Unloved HANDSOME MAN

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Posts
712
Reaction score
332
Nilikua nasikia kama hadithi za kusadikika vile.......lakushangaza ni kweli.

Jamaa yupo bomba mbaya ila analalama kila akimtokea demu anamjibu ' Usinidanganye na uzuri wako huo usiwe na mtu' jamaa kwa sasa anahenya mbaya just to get one for his entire life....


Ajitume vipi jamani?
 
Hakuna cha handsome kama hajui sound basi awe na wallet ya kutosha.
 

Lugha yako tu inaonyesha kuwa ni wewe . . . prove me wrong!!!

Hahah pole sana Mpambanaji.
 

tengeneza lyrics kaka utazeeka peke yako
 
jamaa anaringia uhandsome, watu hawangalii funguka ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…