Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,144
- 3,848
Perfect mkuuHalaf ieleweke wazi kuwa hakuna kinywaji amabacho sio sumu,kuanzia soda,juisi,maji pia n sumu,bia n sumu,konyagi n.k....only the dose can determine iwe sumu au iwe chakula......hata oxygen ikiwa nying n sumu na unakufa bcoz of oxygen toxicity.....mkiwa mnawaza madhara ya kila mnachoingiza tumboni walahi hamtakula chochote.....cha msng n kutumia right dose as indicated by producers
Mbona hata akina dada wanakunywa energy drinks, nao wanaongeza nguvu za kiume?Hatari sana wao wanadhani energy drinks ndio zinaongeza nguvu za kiume.
Sio kweli madaktari kila kitu kwao ni sumu!Imeripotiwa kuwa unywaji wa Vinywaji vya kuongeza nguvu (Energy Drinks) unaongeza uwezekano wa Mtu kupata maradhi ya Kiharusi (Kupooza) kwa asilimia mia tano kutokana na Vinywaji hivyo kusababisha mapigo ya Moyo kwenda ndivyo sivyo.#MillardAyoUPDATES millardayo on Twitter
Hata ikiwa hivyo kuna ubaya gani?elimu haitasaidia chochote tatizo maisha yamekuwa mafupi mno unaweza usinywe energy lakini ukafa hata kwa kugongwa na guta
Hahaha kuna wanawake pia wanazibwia nawao wanaongeza nguvu za kike?!Hatari sana wao wanadhani energy drinks ndio zinaongeza nguvu za kiume.
ko huo nao ni utafiti?aisee kuliko unywe energy drink wakati una njaa ni bora unywe maji tuu.
niliwah kunywa energy kipind nna njaa, sema ukweli NILIJUTA.
Sio kila anaekunywa energy hajala chakula mkuuKumekuwa na wimbi kubwa la vijana kunywa kwa wingi energy drinks wakitumia hvyo wakidhani huo mbadala wa chakula.
Sijajua if elimu ya kutosua inatolewa kwa nguvu kazi hii ya taifa mana ukitembelea vibanda vngi utakuta vijana wengi wamebeba mo. Energy.
Mamlaka zinazohusika tafadhalini sana.
Kwa akili zako timamu Millard ayo ni chanzo makini cha wewe kuamini
Binadamu ameumbiwa kiburi na majivuno . mfano sigara imewekwa na onyo kabisa bado mtu anavuta tena pakiti zaidi hata ya moja kwa siku. Ndo iwe energy drink.? Watu wanaona yale maelekezo ni ya wagonjwa,watoto na watu wanyonge wanyonge. Soo sad
Ukitaka upotee kwenye ramani ya mchezo wa sita kwa sita anza michezo ya kunywa chochote kisha ndiyo upige game