Unlocking Huawei and ZTE modem

Mim mwenyew nimehisi anataka kupiga watu hela,nmemshaur mtu hapo wa mf190 atumie dc unlocker,yeye anakuja niquote eti nishawah jarbu hyo njia ? Wakt mf 190 imeshapata solution kitambo humu jukwani.. yeye anakuvuta WhatsApp

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa endelea kuhisi hvo ila wenzio wanasolve matatzo yao free of cost.
 
Usifikiri sijui kuunlock modem. Shida yako unataka upate hela. Sema kama nakuharibia dili. Nimetumia njia hiyo kuunlock modem yangu na ndiyo hii natumia kuandika comment hii. Hiyo namba ya whatsApp ya nini?
Haya muelekeze huyo jmaa niko nasubir msaada wako hpa
 
Mkuu tunasubiri hilo darasa, sisi wanafunzi. Ukianza kupoteza muda kujibu hoja dhaifu unatutoa katika umakini wanafunzi wako. Wewe jibu kwa kushusha nondo za uhakika ticha. Tunasubiri
Nilikua nasubri majibu hayo maan nimemueleza hyo njia haifnyi kaz akabisha ngja tuone atasemaje.

Akikujibu ufnye nn nishtue nipo kwa makame hpa nakula urojo
McMahoon njoo huku ulete majibu
 
Ingia kwenye website ya hapo chini. Utaweza kuunlock modem yako kwa urahisi zaidi

Jinsi ya kuunlock modem ya E303s-1
Shukran mkuu nimefanikiwa. Hiyo formwork iliyopo kwenye blog yako ibadili ziligoma, Nikasearch Google formwork nyingine.

Nimeambatanisha na Picha hapa.
IMG_20200415_142354.jpg
IMG_20200415_142633.jpg
IMG_20200415_143029.jpg
IMG_20200415_142633.jpg
IMG_20200415_142354.jpg
 
Naona unaji-quote na kujijibu mwenyewe. Hiyo njia nimetumia kuunlock modem yangu ya Tigo 303s-1. Ndiyo naitumia sasa hivi kukujibu wewe. Weka namba ya WhatsApp ili upige pesa.
Tumia hyo njia yko Ku unlock modem zenye customized firmware ukifanikiwa njoo ulete majibu humu tunakusubiri
 
Njia ya Kwanza ni Kwa kutumia auto Modem Unlocker
Hii njia effective ila kwa baadhi ya modem inaweza ikagoma (kma modem yako itagoma bac ruka na fuata njia inayofatia hapa chini).

Mahitaji
1.Computer yeyote ile iwe na uwezo wa kuconnect internet
2.Auto modem Unlocker(link hapo chini)

Hatua za kufata
1.Download Auto modem unlocker
2.Unganisha PC yako na internet (hapa unaweza tumia smartphone au modem uliyo nayo)
3.Extract file ulilopakua na run as administrator setup iliyoandkwa Unlocker
4.Chagua aina ya modem yako na acha sehem iliyoandkwa Auto detect kama ilivyo
5.Bonyeza search icon na maliza kwa kubonyeza Unlock na subiri kidogo mpka utakapoona unlocked.
6.Chomoa modem yako na weka lain yeyeto ile kufurahia internet bla kizuizi

NJIA YA PILI
Coming soon.....
 
Back
Top Bottom