UNSERIOUSNESS IN RELATIONS!....i hate it lots

i hope unatambua matumizi sahihi ya question marks...!

talking of milaaz and all that!well....AMINI UNAVYO AMINI!

kuhusu kisukari...!well,kuna so many scientific explanations ambazo hatuhitaji kuweka hapa,ndo maana nikasema 70%,ndo maana nikazungumzia pressha..!so far AMINI VYOVYOTE

Mkuu ulivyoandika inaashiria una hasira hapa.

Bolded nafikiri unaweza kutofautisha kati ya IMANI na KUJADILI

Matumizi ya ???? nafahamu ila niliweka msisitizo na hio ni style ya mtu ya kuandika kwa mfano wewe unapenda sana kutumia ........... so najua pia unajua matumizi yake.
 
tuendelee!
HASIRA HAITENDI HAKI YA MWENYEZI MUNGU!..tuijadili sredi...mambo mengine nitakupigia simu!

nipe msimamo wako basi!....:D
 
Men wengi tunalelewa kwenye mazingira ya U-mimi kiasi kwamba mwenye haki na mamlaka katika uhusiano ni mimi na mimi tu...
Ntaamua muda wa kurudi,mabanda ya uani mangapi..
Tuna tamaa fisi afadhali kila kituo twataka kusimama..
Washkaji zetu-unaonekana padri kama unakomaa na mke/Gf utapigwa zengwe ukichomoa we kidume..
So kutokana na kushindwa kujisimamia (Strong Belief) katika mambo binafsi tunawayawaya...

Napenda sana kusikiliza wimbo wa Karen White -Superwomen whenever napomchukiza my love wangu and I wonder what if I was a woman...
Kweli tuwe wa-wazi na tuwapende wenzetu
 
Bahati mbaya wanaume wasichokijua ni kuwa - your wife/ galfriend its the only worst enemy you sleep with in the same bed- she can kill you at any time tea. Basi tu.

Unakuta jitu linakuletea mwanamke ndani na kukupiga na kashfa za kila aina na bado likufanyie kama yule aliyesema mumewe anamtaka kinyume na maumbile kwa nguvu- yaani halafu usiku mtu anakoroma peacefully ah

usinambie una mawazo ya kuua mtu?:confused:
 
Men wengi tunalelewa kwenye mazingira ya U-mimi kiasi kwamba mwenye haki na mamlaka katika uhusiano ni mimi na mimi tu...
Ntaamua muda wa kurudi,mabanda ya uani mangapi..
Tuna tamaa fisi afadhali kila kituo twataka kusimama..
Washkaji zetu-unaonekana padri kama unakomaa na mke/Gf utapigwa zengwe ukichomoa we kidume..
So kutokana na kushindwa kujisimamia (Strong Belief) katika mambo binafsi tunawayawaya...

Napenda sana kusikiliza wimbo wa Karen White -Superwomen whenever napomchukiza my love wangu and I wonder what if I was a woman...
Kweli tuwe wa-wazi na tuwapende wenzetu

umegonga penyewe kiongozi!...
 
Hapo kwenye red ndipo ulipokosea, umekuwa biased.....!!! Badala ya kuongea ukweli ulivyo, wewe unaongea kile ambacho wanawake wangependa kusikia!

Exactly mpwa. Hiyo figure kaipataje, na pili ni kwamba that uis very subjective. Tuwe objective bana....

weekend bado.....KILIMO KWANZA
 
wewe upo kwenye ndoa...!NIPE MSIMAMO WAKO!...ninachokiongelea hapa HAKIJANITOKEA...!nimeona kinatokea,na ninaamini hakihitaji uwe na ndoa

Umeonaeeh..sasa rejea hoja ya viatu!
 
Ni kweli kabisa ulivyoandika ni vizuri mtu kupenda na kutulia na mwenza wako ila pati b ya maelezo yako sio kweli this is so unscientific kuna hata watoto wa miaka 5 siku hizi wana tatizo la sukari kutokana na mfumo wa maisha kubadilika na mambo ya kurithi etc.

Vipi unakumbuka ile thread yako ya ''NYUMBA NDOGO THEY ARE HERE TO STAY ''????? ....... leo imekuwaje??? mambo ya kudumisha MILA vipi hapo??? leo umeacha???
kashaingia kundini tumkaribishe.
 
Hapa leo kuna nini? Hahaha! Naona mafundisho ya ndoa yamekamata. Kumbe mpo makamanda? Nlifikiri Muro kawapotezea. Anyway, i better be SERIOUS! Jamani mkimwona ZIONDAUGHTER mwambieni its over btn us! Am now very very and VERY SERIOUS with My CHARITY!......... Lolz! Hizi mila nani atadumisha sasa? I better think twice......... Anyway: Huku Makambako gesti zinakaribia kujaa. Fanyeni booking fastafasta. (sio off topic hii, i bet)
 
=Geoff;776515]kama nakosea,just tell me!I ACCEPT CHALLENGES

Hujakosea kitu G. Ila wewe sasa hivi unaona nyota nyota. Muziki wenyewe au movie haijaanza. Nadhani wanajaribu kukuambia kuwa wish list yako ni nzuri na hata Mungu na Malaika Mbinguni wanaishangilia. Labda tu ukumbuke kuwa 13/2 unatakiwa kuanza na gear #1.

lakini kutishana kwamba YOU WILL GET TO KNOW THM SLOWLY una maana kali kidogo mkuu!...unataka watu waogope ndoa,au wawaogope wanawake!

Hakuna sababu ya kuogopa. Maisha yana mambo mengi na kila mtu ameonja tu kipande cha keki. Hakuna aliyeionja keki yote ingawa kuna baadhi wamebahatika kupata shea kubwa. Pia kuna wengi (kama unavyosema) wameambulia patupu

kwamba kila anaeoa ni lazima ACHEAT!?

Hapana G. Tunakukaribisha kwenye chama cha wale tunaojinyima lakini tunaishi kwa amani zaidi. Ushauri na mbinu utapewa bure kwani nasi tumepata bila malipo wala VAT!

WENZANGU MNA NDOA ZENU!...nisaidieni uzoefu!kila mwenye ndoa ana cheat?

Kwa uzoefu wangu (almost a decate), siyo lazima na ndoa ni raha sana; lakini ukiamua kuitengeneza hiyo raha (painstakingly). Shusha presha, kama nia unayo utaweza tu. BUT, "I never said it gonna be easy" BO!!
 
Hapa leo kuna nini? Hahaha! Naona mafundisho ya ndoa yamekamata. Kumbe mpo makamanda? Nlifikiri Muro kawapotezea. Anyway, i better be SERIOUS! Jamani mkimwona ZIONDAUGHTER mwambieni its over btn us! Am now very very and VERY SERIOUS with My CHARITY!......... Lolz! Hizi mila nani atadumisha sasa? I better think twice......... Anyway: Huku Makambako gesti zinakaribia kujaa. Fanyeni booking fastafasta. (sio off topic hii, i bet)

hahahaha!
nimerukaruka kwa furaha!
 
Kijasho chembamba kinanitoka hapa oh !Chrispin
 
Binamu naona unamwaga pointi za kufa mtu.......!!! Au kwa kuwa leo ni Ijumaa nini? Ooops! Kumbe ni bado ni Alhmaisi...!!!

tunamsubiri huyu Geoff, baada ya miezi kadhaa tuone kama tonation itakuwa hii hii au la.

actually nafikiria apewa ban kabisa kuanzisha sredi....yeye achangie tu:D:D:D:D
 
tunamsubiri huyu Geoff, baada ya miezi kadhaa tuone kama tonation itakuwa hii hii au la.

actually nafikiria apewa ban kabisa kuanzisha sredi....yeye achangie tu:D:D:D:D
hehehehe!...ngoja niongee na mods waifute sredi....
 
tunamsubiri huyu Geoff, baada ya miezi kadhaa tuone kama tonation itakuwa hii hii au la.

actually nafikiria apewa ban kabisa kuanzisha sredi....yeye achangie tu:D:D:D:D
mbona hivyo lakini? but whyyyyyyyyyyyyy? hata wewe Kaizer lol!
 
hii sredi ipo biased kwa sababu:

1. mtoa mada hajawai kuwa kwenye serious relationship (hana ndoa bado)
2. Ndoa yake ni karibuni sana hivyo hata maono yake kuhusu mahusiano bado yana walakini
3.huwezi kujua kama viatu vinabana hadi uvivae, na kiatu kinachombana mwenzio, kinaweza kupwaya kwako

4. Ukitaka kujua uhondo wa ngoma, ingia ucheze

BORA YESHE
BRAVO!.
u made my day mkuu.
unatumia kinywaji gani vilee???, weitaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
 
Back
Top Bottom