University of Dodoma - Photos !

University of Dodoma - Photos !

hivi huyo ni mkapa au jakaya mbona unataka kumpa kichwa bure"?
 
JAMANI HEBU JARIBUNI KUFUATILIA, HICHO CHUO NI MKONO MKUBWA WA CIA, NA KATIKA BATCH ZAO ZA WAZO KUNA WATANZANIA WENGI WAPO HAPO CHUONI KWA FUND YA HAO JAMAA,
Na cha ajabu serikali wapo Tayari kuua vyuo vingine vyote ilimradi hiko chuo kisimame, nasema hivyo kwa sababu kuna numberz of recturerz kutoka SUA na UDSM ambao wanasumbuliwa kila siku waamie UDOM, sasa swali ni je wakihama SUA au UDSM si ndio vyuo hivyo vitakufa kwa sababu kutakuwa hakuna sub
 
Kwani kuna ajabu gani wakihama na kwenda kufundisha huko?? siyo ajabu ila wote kwa ajili ya kusaidia Tanzania kuliko kubaki kama kilivyo bila ya walimu wa kutosha
 
Jama Mkuu wa chuo hicho amejibu maswali yote ambayo yalikuwa yanaulizwa na juu ya ufadhili wa chuo hiki, Ila ni Pesa za Watanzania na hivyo kuhusu walimu ni janga la kitaifa maana hata baadhi hata vyuo vingine navyo havina walimu

Josh, do you how much power Kikwete et al wanatumia kuviporomosha vyuo vingine kwa kuwachukua walimu na kuwapeleka UDOM ili tu waone UDOm inatajwa inwalimu ili hali vyuo vikongwe vinapokwa watu wao?

Tafakari.....Ch........
 
Kwani kuna ajabu gani wakihama na kwenda kufundisha huko?? siyo ajabu ila wote kwa ajili ya kusaidia Tanzania kuliko kubaki kama kilivyo bila ya walimu wa kutosha

Kwanini usiwatengeneze hao walimu wako? Kwanini lisifanyike kwa utaratibu kuliko linavyofanyika sasa kwa kasi hadi lile pengo la walimu wanaotoka kwenye vyuo vikongwe linaonekana waziwazi?

Kwa majibu yako yalivyo sijui mara ya mwisho ni lini kuvitembelea vyuo vyetu, ila nafikiri ni miaka mingi sana kabla ya UDOM kuanzishwa.
 
Hilo ni jambo la msingi sana maana hata kule UDOM hakuna walimu, ila ni jambo baya sana katika Taifa kuwa na allocation za resources kama hivi ilivyo leo, tunaona walimu wengi sana wanaambiwa kwenda UDOM na mara ya Kwanza walikuwa SUA, Mzumbe na UDSM na vyuo vya umma vingine ila cha kufanya ni kuwa na Joint flying lectures
 
wewe ni msomi ndugu yangu, vyuo vyote vilipoanza havikuchua kwa kuwarubuni walimu kutoka vyuo mvingine pale UDSM kulikuwa na walimu nwa mwanzo kutoka Nigeria, Ghana, Ujerumani, India na kwingineko lakini kulikuwa na program maalum ya kutengeneza walimu
sasa iweje unaanzisha chuo na kwenda kuua vyuo vingine ili mradi chuo kipya kisimame, kama walimu ni wa shida kwa nini wasitafutwe maforeignerz kuja kufundisha kama MWalimu JK alivyofanya mwanzo
 
Angalau chuo kimejengwa.....sitaki kuona invoice yake maana furaha yote inaweza kutoweka....
 
wewe ni msomi ndugu yangu, vyuo vyote vilipoanza havikuchua kwa kuwarubuni walimu kutoka vyuo mvingine pale UDSM kulikuwa na walimu nwa mwanzo kutoka Nigeria, Ghana, Ujerumani, India na kwingineko lakini kulikuwa na program maalum ya kutengeneza walimu
sasa iweje unaanzisha chuo na kwenda kuua vyuo vingine ili mradi chuo kipya kisimame, kama walimu ni wa shida kwa nini wasitafutwe maforeignerz kuja kufundisha kama MWalimu JK alivyofanya mwanzo
Hata sasa serikali inafanya hivyo na pia nafikiria kuwa UDOM inapswa kufanya hivyo
 
Ukiomba kazi tu unapata, teh teh.but chuo kizuri sana kwa kweli ila sasa waalimu ndo issue kwa nini wasiombe msaada toka nje?
 
Wana walimu toka India, CUBA, Japan, Korea na mataifa mengine mengi Duniani hivyo suala la walimu ni muhimu sana katika vyuo vyetu Tanzania
 
Tunategemea mengi sana kutoka katika vyuo hivi na kuona Tanzania inakuwa mbele kwa kila sekta ya msingi wa watu wote
 
ni kweli kabisa ni gharama kubwa sana maana hata yeye Jk aliwahi kusema kuwa katika Nchi ipate uhuru hakuna mradi mkubwa kama huu ni kubwa sana
 
si unajua dodoma ukame, no water
Kweli Dodoma kuna ukame na pia wanafunzi wengi wa huko wanasema kuwa wao wanapata maji kwa siku mara 2 hivi sasa hapa ndio kuna kazi kubwa sana katika ujenzi wake
 
Wewe Si mbongo kama huelewi hata nani aliyeanza na plan ya hicho chuo. SI Kikwete ni Mkapa Ndo aliye initiate hiyo project.

Wewe acha mawazo ya kifisadi, fisadi Mkapa hahusiki na chochote UDOM
 
Back
Top Bottom