Unlocking Huawei and ZTE modem

ISACOM

JF-Expert Member
Jul 22, 2009
436
500
Mkuu..Nina Airtel ZTE ...Model: MF 190..Itawezekana...Maana nimeiweka tu kabatini
 
McMahoon

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
1,189
2,000
Usifikiri sijui kuunlock modem. Shida yako unataka upate hela. Sema kama nakuharibia dili. Nimetumia njia hiyo kuunlock modem yangu na ndiyo hii natumia kuandika comment hii. Hiyo namba ya whatsApp ya nini?
Bro trick uliyoweka haifnyi kama modem inatumia customized firmware. Solution ya Ku unlock modem zenye customized firmware ni kuflash au kutumia DC unlocker
 
kcamp

JF-Expert Member
Aug 31, 2014
6,788
2,000
Usifikiri sijui kuunlock modem. Shida yako unataka upate hela. Sema kama nakuharibia dili. Nimetumia njia hiyo kuunlock modem yangu na ndiyo hii natumia kuandika comment hii. Hiyo namba ya whatsApp ya nini?
Mim mwenyew nimehisi anataka kupiga watu hela,nmemshaur mtu hapo wa mf190 atumie dc unlocker,yeye anakuja niquote eti nishawah jarbu hyo njia ? Wakt mf 190 imeshapata solution kitambo humu jukwani.. yeye anakuvuta WhatsApp

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom