Unyama: Diwani wa CHADEMA Mbeya Mjini anusurika kuuawa na watu wasiojulikana, apigwa panga la utosi, hakuna uchunguzi

Kama mtu anaomba amuue Tundu Lissu na hashitakiwi au bungeni wanapendekeza fulani auwawe na polisi hawachukui hatua yoyote unafikiri kitu gani kinachoendelea? Tulipofikia inasikitisha sana lakini lazima tukubali ukweli. Vyama vya upinzani havitakiwi kwa njia yoyote ile lazima vitoweshwe ila wamesahau "Maendeleo ya nchi ndiyo yatasababisha vyama kukua au vingine kufa".
Kabla sijaanza kutoa laana zangu kwa Serikali ni vyema ungeongezea nyama taarifa yako ili tuweze kupata mwanga ni nini haswa kilichotokea.
 
watanzania mnakoelekea siyo kuzuri kwa kuzani kuwa viongozi wa chadema ni malaika hawana makosa katika jamii huyu kapigwa panga lakini kabla hata ya uchunguzi unakuja na uzi kuwa ccm ndiyo wamempiga je unauhakika gani? je kama alikuwa na visasi na watu wengine utajuaje acheni ujinga mnaotaka kuujaza kwa watu yatawarudia nyienyie je alikuwa kwenye kutano wa siasa? unajuaje kama humo kwenye mgahawa kama kazurumu mtu akawa anamfuatilia?acheni kabisa
Mbona wana sisiemu hawapigwi mapanga wala kutekwa kama ilivyo kwa wakosoaji&vyama pinzani..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤔🤔🤔
  • Inakuwaje kama alikuwa amechukua mke wa mtu?
  • Inakuwaje kama alikuwa na ugomvi na baadhi ya watu?
  • Inakuwaje kama ni vibaka walitaka kumpora?
  • Inakuwaje kama yeye mwenyewe ni mwizi?
  • Inakuwaje kama ni kisasi?

Kisa yeye ni Diwani haimaanishi kuwa kila tukio linalomtokea ni la kisiasa.
 
Uongo utakusaidia nini ?
 
View attachment 1348474
Hapa ndio mahali ambapo Nchi yetu na siasa zetu zilipofikia.

Tunamshukuru Mungu kwa kumlinda Mh Ibra dhidi ya wahalifu wanaolindwa ambao walimvamia alipotoka kwenye mgahawa kuelekea nyumbani kwake .

Mungu ibariki Chadema

=====

Ibrahim John Mwampwani diwani wa kata ya Isyesye Jijini Mbeya, amevamiwa saa nne na watu wanne wenye Mapanga na kukatwa sehemu za kichwani. Ameshonwa nyuzi 6, Alikuwa anatoka kwenye Shughuli zake za biashara.
pole sana mtanzania mwenzetu
 
Yes inawezekana ni wapinzani wake kisiasa ,ila kuconclude ni wanasisiemu si sawa maana huwezi jua wakati mwingine watu wanakuwa na maadui zao kutokana namna ya maisha yao wanayoishi mitaani.......anyway kwasababu ndiyo upepo uliopo saizi basi
 
amevamiwa na kupigwa panga kwa sababu ni diwani wa Chadema , hilo ndio kosa lake
Yaani wewe kila kitu unaweka siasa tu! Umesema alikuwa anatoka kwenye biashara zake kwa nini hufikirii kuwa hao ni vibaka waliomvamia? Kama unasema ni mambo ya kisiasa unawajua waliohusika kwa majina? Au siasa uchwara dada!
 
Back
Top Bottom