Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,414
- 119,224
Teh tehAchana nae atakua ustadhi/ustadhat kaamua kujifurahisha
sent from Sokoro nkorambokande
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh tehAchana nae atakua ustadhi/ustadhat kaamua kujifurahisha
sent from Sokoro nkorambokande
ZL220 ilikua nyanya tatizo lilikua ZL210 na ZL121wewr unasoma education eti?
ulisoma au umesoma zl 210 na 220?
Nili-enjoy Tutorial yake kule A21 CoET Jamaa alikuwa anashuka na chaki....Mdoe mkongwe sana tu, yule jamaa anajua chemistry utadhani chemistry ni sehemu ya ukoo wao
sent from Sokoro nkorambokande
Sasa kama uta ruhusiwa ku sapua na ku clear kwanini usiruhusiwe kuendelea?Eti chuoni kwenu hapo, mfano mtu semister ya kwanza ana carry 2 na sup moja, alafu semister ya pili akawa na carry 1 na sup moja.
Je, hapa anakuwa na sifa za kuendelea na masomo akishasapua na kucleare hizo carry.........!?
Mkuu usiseme hivo hivi unadhan MTU huwa anajipanga akapate supp au carry??....alafu unasema course rahisi are u sure???? Unaijua QUANTUM PHYSICS ww ???....mkuu alafu ujue hizi mambo mfano pale udsm inategemeana na college....sasa kama CONas supp nje njeSasa kama uta ruhusiwa ku sapua na ku clear kwanini usiruhusiwe kuendelea?
Btw, sijui inakuwaje mtu mpaka una sup ama una carry coz za chuo zilivo simple hivo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo College gani!?? Afu utakuwa mwenyewe Maana CoET na COHU Wameshatema
Km ni CoNAS wakati ni mgum!! Jiandae kisaikolojia..
KIMEO CHANGU
tupo mkuu UDSM si mpaka sie huku samaki samaki ya mlimani city na waendesha bajaji auwasubili waje
Si mimi na sijui collage aliyopo, ila anasoma BA with EducationUpo College gani!?? Afu utakuwa mwenyewe Maana CoET na COHU!?
Km ni CoNAS wakati ni ngum!! Jiandae kisaikolojia...
KIMEO CHANGU
Si mimi na sijui collage aliyopo, ila anasoma BA with EducationUpo College gani!?? Afu utakuwa mwenyewe Maana CoET na COHU!?
Km ni CoNAS wakati ni ngum!! Jiandae kisaikolojia...
KIMEO CHANGU
BaED wapo CoHU na CoSS wachache!!! Wewe si umuulize tu....Maana CoHU mgodi umeshatema!!!
Kumbe ndio maana kumbe upo BAED looo
Inategemeana masomo mengine amepataje kama gpa yake inasoma chini ya 1.8 atakuwa ame disco, kama itakuwa zaidi ya hapo mwambie ajipange akachomoe mungu atamsaidia,chuoni hakuna kitu raisi japo ugumu unatofautiana usisikilize maneno yawapenda sifa eti course zote raisi wabongo bhanaEti chuoni kwenu hapo, mfano mtu semister ya kwanza ana carry 2 na sup moja, alafu semister ya pili akawa na carry 1 na sup moja.
Je, hapa anakuwa na sifa za kuendelea na masomo akishasapua na kucleare hizo carry.........!?
Ana 1.6 kaandikiwa discontinued.Inategemeana masomo mengine amepataje kama gpa yake inasoma chini ya 1.8 atakuwa ame disco, kama itakuwa zaidi ya hapo mwambie ajipange akachomoe mungu atamsaidia,chuoni hakuna kitu raisi japo ugumu unatofautiana usisikilize maneno yawapenda sifa eti course zote raisi wabongo bhana
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu hata masomo mengine alizingua ila mwambie afanye aplication tena mwaka huu aombe cz nyingineAna 1.6 kaandikiwa discontinued.