Na ukishakuwa na mwanamke wa kizulu sahau kuhusu kumuacha ving'ang'anizi sana ukirud bongo atakomaa na anaweza kukufata hawana dogo wale
Hii ni hoja nyepesi na ya kipuuzi kabisa kuangalia kila tukio kwa mlengo wa kiimani, wanaoumizwa kule ni wageni bila kujali imani zao
Huu ni ukengeufu wa kimaono unapotanguliza imani yako kwenye lolote lile....!!! Badilika albuluushiy, wewe pamoja na wote wenye mtazamo kama wako
Serikali yetu iweke mazingira mazuri ili watu wake wapende kuishi hapa nchini, ikiwa ni pamoja na kutengeneza fulsa za ajira, lakini sio kinachofanywa na serikali ya CCM hivi sasa, wanajineemesha wao tu. I HATE CCM.
matukio haya wangefanya waislam ingeitwa ugaidi lakini sababu wafanyaji ni makafiri yaitwa uhalifu na violating of right to live
Unaenda mbali broh... Potezea udini
matukio haya wangefanya waislam ingeitwa ugaidi lakini sababu wafanyaji ni makafiri yaitwa uhalifu na violating of right to live
matukio haya wangefanya waislam ingeitwa ugaidi lakini sababu wafanyaji ni makafiri yaitwa uhalifu na violating of right to live
Ila ndio unafiq uliojaa humu ndani ayo mambo yangefanyika sehemu ambazo kuna waislam wengi kungekua na kelele sana humu lakini kwa sababu ni wazee wa divai watu wanajifanya hawaoni huu ukatili. Ifike mda tuache unafiq.
matukio haya wangefanya waislam ingeitwa ugaidi lakini sababu wafanyaji ni makafiri yaitwa uhalifu na violating of right to live
Hatuna tatizo dhidi ya dhana juu ya ugaidi tunachozungumzia ni weledi wa wana jf. Haya matukio yakitokea hata hapa tz ikawa aliefanya ni muislam au maeneo ya wsislam wengi haya mambo ndio hutokea na watu bila kufikiri nje ya box wanaanza kuushambulia uislam ilo liko wazi.
Waislam ndio magaidi wale wala hawana nia ya kigaidni ni kutetea haki zao