Unyumba....

Rodelite

JF-Expert Member
Oct 28, 2007
320
12
Naomba kuuliza waungwana....Hivi katika Ndoa...Mke akimnyima mumewe Unyumba kwa "zaidi ya mwaka"...yaani hawajakutana kimwili...(miezi 15 sasa) .. Hiyo ndoa bado ipo kweli...?
Hakuna ugonjwa wala nini...ni Mke amemkasirikia mumewe tu .. na mume wala hajafumaniwa, na wala hajaenda nje kuchakachua...
Naomba usaidizi wa maoni...
 
What up Big Boss Man! Long time no see...

How u been?

haa haaaa aisee nipo poa
wengi wali kumisss big time hapa
good to see you back....
i hope all is well now....
dah kuna post nyingi mno zilihitaji input yako aisee...
 
ndugu, wanandoa waone hivyo hivyo! wakigombana ww chukua ndogondogo. utashangaa wataanza mapenzi yao kama wameoana jana utaanza kuboreka na petting zao! ndoa ipo untilo wameamua wenyewe ama mmoja wao kuwa isiwepo!

Kwa Waislaam hatuna shida sana kwa hili, hii hapa ni swali na jibu linalofanana na lako:

[h=1]Mwanamke Ana Haki Kuomba Talaka Ikiwa Haridhiki Na Mumewe?[/h]
SWALI:
Assalaamu Alaykum. Swali langu ni kwamba mwanamke anaye muomba talaka mumewe kwa sababu haridhiki na mumewe kitandani, je mume huyo ana haki ya kutoa talaka kwa mkewe. Wameishi miaka kumi pamoja na wana watoto wawili bado wadogo chini ya umri wa miaka kumi.

JIBU:

Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu mke kutoridhishwa na mumewe kitandani. Mwanzo kabisa tungependa kukuuliza kuhusu mahusiano yako na mumeo hapo awali baada ya kuoana? Je, alikuwa sawa kitandani? Hili tatizo ilianza lini?
Ikiwa mlipoana mlikuwa sawa na tatizo hilo lilianza karibu basi huenda akaweza kusaidika kwani zipo dawa kwa ugonjwa huo. Huo ni ugonjwa na itabidi kabla ya kuchukua hatua ya kutaka akuache basi zungumza na mumeo kwa njia nzuri kuhusu hilo. Kwa kuzungumza hivyo ndio mnaweza kupata ufumbuzi mzuri kwenu nyote. Wapo madaktari na matabibu ambao wanaweza kuwasaidia katika hilo. Ikiwa atakubali basi itakuwa kheri nasi twawaombea mafanikio mema.
Ikiwa atakataa basi itabidi uende kwa Qaadhi umuelezee kuhusu shida yako hiyo, na lau sehemu hakuna Qaadhi basi utakwenda kwa Shaykh aliyekuoza au Shaykh mwengine muaminifu na muadilifu ili asikilize kesi yenu. Mume kutoweza kumtimizia mkewe starehe ya kitandani ni sababu ya mke kuomba talaka. Mara nyingi mume hatotaka kutoa talaka itabidi wewe kutodhurika ukashtaki kwa Qaadhi ili upate haki yako.
Tunamuomba Allaah Aliyetukuka Awasuluhishie tatizo lenu hilo na Awapatie tawfiki.
Tunapata kujua kuwa hilo lawezekana kisheria na mke atapaswa amrejeshee mumewe mahari yake, kama tunavyoona katika kile kisa cha mke wa Thaabit bin Qays aliyekwenda kushtaki kwa Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) juu ya mumewe, pamoja na kuwa mumewe hakuwa na tatizo la dini wala tabia bali yeye hakumpenda na akawa anakhofia kutotekeleza wajibu wake kama mke. Mtume aliwatenganisha lakini kwa kumtaka mke airejeshe bustani/shamba aliyokuwa amepewa na mumewe kama ni mahari. Hadiyth hiyo ipo katika Swahiyh Al-Bukhaariy.
Na Allaah Anajua zaidi

Source: Mwanamke Ana Haki Kuomba Talaka Ikiwa Haridhiki Na Mumewe? | Alhidaaya.com
 
haa haaaa aisee nipo poa
wengi wali kumisss big time hapa
good to see you back....
i hope all is well now....
dah kuna post nyingi mno zilihitaji input yako aisee...

I'm back my dude. Incarceration is no joke. Worst of it all I was put in solitary confinement and that didn't do well with me. You know how sociable I am. Damn...penitentiary is something else. I can tell you that.

So what's been happening around here?
 
ndugu, wanandoa waone hivyo hivyo! wakigombana ww chukua ndogondogo. utashangaa wataanza mapenzi yao kama wameoana jana utaanza kuboreka na petting zao! ndoa ipo untilo wameamua wenyewe ama mmoja wao kuwa isiwepo!
Mke mwenza kwa mafumbo na nahau nakuaminia. Ila kweli asee mke na mume wakigombana chukua jembe ukalime, wakipatana chukua kapu ukavune bt kwa hawa wenzangu na mie ni too much, miezi 15 hawasameheani tu?..khaa
 
Back
Top Bottom