Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,234
- 17,828
Kuna co workers hapa wanakipenda sana hicho kinywaji. Uenda kina ulaibu so wanakuwa addicted.Wengi ni bendera fata mkumbo,hawajui wanainywa kwa sababu ipo hasa. Kuna mmoja niliona anakunywa zaid ya mbili kumuuliza akasema anasikia itampa nguvu hakufafanua nguvu gani
Kuna co workers hapa wanakipenda sana hicho kinywaji. Uenda kina ulaibu so wanakuwa addicted.
maji pia ni sumu
Duh! Kweli wanaume tumechokwa[emoji23][emoji23][emoji23]Hatari sana wao wanadhani energy drinks ndio zinaongeza nguvu za kiume.
Basi pita hivi [emoji117]
Ikiwa kitu hukiamini, hulazimishwi uamini. Baki na msimamo wako huohuo. Mwache ambaye post ilimlenga ndiyo aje kuhoji, usifanye udeiwaka
Maji ni sumu,haya haya safi,maji yakiwa mengi mwilini huleta water intoxication ambayo husababisha seli nyekundu za damu kupasuka(hemolysis),hata oxygen tunayovuta,ukipewa oxygen nying utakufa due to oxygen toxicity inayoua cells....everything is either a poison or a remedy depending on the dose u take..,.Maji yapi unazungumzia? machafu au haya haya masafi na salama.
Bila maelezo ya ziada komenti yako ni Uzushi na Porojo.
Kijaribishio si unacho? Ama huna??Mkuu kuna siku nlisikia kijiweni wanasema ukinywa iyo kitu unakuwa freshi sana kunako sita kwa sita. Sikupata mtu wa kuuliza tena je ni kweli?
Wameandika pale chini ya chupa, "usinywe zaidi ya chupa mbili kwa siku"Wana jina maarufu, wanaita "Booster".
Vinywaji hivi vinatembea sana. Na sidhani kama watumiaji wana uelewa sahihi juu ya matumizi ya vinywaji hivyo.
MO Energy inauzika sana kwa sababu ina ujazo Mkubwa kuliko Azam ijapokuwa bei ni moja.
Red Bull, Dragon na Kung Fu zenyewe bei ipo juu ila zinatembea.
Ukitaka upotee kwenye ramani ya mchezo wa sita kwa sita anza michezo ya kunywa chochote kisha ndiyo upige gameMkuu kuna siku nlisikia kijiweni wanasema ukinywa iyo kitu unakuwa freshi sana kunako sita kwa sita. Sikupata mtu wa kuuliza tena je ni kweli?
Wengi ni bendera fata mkumbo,hawajui wanainywa kwa sababu ipo hasa. Kuna mmoja niliona anakunywa zaid ya mbili kumuuliza akasema anasikia itampa nguvu hakufafanua nguvu gani
Halafu wenye akili hawajitangazi hutangazwa, napata shaka una hitilafu.Sisi wenye akili ndo maana tunanyamaza kimya tu. Mimi nlifundishwa kuhoji na wazazi wangu na si kuamini kila kitu. Kwa majibu yako haya sasa nmeelewa tatizo ni nini. Muwe mnasema kuwa hoja hii wenye akili msije tubaki sisi tu peke yetu. Yaani nyie. [emoji23][emoji23][emoji23] Ambao hamjui hata kufanya utafiti mdogo mnaamini tu mkiambiwa jambo.akili za kuambiwa hamchanganyi na zenu.
Wacha wafe wabaki wenye uelewaNachoshauri mm watu wapewe elimu ili wafanye informed decision making
Zipo energy drink nyingi si mo peke hake... Nachozungumzia hapa ni energy drink kwa ujumla wake.. Watu wanapaswa kufahamu kwamba energy drink hazikupi nguvu.. Zinachochea mwili kuzalisha nguvu kupitia hyo caffein iliyopo.. Sasa watu wanakunywa bila kula matokeo yake mwilo unafosiwa kutengeneza energy from nothing..Hizo mo energy huwa zinanipa mashaka sana na sijui kwann, nais machale yangu tu
Tumbo linachemka balaaaaaaisee kuliko unywe energy drink wakati una njaa ni bora unywe maji tuu.
niliwah kunywa energy kipind nna njaa, sema ukweli NILIJUTA.