luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,325
- 6,871
Kama kuna yeyote ambaye amesoma masters program UDSM hasa COSS idara ya geography. ... Pls can you rise up your hand or tag my username
Public health ipo ila course za afya nenda vyuo vya afya kama muhimbiliUdsm wanakoz had za afya nauliza?
Yes, UDSM walianzisha School of health science pale Mlimani, MAGU akawazingua wakahamishia kampasi Mbeya inatoa MD tu Kwasasa intake ya kwanzA nadhan ndio wapo Mwaka wa5 lengo kubwa baada ya muda watatoa kozi zingine za Afya!!!Udsm wanakoz had za afya nauliza?
Semester hii huwezi kutenganisha uhusiano mzuri wa mihogo na wanachuoKwa wale wanafunzi wa udsm watakao hitaji mihogo wanione
Wamekua dada na Kaka😅😅Semester hii huwezi kutenganisha uhusiano mzuri wa mihogo na wanachuo
nimecheka had baas, sio kwa wote lakini n baadhi tyuuuhWamekua dada na Kaka
Wengi wanaumia sana semester hii.nimecheka had baas, sio kwa wote lakini n baadhi tyuuuh
doooh ngja UE iishe watu warud kwao.Wengi wanaumia sana semester hii.
Eti mtu alikua anapangia budget boom hata kabla halijatoka
System si ileile kwamba November wanarudi tena?doooh ngja UE iishe watu warud kwao.
Hebu waache bhana November ni habari nyingine sasa.System si ileile kwamba November wanarudi tena?
details gani kijana mi nmepiga bcom acc hapo, jiandae kukutana na kina Dr Siasa, Dr mahangila, Cpa Mshana, Cpa Mangesho.. mtanyooka na hiyo accountMwenye details ya Bachelor of Commerce in Accounting, anipe information hapo UDBS
Mkuu vipi Mkopo kwa hii kozi, na wapi kugumu/kurahisi kiujumladetails gani kijana mi nmepiga bcom acc hapo, jiandae kukutana na kina Dr Siasa, Dr mahangila, Cpa Mshana, Cpa Mangesho.. mtanyooka na hiyo account
Inamaana ni ngumu sana?details gani kijana mi nmepiga bcom acc hapo, jiandae kukutana na kina Dr Siasa, Dr mahangila, Cpa Mshana, Cpa Mangesho.. mtanyooka na hiyo account
mkopo upo kama umesoma government, if umepiga private hesabu maumivu, ndio course ni ngumu usiposoma, ukisoma freshi hamna jipya utafaulu sana tuMkuu vipi Mkopo kwa hii kozi, na wapi kugumu/kurahisi kiujumla