Unmarried and over 30 looking for "mr right"

Watch your language brother. Hawa ni dada zetu. Remember respecting others equate respecting yourself...life is very simple and ease. Dont make it difficult for absolutely no reason at all.
 
Mkuu hebu acha kusimanga watu. Sio kila mtu anapenda kuoa under 30 kuna wengne wanapenda over30 kwakuwa wanajielewa na wamepitia kila aina ya starehe na changamoto zote.

Usihukumu sana maana kuna wengne ni watulivu kabisa na hawana makuu lakn hawana bahati ya kuolewa.

Lakn siku yao ya kuolewa ipo, kila jambo hupangwa na Mungu, na usijone kuwa ww ndio mwema sana lakn hao walio over 30 hawajaolewa ndio wakosaji, hizo sababu ulizozielezea hawakuwa wanafanya peke yao..

Iko siku utakuja kuona dadaako, au hata mtoto wako naye anafikisha umri 35 lakn bado anakula ugali wako huku anakuja kuchukuliwa na Bodaboda au hata gari lakn bado anadunda nyumban kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona matusi ya nguoni kabisa haya? Tuwaoneeni huruma basi hawa viumbe kwani kuna nini jamani kila siku kuwasema mabinti wa watu. But, Believe me if you are not interested, there are many out there who are looking for them

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaiyo mtu akiwa over thirty anakuwa infertile...unaoneka Ni Zwazwa na mpumbavu. Usiejua kitu chochote. Nautakuwa masikini Kwa mawazo yako mgando mbwa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo aliyekutenda ndugu inabidi atafutwe maana kakuvunjavunja moyo umebaki ndembendembe & orijojo kabisa!
 
Ila mimi ninamtazamo tofauti ktk hili,yaani uniambie nioe foolish age, hapana,mwanamke nitakae muoa ni yule mwenye umri kuanzia 28 mpaka 35 ilimradi awe tu hajazaa.

Sent from my HUAWEI CUN-L01 using JamiiForums mobile app
 
Mwenzangu, Sinach ameolewa akiwa na 39 yrs, kapata mtoto Wa kwanza mwaka huu Alisa na 45 yrs. Halafu kuwa single kuna ndoa kuvunjika, kufiwa nk, lakini yote yanaonekana ni matatizo ya wanawake, mfyuúu!
Hiyo story ya mwenzako iga sasa wewe ndipo utajua kuwa ulikuwa haujui kuwa hujui.......
 
Duuh.. kumbe kichwa cha uzi kina mislead!!!

Watu walivyo wavivu KiSOMO, wanaishia tuu kwa heading, jiandae kupokea proposals za posa kibao huko PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…