Nilikua nasikia kama hadithi za kusadikika vile.......lakushangaza ni kweli.
Jamaa yupo bomba mbaya ila analalama kila akimtokea demu anamjibu ' Usinidanganye na uzuri wako huo usiwe na mtu' jamaa kwa sasa anahenya mbaya just to get one for his entire life....
Ajitume vipi jamani?
Kwani uhandsome deal basi?....
Kipipi mumeo hajambo?
Hajambo!
Kwani uhandsome deal basi?....
Sio deal mwenzangu
Ha ha haa