Unyama: Diwani wa CHADEMA Mbeya Mjini anusurika kuuawa na watu wasiojulikana, apigwa panga la utosi, hakuna uchunguzi

Sasa mtu kavamiwa na vibaka au wezi/majambazi(Kama watu wengine wanavyovamiwa)ambao hata yeye mwenyewe hajawajua. Sasa uchunguzi unaoutaka mtoa mada ni upi? Au taarifa haijajitosheleza! Au mtoa uzi unawajua waliomvamia diwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wewe kila kitu unaweka siasa tu! Umesema alikuwa anatoka kwenye biashara zake kwa nini hufikirii kuwa hao ni vibaka waliomvamia? Kama unasema ni mambo ya kisiasa unawajua waliohusika kwa majina? Au siasa uchwara dada!
Mahaba kwenye siasa yamemzidia uyo dada mda wote anawaza siasa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninawaomba viongozi na wanachama wa chadema popote mlipo hii nchi haipo kama ilivyokuwa usikose angalau wembe ukimbazua mmoja angalau tundu la pua tunaweza mjua.
Zakaria wa huko kanda maalumu alimfumua mtu risasi ya kiuno ndo akatamka kuwa yy ni Usalama mnadhani asingemfumua angekuwa hai leo? Tembea hata na bisibisi au sindano ya kushonea viatu wakikuvamia kuwa mpole akisogea mtu jicho moja aliache.
 
Back
Top Bottom