University of Dodoma - Photos !

I agree with you.

Tutaomba aliyeleta picha hizi, baada ya miaka mitatu atuletee tena picha atakazopiga wakati huo.
Nitajitahidi sana kufanya hivyo maana kuna wachina wanaweza kufanya mambo kwa haraka sana ila uimara wa majengo ndio Tatizo kubwa sana
 
nilitembelea pale miaka miwili iliyopita. ninatumaini hatua ya kukijenga itakuwa imefika mbali sana. Hakika ni chuo cha kujivunia Watanzania
 
chuo kizuri sana,wanafunzi wawe na nidhamu wakitunze na sio tena waanze kuchora chora ukutani maana hizo rangi nyeupe huwa zinawavutia sana kuchora,kikitunzwa na watumiaji kitadumu ila kama ndio mambo yale ya zamani wkt wa kumaliza mnafanya uharibifu.hakitadumu mda mrefu.ni hayo tu
 
hakuna wakubisha udom noma

udom noma majengo tu, lakini miundombinu mibovu, uwa panavuja balaa, harufu toka ng'ong'ona mpaka social, maji uwa hakuna mpaka unawaonea huruma, hakuna walimu wa kutosha inabidi kukopa ud au muhimbili na vyuo vingine.... sasa unoma wake uko wapi bwana Autorun?
 
Last edited by a moderator:
the truth be told.. anayechukua sifa ya Udom ni Lowassa...
kivipi aisee, funguka hapo...ni Lowasa? alichangia kwa namna gani sisi wengine hatujui hilo....wengine wanasema hili lilikuwa wazo la mkapa, jk amekuja tu kutekeleza, wengine ndo nasikia mnasema pongezi ziende kwa Lowasa....how?
 
udom noma majengo tu, lakini miundombinu mibovu, uwa panavuja balaa, harufu toka ng'ong'ona mpaka social, maji uwa hakuna mpaka unawaonea huruma, hakuna walimu wa kutosha inabidi kukopa ud au muhimbili na vyuo vingine.... sasa unoma wake uko wapi bwana Autorun?

Ahsante Mkuu!! Kweli kama majengo mazuri ndiyo ubora wa chuo, basi kweli UDOM ni noma!! Usilolijua ni kama usiku wa giza!! Ukitaka kujua uzuri wa ngoma ingia ucheze!! Hayo si lolote. Yanaanza kuharibika kabla hata hayajakabidhiwa rasmi kwa chuo. Jengo la utawala (Central administration) limefanyiwa ukaravati/ukarabati mkubwa kabla hata halijakaliwa kwa mwaka mmoja.

Kielimu, UDOM hakuna kitu. Nawahurumia sana graduates wa hiki chuo. Lkn kibaya zaidi, ni kwamba hata graduates wa u-medical doctor na unesi watakumbwa na janga hili. Usiombe baadaye ukatibiwa na graduate wa UDOM
 
Kwetu Iringa yani ni kwamba udom hakuna cha kusifia, let us be honest. wanaoijua udom waseme, mimi niko dodoma miaka zaidi ya mitatu na udom ni mahali nilipo pazoea, labda mimi sioni vizuri, hebu bwana Autorun tupe details
 
Last edited by a moderator:
Kwetu Iringa yani ni kwamba udom hakuna cha kusifia, let us be honest. wanaoijua udom waseme, mimi niko dodoma miaka zaidi ya mitatu na udom ni mahali nilipo pazoea, labda mimi sioni vizuri, hebu bwana Autorun tupe details

Na mimi niko Dom. Nina dada yangu anasomea unesi pale. Kwa hiyo nafuatilia sana mambo ya pale. Yaani dada analalamikia sana elimu ya pale. walimu wa kuokoteza okoteza tu. Anasema wengi hawajahi kufundisha popote, bali nikama wanajifunzia pale pale kufundisha

Hatari llkn salama
 
za kuambiwa na dada yako changanya na zakwako
 
Kwetu Iringa yani ni kwamba udom hakuna cha kusifia, let us be honest. wanaoijua udom waseme, mimi niko dodoma miaka zaidi ya mitatu na udom ni mahali nilipo pazoea, labda mimi sioni vizuri, hebu bwana Autorun tupe details

ikiwaka tazama ikizima papasa waTZ tumekua addicted na siasa na shortcuts nyingi
 
Namaanisha hivi
Kweli chuo kizuri
Swali langu likaja hawa madogo wanaosoma hapo akiwepo mdogo wangu sijui kitabu kinapanda ?
maana shule za siku hizi mmh kama si kupiga picha na kuweka FB
ni kweli unachosema...na naamini vifaa vya kujifynzia wanavyo vingi wasiwasi wangu pia uvivu wa Watanzania kusoma.
 
Back
Top Bottom