Bill of Quantity
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 1,233
- 407
Safi sana...
Utakuwa na upungufu wa akili kama utashindwa kuappreciate hilo.,Kikwete ana mapungufu yake lakini kwa hili la kuchukua initiative ya kuanzisha chuo hiki ni lazima tumpe sifa zake,tusiwe wanafiki na wachoyo wa fadhila kiasi hiki,jiulize zaidi ya Nyerere mbona hakuna rais mwingine alieanzisha chuo kikuu tena from the ground zaidi ya kikwete.,sio mwanachama wa CCM wala shabiki wa JK lakini hilo halinifanyi nishindwe kusema kuwa hiyo ni ahadi pekee ya JK iliyotimia.
Hata mimi namsifu kwa KUTEKELEZA( nasahihisha kuanzisha badala yake ni kutekeleza au kufanikisha ujenzi na ukamilifu)! Nimewah kufika pale! Pako vizuri japo mifuko ya jamii ndo ili finance na kuna taarifa bado serikali inadaiwa na mifuko hiyo.
this is what I call "thinking" others are "sinking" in kikwetelism"Render to Caesar the things that are Caesars and to God the things that are Gods." Saa nyingine nyie niseme washabiki wa Kikwete mnachefua sana, JK angekuwa na uwezo kama huo wa kutimiza ahadi zake leo hii tusingekuwa katika hali ambayo taifa inalo kwa kiasi tulichofika. Just imagine ni pesa ngapi za walipa kodi zinateketea na wala hajali? Hiki chuo kilianza kuchukua wanafunzi 1000 mwaka 2007, sasa hebu niambie JK ameingia madarakani let say Nov 2005 katika kipindi cha miezi 12 ameweza kufanikisha a mighty project. 1. Tuwekee hapa jinsi alivyoweza kufanikisha huenda mimi ndio nina makengeza kwa sababu yeye ni mchapakazi mahiri. Ukitilia maanani juhudi zake ambazo bile yeye kisingefanikiwa? (i.e. kama JK asingekuwepo hiki chuo nacho kisingekuwepo) 2. Tuwekee hapa jinsi chuo hiki kilivyojengwa nani an-finance na kwa kiasi gani? Kama bajeti yake ipo kwenye matumizi ya serikali ilipitishwa na bunge la kikao kipi? (dates please) 3. Taaluma ambazo zitakuwa zinatolewa hapo chuoni? 4. Je, ni gharama ya kiasi gani mwanafunzi analipia kwa mwaka tangu kianze?
una data za ulichokiandika..! ? ?