Unlock tigo and airtel new modems temproraly 100% working plus proof!

Unlock tigo and airtel new modems temproraly 100% working plus proof!

ahsante kwa maujanja,ila nina maswali kidogo naomba unisaidie.
1.ninatumia modem ya airtel huawei e 153u-2,je na hii pia yaweza kuwa unlocked kwa njia hii?

ok.. Hii njia nimejaribu kwa model hii ikiwa imelokiwa kwa mitandao mitatu na yote ikakubali.. Ambazo ni tigo,airtel na etisalat(hii ni mtandao wa uarabuni)

2.katika port ntachagua application interface au pc ui interface?

ok apa sijakupata vizuri lakini nadhani unauliza port utaijuaje fuata maelezo ya ndugu sijui nn aya;
mdau umenisaidia sana kwa hili, thanks...ila angalizo hapo kwenye kuchagua com port si laizma mara zote ije com17 kama haitatokea com 17 unaweza click pale palipoandikwa device manager kisha itafunguka device manager, click kwenye ports (com & lpt) kisha utaona kwenye mabano namba sahihi then unakuja kuchagua mojawapo kati ya utakazoziona.....!! Otherwise big up kwa kutujuza...!


3.na ikiwezekana kuwa unlocked itakuwa temporary,kwamba nikitoa itarudi kuwa airtel,na nikitaka kutumia tigo ama voda means ni unlock tena???
Plzzzzzzzzzzz naomba unisaidie kwa hayo

yah ukichomoa tu na ukiweka tena inajireset so inakuwa locked tena this is only temporarily unlock.. Mpaka sasa hamna njia za kuzi unlock permanently

i hope nime eleweka!!! Gud luck!
 
hi,

i tried to unlock the e153, but it says temporary unlocked, you said up that to close the software and reopen and click unlock and service...but still the temporary message is coming and i tested, its not working....cant i unlock it permanently.....pls guide...
 
hi,

i tried to unlock the e153, but it says temporary unlocked, you said up that to close the software and reopen and click unlock and service...but still the temporary message is coming and i tested, its not working....cant i unlock it permanently.....pls guide...

I think u haven't read the post carefully.. i said it and will say it again this only TEMPORARILY UNLOCKS IT and there is NO WAY untill now

that u can PERMANENTLY unlock CUSTOMIZED FIRMWARE modems.
 
wameshtukia nini maana nimeangaika kuchakachua weeeeeeee!!! kwa maprocedure haya ni bora ukawa na airtel.
 
Hahaha, Thanx broda,You have been such a great help! Though it's only temporalily, but it works just fine!!
 
Kaka modem yangu lock counter zimeisha so inasoma (0)lock counter please nisaidie.


Modem yenyewe ni E153
 
Back
Top Bottom