University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Kama kuna yeyote ambaye amesoma masters program UDSM hasa COSS idara ya geography. ... Pls can you rise up your hand or tag my username
 
Udsm wanakoz had za afya nauliza?
Yes, UDSM walianzisha School of health science pale Mlimani, MAGU akawazingua wakahamishia kampasi Mbeya inatoa MD tu Kwasasa intake ya kwanzA nadhan ndio wapo Mwaka wa5 lengo kubwa baada ya muda watatoa kozi zingine za Afya!!!
 
Wasaalam,
Kwa wale ambao mmesoma Masters UDSM au kama unafahamu utaratibu wa ulipaji wa ada.Kuna kijana anategemea kujipanga ili mwakani akasome hapo ngazi ya Shahada ya Uzamili, je malipo ya ada yapoje? kuna uwezekano mtu akalipa kwa robo/semester au ni lazima ilipwe kwa mkupuo.Natanguliza shukrani
 
Mwenye details ya Bachelor of Commerce in Accounting, anipe information hapo UDBS
details gani kijana mi nmepiga bcom acc hapo, jiandae kukutana na kina Dr Siasa, Dr mahangila, Cpa Mshana, Cpa Mangesho.. mtanyooka na hiyo account
 
Mkuu vipi Mkopo kwa hii kozi, na wapi kugumu/kurahisi kiujumla
mkopo upo kama umesoma government, if umepiga private hesabu maumivu, ndio course ni ngumu usiposoma, ukisoma freshi hamna jipya utafaulu sana tu
 
Back
Top Bottom