Mr Mose
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 368
- 524
Unapotaja aris naona kama unataja jina la ex wangu its unatuchefua tulio kwisha malizana na hayo madude
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
una supp ngapi kati ya kozi ulizonazo?Sory guyz,et kwa GPA ya 1.7 udsm unaweza kufanya suplement.
Sory guyz,et kwa GPA ya 1.7 udsm unaweza kufanya suplement.
Huwezi kabisa ila pole ndo umesha disco,sup exam wanaruhusiwa kufanya wenye gpa not less than 1.8 ,hatakama ulipata sup 4 kigezo ni 1.8+Sory guyz,et kwa GPA ya 1.7 udsm unaweza kufanya suplement.
Noo unaweza kuwa na sup nne lakin course nyingine uligonga fresh ukapata gpa ya 1.8 unaruhusiwa kufanya sup exam ,less than 1.8 hiyo ni automatic discon.....Sup 4 ni discontinuation hyo MKUU, AU UDSM MNAFANYAJE MKUU? MANA SUP 4 MI NAJUA NI DISCO.
Et wakuu hapo UDSM kwa mwaka huu nurcing wanachukua?jooohs basi maajabu mana vyuo vingne kama Mzumbe, SUA, sup 4 hyo ni disco haijalish una GPA ya ngapi
Nurcing hakuna udsm,hata medicine walichukua mwaka jana now wamesitisha jaribu vyuo vingine hata muhasEt wakuu hapo UDSM kwa mwaka huu nurcing wanachukua?
Mkuu vile vyoo vya pale theater vinardhsha Sana mkuudah UDSM vyoo shida sana nakumbuka nilipanga ratiba yangu ya kutumia vyoo vya Theatre 1&2
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah mimi mhenga nimepata tabu kuwaelewa nikabaki najiuliza kozi gani hiiNurcing hakuna udsm,hata medicine walichukua mwaka jana now wamesitisha jaribu vyuo vingine hata muhas
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwel asee mambo yanabadilika sanaDaah mimi mhenga nimepata tabu kuwaelewa nikabaki najiuliza kozi gani hii
Sent using Jamii Forums mobile app