Hypersonic
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 996
- 1,912
Unatumia kipimo gani kupima ujinga? kwamba wewe kwa sababu unapingana na operation ya polisi au mawazo ya mtu mwingine kuhusiana na panya road, basi kwako huyo mjinga na wewe ndo mwelevu. Nadhani amini unachoamini na mwingine aamini anachoamini. Hawa watu ni wapuuzi sana huyo anayewadanganya kuwa ukimvamia mtu lazima kwanza umkate mapanga, sioni kuna haja ya kuwaonea huruma. Kama kuna mtu ameliwa kwa bahati mbaya na polisi ktk hii operesheni niipe familia husika pole.Wewe ni mjinga flani, sidhani kama unahitaji kujibiwa na Mimi
Lakini kama ndo hawa hawa hata mimi binafsi nisingewaonea huruma. chukulia picha ya yule mama ambaye binti yake ameuwa kule Kawe, ni mtoto wa pekee, mama ni mtu mzima hawezi tena kupata mtoto mwingine. Alafu mwanawe anakatishwa uhai na waatu wanaotafuta utajiri kwa kupora watu hapana, hapana hapana. Acha na wnyewe waonyeshwe kwanza.