Unlimited sms from TTCL

Unlimited sms from TTCL

DAVIES KILANGI

Senior Member
Joined
Nov 25, 2018
Posts
174
Reaction score
119
Bila shaka mu wazima wa afya njema.kama kichwa kinavojieleza hapo juu.

Nina kama mwezi mmoja hivi nimesajili line ya ttcl lakini cha ajabu, nikiwa nabadikisha line kutoka sim moja kwenda simu nyingine wananitumia sms nyingi sana kwa siku wanaweza kunitumia sms 1000 mpaka ata~1500elf kwa kweli nimeshindwa kuelewa hili tatizo.

Tatizo hililimekuwa kero kubwa sana kwangu kwani kila seconds sms zinatilikika tu bila ukomo.

mpaka unashindwa hata kutumia simu kama mnavo jua kwa hizi buttons phone.

inafunction kwa kitu kimoja tu kama ni kusoma sms ndo uingie sehem ingine tena,kwa kweri imekuwa complicated sana.

Nilijaribu kuongea nao lakini hawaja nitatulia hili tatazo japo kila nikiongea nao wananiahidi watatatua hili tatizo ndani ya masaa 24 lkn mpk md unafika hamna kitu.

Hivo nimeona nije huku kwani asilimia 70% ya mambo yangu huwa yanatatuka nikiweka au kuuliza kwa wadau wa jamii forum.

Kwa yeyote mwenye ufahamu na hili naomba atoe solution ili kuondokana na hii changamoto.

Naomba kuwasilisha
Screenshot_2021-08-03-10-14-55.jpg

View attachment 1878253
 
some where kwenye server za ttcl 😀😀😀
Python:
salio=0
while salio==0:
print("ndugu mteja hauna salio la kutosha")
print("tutakutumia hizi message hadi ukome")
Sa mkuu nasolve vipi hili tatizo
 
Naomba nikuulize swali mleta mada hivi ttcl ulihamia kwa utashi wako mwenyewe au ulishinikizwa na mtu aliyekuwa amekushikia bastola.kuna mtu juzi tu tumemzika kutokana na stress za kuwa na line ya ttcl
 
Naomba nikuulize swali mleta mada hivi ttcl ulihamia kwa utashi wako mwenyewe au ulishinikizwa na mtu aliyekuwa amekushikia bastola.kuna mtu juzi tu tumemzika kutokana na stress za kuwa na line ya ttcl
Hahahahha
 
Back
Top Bottom