miujiza na imani zao huwa wana add na kitu kimoja
Either imani kwa Mungu ndo hutenda miujiza au imani kwa Nguvu za giza(shetani) pia hutena miujiza