Unlock tigo and airtel new modems temproraly 100% working plus proof! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unlock tigo and airtel new modems temproraly 100% working plus proof!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by e2themiza, Aug 5, 2011.

 1. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Habari zenyu wana jamii kama kawa nimekuja na vitu ni share na wanajamii wenzangu nimeona ili tatizo hau hii kitu kimetesa sana watu sana

  sana walionunua modem za tigo hivi karibun na kutaka ku unlock kuweza kutumia airtel well it is possible lakini hii ni temporarily lazima ufaute

  some procedures and ur good to go procedure easy na kadogo 2 hii kitu nakumbuka kilishaelezewa hapa na mkuu SHAROBARo but kukawa

  na som issues missing au kutokueleweka kwa njia moja au nyingine ambapo tatizo ilikuwa ni kwenye kuupdate FIRMWARE well hii procedure ni

  takayotoa hapa hauta update firmware utaitumia hyo hyo and it will work nimeambatamisha maelezo na picha apo chini ili iweze kueleweka

  modem ninayozugumzia ni huawei e153 model(e153u-1) ambayo ni customized firmware au kwa namna nyigine ni kuwa haiwezi kunlokiwa

  kwa njia zile za mwanzo za kawaida au ku permanately unlock it... sasa kwanza weka line ya airtel kwenye modem then i connect na computer

  yako then utaona imeleta message ifuatayo;

  Then download hii software kutoka hapa Download Modem Unlock Com Huawei Unlocker usb driver zip apo chagua free download and utaingiza code utasubiri kwanza kwa 40 seconds then utaclick download then utasubiri kwa 10 seconds and the itaanza kudownload ikishamaliza extract then open it halafu fuata maelezo hapo chini;  SASA the first thing ambacho tunatakiwa kufanya ni kui counter reset ambapo hizi modem zote zimekuwa counter blocked so hapa ni muhimu sana chakufanya

  Then sasa twaja mahali muhimu kwanza

  kisha italeta hivi

  SASA rudi tena kwa kuclick UNLOCK MODEM then SERVICE tena the subiri kidogo and sasa italeta hivi

  SASA mpaka apo ur good to go na as u can see ukifungua mobile patner hailet error tena kama apo chini

  OK I HOPE MTAFANIKIWA AND UKIKWAMA KOKOTE USISITE KUULIZA AND UTASAIDIWA vile vile package ya airtel ni 2500/= ambapo weka

  salio hyo kwenye 4ne and tuma msg yenye neno intaneti kwenda 15444 utapewa msg utanconfirm utajibu ndiyo and ur good to go ambapo

  package hyo unapta 400mb kwa siku 30 vile vile ikifika saa sita usiku mpaka saa kumi na mbili asubuhi airtel ni free kabisa ambapo unapata

  200mb CHEERS! people am out.
   
 2. Vato

  Vato JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Ebwana wakuu nahtaji msaada kidogo, nna Modem yangu ya Zantel, siku moja nilimuomba jamaa mmoja anisaidie kui-unlock akaniambia haiwezekani kui-unlock kwasababu inatumia Chip aina ya UIM badala ya GSM..vipi mnaweza kunisaidiaje hapo?? Ni kweli haiwezekani au uwezo wa jamaa uliishia hapo??
  By the way Modem yenyewe ni Huawei but unfortunately nimesahau Model number yake.
   
 3. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Ndiyo he was rite yani apo kama itaweza kuwa

  unlocked au labda pia haiko locked kwa tanzania utaweza tumia TTCL, SASATEL basi hamna njia ya kuibadilisha itumia GSM iyo ni hadware issues

  so sorry mkuu.
   
 4. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  mdau umenisaidia sana kwa hili, thanks...ila ANGALIZO hapo kwenye kuchagua COM PORT si laizma mara zote ije COM17 kama haitatokea COM 17 unaweza click pale palipoandikwa DEVICE MANAGER kisha itafunguka device manager, click kwenye PORTS (COM & LPT) kisha utaona kwenye mabano namba sahihi then unakuja kuchagua mojawapo kati ya utakazoziona.....!! otherwise BIG UP kwa kutujuza...!
   
 5. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  We mkareeee!!! nice share bro..lets chakachua and we will come back with full details!!
   
 6. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Yeah exactly mkuu.

  Pamoja sana naingojea feed back yako
   
 7. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #7
  Aug 5, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,002
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  mie natumia sasatel, kimeo tupu,natamani nichakachue
   
 8. newtonfox

  newtonfox Senior Member

  #8
  Aug 6, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  yeah i have dat lakini its bad for customers i need da full 1 hau mpaka tupate the release of new firmwire updates>>>[let us hack it for funs]
   
 9. newtonfox

  newtonfox Senior Member

  #9
  Aug 6, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  join air ya ukweli for zte users eg vodacom etc je jinsi ya ku write hiii read only drive:vodafone USB SCSI CD-ROM_ILE INAYOKUA NA SETUP YA VODAFONE LITE kusudi niweze weka nyigngine
   
 10. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Duh, sisi wabongo kwa kuchakachua ni noma, tunachakachua kura, mafuta na sasa modem
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Umetisha mkuu,Thanx 4 the share....
   
 12. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  This is how super China kick-started its economic revolution!! Playing with what is underneath the bonnet in technology is a must, especially when you are at initial stages of building a sound tech savvy base of youngsters!!!
   
 13. waseinc

  waseinc Member

  #13
  Aug 7, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Thnx Mkuu umetisha
   
 14. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #14
  Aug 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mkuu hapa nadhani ukirudia mara nne lazima i unlock completely..
   
 15. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #15
  Aug 7, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  ila customized firmware kiboko ndo maana mi nastack kwenye Voda modem tu cheki speed hapa chini baada ya kuichakachua

  View attachment 34980
   
 16. baghozed

  baghozed JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 515
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Ahsante kwa maujanja,ila nina maswali kidogo naomba unisaidie.
  1.ninatumia modem ya airtel HUAWEI E 153u-2,Je na hii pia yaweza kuwa unlocked kwa njia hii?
  2.katika port ntachagua application interface au PC UI interface?
  3.Na ikiwezekana kuwa unloCKED itakuwa temporary,kwamba nikitoa itarudi kuwa airtel,na nikitaka kutumia tigo ama voda means ni unlock tena???
  PLZZZZZZZZZZZ NAOMBA UNISAIDIE KWA HAYO
   
 17. baghozed

  baghozed JF-Expert Member

  #17
  Sep 28, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 515
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Wa ndima hebu naomba tushee hayo maujanja ya kuchakachua hizo modem za voda
   
 18. P

  Proud Patriot JF-Expert Member

  #18
  Sep 28, 2011
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 220
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hiyo unlocker haipatikani,please upload
   
 19. Bejajunior

  Bejajunior Senior Member

  #19
  Sep 28, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  we wa ukweli mbona....................... big up
   
 20. Dumelang

  Dumelang JF-Expert Member

  #20
  Sep 28, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,189
  Likes Received: 1,539
  Trophy Points: 280
  huu sasa mziki mkubwa yani ukichomoa tu, ukirudu uanze upya ...bora ninunue airtel tu
   
Loading...