JMipicha
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 705
- 1,070
Habari wanaJF
Mimi ni actor chipukizi wa bongo action movie na kutokana na sanaa kushuka nimeona tuje kivingine tena kutokana pia na movie kukosa ubunifu na kila siku movie za mapenzi na uchawi nimeona nitengeneze short film ambayo ni hii hapa click link upate kuiona YouTube na pia ningependa kuskia MAONI kutoka kwenu ili tuzidi kukuza Sanaa ya Bongo.
ASANTENI SANA :