Unyama: Diwani wa CHADEMA Mbeya Mjini anusurika kuuawa na watu wasiojulikana, apigwa panga la utosi, hakuna uchunguzi

Watanzania tuliishi sana kwa upendo. Nilisoma kanda ya ziwa,(mimi natoka kanda ya kati) ,kuna likizo ya Paska,nilikaa kwa rafiki yangu mhaya kwa wiki moja. Ilikuwa familia yenye upendo, hatimaye nikajipatia mwenzangu hapo. Nafikiri uchunguzi wa maana ufanywe kabla ya kuletewa viongozi.
 
ila CDM tumezidi uzwa zwa…. wanaotupiga hivi tunawajua, wengi wao tunaishi nao mtaani, tunalalamikaa alafu yanaisha, kesho, keshokutwa wanatandika mwingine tunalalamika tuuu yanaishaa, ilifeke mahali tuukatae huu mchezo, kwani nini
 
immune kwa wanasiasa wa upinzani..

Hata wakifumaniwa na wake za watu ama kuiba wakapigwa ama kuvamiwa na majambazi inakuwa ni ccm wamehusika...

Ni kama before vyama vingi haya mambo yalikuwa hayapo.

Tuweni na ushahidi before politicizing kila kitu.

Vinginevyo tuelekeze nguvu kwenye tume huru ya uchaguzi na katiba mpya.

amevamiwa na kupigwa panga kwa sababu ni diwani wa Chadema , hilo ndio kosa lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
immune kwa wanasiasa wa upinzani..

Hata wakifumaniwa na wake za watu ama kuiba wakapigwa ama kuvamiwa na majambazi inakuwa ni ccm wamehusika...

Ni kama before vyama vingi haya mambo yalikuwa hayapo.

Tuweni na ushahidi before politicizing kila kitu.

Vinginevyo tuelekeze nguvu kwenye tume huru ya uchaguzi na katiba mpya.



Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mwanachadema mwenye njaa ya kuiba au tabia mbaya za kufunaniwa hizo ni kwa wana ccm na wahuni wengine.
 
mwenyekiti wetu mbowe amezaa na mbunge wa viti maalum huku ana ndoa na binti wa mtei, kweli chadema hakuna wahuni
Weka ushahidi , mimi naweka huu wa mwandishi wa wa barua ya serikali kuionya Marekani
 

Attachments

  • @secpompeo CC_ American embassy Tz. We Tanzanians are kindly asking you to disre ( 426 X 640 ).mp4
    1.7 MB
Back
Top Bottom