Unpleasant Paper ya Mh. Tundu Lissu: Yanayojiri kwenye Mkutano wa TLS Arusha

ChiefmTz

JF-Expert Member
Apr 15, 2008
2,937
938
Wakuu kuna mdau kanitonu
ya kuwa Tundu anawasilisha/amewasilisha pepa kwenye mkutano wa mawakili huko Arusha. Kwa wadau walioko huko tunaomba mtujuze.
 
Anaponda mawakili baadala ya kupambana kuwaondoa majaji vihio na wasio na sifa wanakaa kimya kwa kuogopa watawakomoa kwenye hukumu.
 
Lisu na majaji,,,,,,meck sadiq na wapinga sensa,while mnyika na mwigulu,wassira na BULAYA,
 
Mkuutano mkuu wa chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) umeanza rasmi leo katika ukumbi wa AICC. Habari ambazo sijazizibitisha ni kuwa Mhe Tundu Lissu alikuwa na mada ya kuiwakilisha.

Habari kutoka ndani ya kikao hicho zinasema TL alitumia nafasi hiyo kuendelea kuthibitisha kuwa kuna majaji wameteuliwa lakini hawana sifa za kushika wadhifa huo. Na alifikia kusema kuwa yupo jaji hana sifa hata ya kuwa Hakimu wa kawaida.

Wanasheria/waandishi mnaohudhuria tuwekeni sawa kuhusu kauli za TL kuhusu hilo.
 
Sihitaji kauli/ripoti wala ujumbe mwingine wowote kuhusiana na suala hilo,ile ya kwanza imejitosheleza vilivyo.
 
Wakuu kuna mdau kanitonu
ya kuwa Tundu anawasilisha/amewasilisha pepa kwenye mkutano wa mawakili huko Arusha. Kwa wadau walioko huko tunaomba mtujuze.
kama huna taarifa na jambo kaa kimya mwenye taarifa kamili ataiweka! kiherehere cha nn??
 
Nipo ndani ya mkutano, lisu ameendelea kueleza jinsi majaji wasio na sifa wanafanya kazi hiyo. Mawakili ndio wanajadili hilo na wapo wengine wamependekeza mkutano huu wa mawakili upitishe azimio la kuwa rais na jaji mkuu waandikiwe barua ya kuwakataa hao majaji na pia mawakili kugoma kufika mbele yao wakiwa na kesi.
 
sibishani na watu wenye mtindio wa ubongo kama wewe! stupid bastard! ulizaliwa stend wewe!!

Sina ninachobishania na wewe uliyezaliwa na kutumbukizwa kwenye choo cha shimo. Shukuru tulikuokoa na tunajuta.
 
Mkuutano mkuu wa chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) umeanza rasmi leo katika ukumbi wa AICC. Habari ambazo sijazizibitisha ni kuwa Mhe Tundu Lissu alikuwa na mada ya kuiwakilisha.

Habari kutoka ndani ya kikao hicho zinasema TL alitumia nafasi hiyo kuendelea kuthibitisha kuwa kuna majaji wameteuliwa lakini hawana sifa za kushika wadhifa huo. Na alifikia kusema kuwa yupo jaji hana sifa hata ya kuwa Hakimu wa kawaida.

Wanasheria/waandishi mnaohudhuria tuwekeni sawa kuhusu kauli za TL kuhusu hilo.
Nafikiri ulitaka kusema "kuiwasilisha"
 
Kwa nini hajamtaja huyo jaji ili tumjue. Je ametaja ukurasa wa ripoti ya uchunguzi ambayo aliinukuu kuwa ilithibitisha tuhuma dhidi ya majaji hao?
 
Wakuu kuna mdau kanitonu
ya kuwa Tundu anawasilisha/amewasilisha pepa kwenye mkutano wa mawakili huko Arusha. Kwa wadau walioko huko tunaomba mtujuze.

yes mkuu,amerudia yale ya majaji vihiyo na safari hii amekuja na Ruling iliyotolewa siku 4 zilizopita na Jaji ambaye yumo ndani ya kikao kama kielelezo.amesema kuna majaji hawana sifa hata ya kuwa ma Rm au Registrar lakin wanapeana tuu.Mawakili wameshangili hadi noma,yan haijawah tokea..akawaambia na mawakili wasiwe kimya na kuwa wanalalama chini chini.amesema pia muungano haupo sababu katiba ya zanzibar inamtambua Rais ambaye ana madaraka sawa na wa muungano na kwamba hata Zanzibar wamesha declare kuikataa Court of Appeal kwa masuala flan flan..ila kimsingi jamaa ame shine bwana
 
Du! kazi ipo. Dogo anajiamini sana. Hivi anajua kuwa kinga ua kibunge hai apply hapo?
 
Halafu huyu ndiye Werema anasema anatumia kichwa kufugia nywele badala ya kufikiri? nadhani kauli hiyo angejifikia yeye mwenyewe kama AG. Sisi tumetambua nani anatumia kichwa kufuga nywele
 
Du! kazi ipo. Dogo anajiamini sana. Hivi anajua kuwa kinga ua kibunge hai apply hapo?

kuna wakil alikuwa nae kwenye meza ya lunch leo..akamwambia amedhamiria kupeleka hoja ya kumu impeach Rais Bunge lijalo kwamaana alichokifanya ni kuvunja katiba ya nchi kwa makusudi alisema anajua spika ataipinga hiyo hoja ila media itakuwa imeshaipata,anasema wiki mbili zijazo ana kesi mbele ya mmoja kati ya Majaji aliowataja vihiyo,anasema atamkataa Jaji huyo kwa jaji kiongoz kwa kumwambia kuwa ampangie Jaji mwingine kwa maana kuwa yule aliyepangiwa sio Jaji.Amesema ye ndo ameshaanza mwiko kurudi nyuma.
 
TL asonge mbele katika mpango wake wa kusaidia kuisafisha mahakama na kuirejeshea heshima na hadhi yake.
Najua wale akina vichwa vya kuku hawawezi kumuelewa katika hili kwa sasa labda baadae sana watamuelwa tu.
 
kuna wakil alikuwa nae kwenye meza ya lunch leo..akamwambia amedhamiria kupeleka hoja ya kumu impeach Rais Bunge lijalo kwamaana alichokifanya ni kuvunja katiba ya nchi kwa makusudi alisema anajua spika ataipinga hiyo hoja ila media itakuwa imeshaipata,anasema wiki mbili zijazo ana kesi mbele ya mmoja kati ya Majaji aliowataja vihiyo,anasema atamkataa Jaji huyo kwa jaji kiongoz kwa kumwambia kuwa ampangie Jaji mwingine kwa maana kuwa yule aliyepangiwa sio Jaji.Amesema ye ndo ameshaanza mwiko kurudi nyuma.

Sijui kama ataweza kupaya ishirikoano. Lakini kwa nini asipeleke malalmiko yake kwenye tume ya utumishi ya Mahakama? Otherwise naona madai haya yako kisiasa zaidi yakisukumwa na nguvu. ya kiherehere.
 
na ameshajua kwamba atakosa ushirikiano (the strongest man z.... who stands alone) lakin ujumbe utakuwa umefika kuhusu kwa nin ameongelea kwenye mkutano wa TLS sidhan kama wewe ameshafuatilia nakujua nin hasa huwa kinafanyika inshort nenda kweny website yaTLS ukafute ujinga..nadhan umeshatambua kati yako na Tundu Lisu nan KIHEREHERE..
 
Back
Top Bottom