KITINDIKITAMU
Senior Member
- Nov 3, 2019
- 189
- 356
Unatisha hicho kibubu kinaamsha popo balaa!GimmiDat
we ni tahiraDiamond napenda mziki wake ila ukweli ni kua konde kwa sasa anavitu tofauti sana
Mond sio wakusample na kuiba midondoko ya naira maley soapy asee nimemshusha sana , najua amefanya makusudi ili kupush wasafi festival ila hii imempunguzia mashabiki na hivi anafight na Clouds + Kiba + team konde lazima wamchafulie kule kwenye account ya Naira youtube otherwise awe ameongea na Jamaa
Kwenye comment tuache story za kuponda au kusifia, wewe weka jina la mkali wako hapo kisha tutahesabu kura.
Unaandika mara moja tu kuliko kurudia rudia.
Kura yangu ni kwa: Harmonize - Uno
Sir sikiliza vizuri hizo ngoma kati ya Soapy na Baba lao ni ngoma mbili tofautii.
Tatizo letu ni kwamba wewe umesema inafanana na Soapy mimi nitabeba kama lilivyo nitapeleka nakokujua nitakao wapelekea kama nao ni mazuzu hawatasikiliza hizi ngoma watabeba na kuwalisha wengine pumba.
Sikiliza hizo ngoma
yani diamond na konde wanatuchezea akiri sana wanatengeneza image ya kuwa wao bro habari ya mjinga kiba kapotezwa huu mchezo wenye akiri tushauelewa kitamboo
Sasa hapo kosa ni la msanii au producer?Mkuu nimesikiliza ukweli hiyo ngoma kilichobadilika ni lugha tu ila biti na melody ni sawa
Kucopy ni dhambi, kama wasanii wamekubalianam
Cha muhhimu ni kumiliki mkwanja kama wa chibu basi nyingine mbwembwe
Diamond kaja kawakuta wakina afande sele wanaisifia gari ya kuhongwa ya mil 8 leo hii ana zaidi ya billion 11
B11 ni kama dola millioni 5 tu..ambazo kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali ndio net worth ya diamond hiyo...wasanii waliokuwepo kwenye top ten ua wasanii matajiri Africa wengi wameanzia dola millioni 10 na kuendelea mpaka kwa Akon ambaye ana Net worth ya 30 million dollarB 11?? Ndio hata top ten ya wasanii tajiri Africa asiwepo?
Diamond ni jeuri na anacheza na akili za watu saivi katoa wimbo mpya na watu wamehamishia attention kwenye wimbo wamesahau juzi tuu walikua wanaongelea PENSELI.Mkimaliza kuongelea hili la kucopy ataleta tukio lingine.
Hivi kwa dunia ya sasa iliyotawaliwa na hatimiliki unaweza kucopy wimbo wa mtu pasi na kukubaliana na mwenye wimbo?..aliyekwambia diamond haogopi faini ni nani? Mond anajua kabisa faini ya kuiba hatimiliki ya mtu haipungui dola millioni moja(zaidi ya billioni 2)..hivyo sidhani kama anaweza kufanya hicho kitu bila ya makubaliano na mwenye wimbo..kuna kipindi watu walikuwa wanapiga makelele hivihivi oh! Wimbo wa the one kamuibia mnamibia haya kiko wapi mbona Mnamibia hadi leo yupo kimya hajafungua mashtaka yoyote yale kwani yeye hapendi kulipwa faini?Hiyo sio kazi yetu sasa. Anapaswa kutoa maelezo inakuaje maana 90% ya ngoma kucopy na kucopy kwenye music ni sawa na wizi maana umetumia kitu cha mtu pasina ruhusa.. na pia kwenye music Hua hakuna ku copy, hua kuna sampling, cover n.k soma zaidi kaka Bangi
Diamond napenda mziki wake ila ukweli ni kua konde kwa sasa anavitu tofauti sana
Mond sio wakusample na kuiba midondoko ya naira maley soapy asee nimemshusha sana , najua amefanya makusudi ili kupush wasafi festival ila hii imempunguzia mashabiki na hivi anafight na Clouds + Kiba + team konde lazima wamchafulie kule kwenye account ya Naira youtube otherwise awe ameongea na Jamaa
Naam! Cabo snoop nimekumbuka mbali japo sio sanahizi ni zile nyimbo za comedy,ambazo huwaga zina hit vibaya mno,nikuulize swali ule wimbo wa plakata rhumba unajua kilichoimbwa mule ndani? nadhan hata utakua ni shahid jins ulivyosumbua ule wimbo.