Lady niece
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 953
- 414
Mwangaruka bosa!!!
Leo tuzungumze kidogo kitu au kiungo kidogo sana kwenye miili yetu
kwani hichi kiungo kimekuwa ni figa muhimu kwa mwanadamu
na tena kimekuwa cha haraka kuweza kutambua kuwa mbele kunani
Kiungo hichi mara nyingi watu wamekipuuzia sana na wala wengine
hawakitendei haki kabisa wengine wanapopatwa na shida kiungoni
mwao basi hawakiii kukipanua na kutoa makamasi yao bila staha
Jamani binadamu nivyema tukakiheshimu kiungo hichi kwani kinaf
faida na hasara zake
FAIDA
A. Kiungo hichi kinauwezo wa kutambua mema na mabaya yambeleni
B. Kiungo hichi kinanusa harufu nzuri na mbaya ambazo ziko popote
c. Kiungo hichi pua kina uwezo wa kutambua kuwa kuna hatari mbele
na kuweza kumshutua mhusika awe makini asije jikwaa
Mwisho kiungo hichi kinauwezo mahususi wa kunusa Injini kama iko
nzima au imeshakufa na ina uwezo wa kuleta ufumbuzi wa injini hiyo
iliyopo kwenye kiungo muhimu cha uzalishaji wa mwanaume.
Je huoni hapo kuwa kiungo hichi ni cha hatari sana hasa kwa wanaume?
Kiungo hichi ni hatari unapokuwa umemcheat mkeo kinagundua na
kinaleta report kwa mwanamke kuwa leo ameingiliwa.
kuweni makini wanaume msifanye dhambi ikimbieni hiyo tamaa
N.B: take care