Wervemarcel
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 2,390
- 3,293
Mmmh kwa hiyo wanaopita wengi ni wa CONAS?
Ngoja cc walimu tutulie
Mmmh kwa hiyo wanaopita wengi ni wa CONAS?
Ngoja cc walimu tutulie
0.5/20 daah walimu wengine washenzi kama somo lake lingekuwa ndo somo pekee mtu si anakata tamaa kabisa hapoDr Pratap afadhali kdg Dr Urassa Hapa Huyu Bibi 0.5/20 tumepata sana
KIMEO CHANGU
CoNAS walimu wapo na Ndio wengiMmmh kwa hiyo wanaopita wengi ni wa CONAS?
Ngoja cc walimu tutulie
Daah UDSM-CoNAS ZL na CH Pamoja na BT za Third yr Maisha utakayokutana nayo Hayafahi... Kuingia na Single digit km CW n kitu cha kawaida tu wakat mwingine....0.5/20 daah walimu wengine washenzi kama somo lake lingekuwa ndo somo pekee mtu si anakata tamaa kabisa hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa watu wabayaaDaah UDSM-CoNAS ZL na CH Pamoja na BT za Third yr Maisha utakayokutana nayo Hayafahi... Kuingia na Single digit km CW n kitu cha kawaida tu wakat mwingine....
KIMEO CHANGU
Ndio maisha Dada yangu GPA za Pass n Halali yetu...
Poleni ila mwisho wa siku elimu ni kile ulichonacho kichwani sio kwenye makaratasiNdio maisha Dada yangu GPA za Pass n Halali yetu...
KIMEO CHANGU
Ndio hivyo!! Ila vichwa vimeliwa sana hasa First yr!!!Poleni ila mwisho wa siku elimu ni kile ulichonacho kichwani sio kwenye makaratasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kozi isio marketable Ndio Maana zipo zinafundishwa ..Wakuu naomba kukuliza is BSc in Food science and technology marketable
NA soko Lake lkoje
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo ,wazee wa BASTSijaona watu wa department ya uchumi wala statistics hapa! Hapakuwaga na walimu wanoko enzi hizo!?
Hahaha,nafurahia uwepo wako. Nipe wanoko wako unaowakumbuka hapo
Mi si wa zamani sana ila kuna mmoja huyo hahaha kantesa sana asee hapo statistics, alikuwa tutorial assistant kipnd hicho. Anaitwa Loiboo sitakaa kumsahau huyu jamaa
Duh,Loiboo (Masai Type 2) nimesoma nae 2008,kumbe ni ticha?Mi si wa zamani sana ila kuna mmoja huyo hahaha kantesa sana asee hapo statistics, alikuwa tutorial assistant kipnd hicho. Anaitwa Loiboo sitakaa kumsahau huyu jamaa
Yaah bhana,mm kanifundisha mwaka 2013!!!ila alinitesa kijana yule khaaa
mzeee wa contaimination.
Who said I had problems ,young man.Sijakulaumu pia, hiyo ni reply ya kawaida tu au umekwazika bwana alumna?
Nothing is easier than blaming others for your own problems